Search results

  1. movick

    Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Mwenye nyimbo; 1. Nenda remix by cheggers 2. Nyumbani by chief 3. Haina fagio by mwana fa
  2. movick

    Taarifa kwa Umma wa Tanzania juu ya uozo wa chama cha wakuu wa shule (TAHOSSA)

    Title na content haziendani hata kidogo...maelezo yako yako yamejaa majungu na kebehi Sitoshangaa kama utapimwa mkojo
  3. movick

    Car4Sale IST for sale 8.2mil, Ipo Mtwara

    Picha mbona nimeziweka boss
  4. movick

    Car4Sale IST for sale 8.2mil, Ipo Mtwara

    Inauzwa ipo katika hali nzuri sana. Haijawahi pata ajali Haijawahi rudiwa rangi. For serious buyer Naweza toa sports ream na kufunga za chuma na bei itapungua hadi u.6mil Njoo inbox fasta
  5. movick

    GX 100vvti engine

    Ni Toyota cresta 2000model 1998cc haina tatzo lolote njoo na fundi wako aikague bei ni mil 4.5
  6. movick

    GXIOO VVTi

    Inauzwa 4500000 maongezi yapo kidogo
  7. movick

    Galaxy note 3

    inahitajika fasta leo hii nichek 0784697790
  8. movick

    Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Internet yenu haina uhakika,niko newala mtwara leo hii nimejiunga na bundle lakn hadi muda wake unaisha sijatumia hata bytes moja mtandao wenu kimeo na mlivyokuwa wababe hata hamturudishii gharama za usumbufu,mfano kutupa hata bundle ya ziada pale mnaporudi tena hewani hasa kwa upande huu wa...
  9. movick

    Hivi shule ya Prof. Anna Tibaijuka maskini gani anaweza kusoma kama alivyodai?

    Tiba ndiye yule jambazi sugu ambalo hadi mwisho wa muvi anakuwa hai na starling,ila cjui kwenye muvi hii kudadeki cjui atapona!
  10. movick

    Sikubaliani na hili lililotekea bungeni usiku wa Nov 28, 2014

    Toa mavi yako hapa nenda kakubaliane na mkeo gheto kwako
  11. movick

    Nahitaji Samsung Galaxy S3

    mzgo bado unao?
  12. movick

    Nahitaji kubadilisha touch screen ya Samsung s3

    Ndio wako dar,wasiliana na makao makuu kwa namba 0682555777 kuanzia saa 4.30asbh wao watakuelekeza maduka ya service yaliko.
  13. movick

    Nahitaji kubadilisha touch screen ya Samsung s3

    Pole sana kwa tatizo lako,nami yalinikuta majanga kama hayo gharama ya lcd complete ni tsh 250000 kwa dar tembele mawakala wa samsung
  14. movick

    Nimetumia code hizi kujua kama simu ya samsung ni original au fake

    Samsung original lazima ikubali code hizi mbili *#7353# na *#0*# kama inakubali moja tu kati ya hizo.nenda chumbani kwako lia xana,kwani imekula kwako!
  15. movick

    sony ericsson arc s for sale

    Acha dharau na ubaguzi,we unajua kila anayeishi mtwara ni makonde.
  16. movick

    sony ericsson arc s for sale

    nauza sony ericsson xperia arc s nipo mtwara
  17. movick

    Kiukweli sijaona tofauti sana kati ya tecno yangu na smartphone nyingine, zijue sababu?

    Proximity na light sensor zipo,hebu tuacheni kuzponda hz tecno,jamaa wamejitahd xana kutuokoa tulioko chn,mchina ndie anaeongoza xaxa dunia.
Back
Top Bottom