Search results

  1. A

    Kuhusu Muungano, Wazanzibari wametuzidi ujanja

    Mzee wangu Kwa hiyo wao wanakuja kumiliki upande wa pili Kwa kigezo kipi? Kama inawatosha wao peke yao wabaki nayo lakini na ardhi ya Tanganyika wasiisogelee. Kama Kuna usawa basi wote waruhusiwe kutafuta maisha wapendapo. Pia ardhi kama ni Mtanzania aruhusiwe kumiliki unless mseme Kuna...
  2. A

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Waliwekeza sh ngapi huko? Na hiyo 4 % ya mapato ghafi tunawapa Kwa sababu wao ni wazuri sana au? Maana gharama zote za kugharamia Muungano Tanganyika twazibeba wenyewe. Wao tunawapa ulinzi mpaka wa viongozi wao Kwa Hela za Tanganyika. Pia wabunge wao twawalipa wakati wananchi wao hawachangii...
  3. A

    Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Ukiwa mlafi kuvimbiwa ni sekunde tu. Hapo bado kupasuka matumbo.
  4. A

    Mbunge Mohamed Issa: Wanaotoka Tanzania Bara kwenda Zanzibar wawe na Passport

    Si tuuvunje tu Muungano. Yani anayasemea haya akiwa yupo kwenye ardhi yetu ya Tanganyika aisee
  5. A

    Nani mwenye mchango mkubwa kwenye mafanikio yako, mpe shukrani zake

    Mungu na wa pili ni mke wa Baba yangu mkubwa.
  6. A

    Hali ya Mvua April 2024: Eneo ulipo hali ikoje? Tupeane updates kuhusu Mafuriko | Hali ya Barabara | Maafa kutoka eneo ulipo

    Kwani hata inanyeshaga mto wa mbu basi? Hiyo ni Karatu mjomba, Yani ikinyesha Mbulumbulu vizuri mbona tutaijua fureshi aisee. Bado tupo kwenye danger zone
  7. A

    Mkuu wa HAMAS apoteza watoto watatu na wajukuu watatu huku akiendelea kula maisha Qatar

    Revenge serve no purpose. Both ways need to understand that. The vicious circle of killing will not end untill one side agree to stand down and sometimes, it need a strong heart to admit defeat. I wish the hamas can see how it is causing unnecessary killing. Sit in the table and sometimes...
  8. A

    Je, ungependelea kupumzishwa (kuzikwa) wapi?

    Niliutafuta juzi nikaukosa. Kwani una ugomvi na moderators?
  9. A

    Ulitumia kiasi gani cha fedha ama umepanga kutumia kiasi gani cha fedha kugharamia harusi yako?

    Ila Kuna watu Wana Hela aisee. Nineshashuhudia ndoa za 40M+ na nimesimamia Moja kama mhasibu ya 30M+ aisee. Inategemea na unaona nani, familia yao ipoje, na wewe binafsi unataka nini.
  10. A

    Kwanini maboss mnawataka mabinti zenu wa kazi kingono?

    Kwa sababu inaonekana kama ni lazima aliwe, watoto wetu wa kike wafanyiwe vile vile tunavyowafanyia watoto wa watu wasiokua na msaada. Maana hawezi kukukataa akikumbuka maisha aliyopitia nyumbani. Karma irudishe Kwa kiwango kile kile tulivyowarubuni Kwa wanetu wapendwa. Hapo ndo utakua ah, kumbe...
  11. A

    Mlioanzisha mahusiano humu ndani kwa mbwembwe na baadaye mkaachana, mko wapi?

    Mwenyewe najiuliza aisee. 11 years nyuma ya keyboard
  12. A

    Mlioanzisha mahusiano humu ndani kwa mbwembwe na baadaye mkaachana, mko wapi?

    Niko humu ndani mwaka wa kumi na Moja huu ila najuaga ni fix. Kumbe watu wanajuana kabisa. Hongereni Wana jf. Sehemu iliyonipa experience nyingi mno aisee kuhusu maisha " Tujifunze Kwa maendeleo ya watu".
  13. A

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Alipatikana, simu tu ilizingua. Ndo maana nakwambia Hawa washeku wakikosa watoto wao wanachangangikiwa aisee.
  14. A

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Mboga aisee. Ini ngikumbuke ngete kaka ekaa dar kwete siku mama alemkabia simu alemkolea kwi. Acha anipigie simu kama kichaa. Mbona simpati fulani wakati naishi km 600 kutoka alipo aisee. Yani msheku uya aleva Sha msukwa kabisa aisee.
  15. A

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Kasamehe tu. Ni katoto bro. Kwenda kaa mweni msheku akushingia mba. Msamehe tiki.
  16. A

    Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

    Kuna flirt zinaonaonesha huyu anakutaka. Azitumie ila kamwe asimwambie nakutaka. Kwa mwanaume kutongozwa Ina cut off Ile Hali ya kiumbe. Atakuto*ba ndio ila ujue anaweza asikurudie. Hapo unltajiona kama mavi. We want what is expensive and not what is cheap. Don't be cheap but flirt.
  17. A

    Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    Swali rahisi ndugu daktari, je ni haki? Kwa maana ukiwa kwenye kiti Cha kumsaidia Mungu majukumu jitahiji ufanye kama ambavyo yeye angefanya. Tumekula hadharani, sio jinai umenishika ukanibambikizia kesi ya dawa za kulevya. Je shahidi utakayemleta mahakamani atatoa ushahidi aliniona na madawa ya...
  18. A

    Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    Kwani ndugu yangu aliyesema wamekamatwa wakila ni wao au aliyewakamata? Dah kwani hata masikio mmeyaazima? Na Ile barua ya mzungu kula hadharani na yenyewe ilijiandika? Samahani ni neno dogo sana, ila linaleta heshima. Sio kila kitu kitafuata unataka nini. Vingine vitafuata wengine wanataka Nini.
Back
Top Bottom