Search results

  1. Jatropha

    Serikali, CCM vimebadilika. kwanini wapinzani nao hawabadiliki?

    Tokea serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani tumeshuhudia mabadiliko makubwa katiki nyanja mbali mbali ikiwemo kuongezeka kwa uwajibikaji wa viongozi na watumishi wa umma, kupigwa vita vya dhati kwa vitendo vya rushwa, ubadhirifu na ufujaji wa Mali za umma, kuanzishwa na kutekelezwa kwa...
  2. Jatropha

    Mwalimu elimu, tingatinga bomoa bomoa

    Kuna methali inasema "Jina humuua mwenyewe", Tuliwahi kuwa Na kiongozi aliyeitwa "Mwalimu". Matokeo ya jina hilo in wananchi waume, wake na watoto kupatiwa Elimu bure kupitia program mbali mbali. Mamilioni ya watu wazma ambao hawakubahatika kusoma katika utoto wao walipatiwa Elimu nchi nzima...
  3. Jatropha

    Fahamu tofauti kati Kadinali na Askofu ktk kanisa Katoliki

    " Canon Laws" ambazo ibara zake hutajwa hivi, Can. 381 nakafhalika zinatosha kumwelewesha yeyote muundo wa Kanisa Katoliki. Zinataja mamlaka ya askofu, askofu-mkuu, kardinali, rais wa baraza la maaskofu na zaidi. Sheria ya kanisa, Can. 381(1) na Can. 391(1), zinasema kwamba askofu jimboni...
  4. Jatropha

    Ukweli kuhusu bomoa bomoa ya Kimara hadi Kiluvya

    Tarehe 30 agosti 2017 Mkurugenzi wa idara ya habari maelezo na msemaji Mkuu wa serikali alivitisha vyombo vya habari juu ya kuripoti zoezi la bomoa bomoa Kimara hadi kiruvia kwa sababu zoezi hilo linafanyika kisheria. Ukweli ni kuwa bomoa bomoa hii ni kinyume cha Katiba ya nchi, Sheria ya...
  5. Jatropha

    Rais wangu, kumbe sheria ni kwa baadhi ya watanzania tu!

    Rais wangu, mwezi uliopita nilikusikia ukihutubia mkutano wa hadhara wa Mkuu wa Mkoa wa DSM, ambapo uliwataja waliojenga pembezoni mwa barabara ya Morogoro kuwa wamevunja sheria ya Barabara ya 1932 hivyo ukazitaka mamlaka husika kuwaondoa hadi mita 120 toka katikati ya barabara hiyo bila...
  6. Jatropha

    Vurugu hutokea katika mabunge mengi duniani kutokana na ununda wa watawala.

    Ndugu zangu watazania vurugu katika bunge ni kitu cha kawaida katika dunia hii ya kidemokrasia kama inavyothibitishwa na link hiyo hapo chini. Na mara zote vurugu hizo husababishwa na ununda wa watawala hali inayolazimisha vurugu kutokea ili wapinzani waweze kutimiza malengo yao ya kutetea na...
  7. Jatropha

    Sasa ni mwaka wa 3 toka uchaguzi mkuu, CHADEMA itoe taarifa ya utendaji katika majimbo na kata

    Ndugu wana JF, Sasa tunaingia mwaka wa tatu kutokea uchaguzi mkuu uliopita wa 2010 ufanyike. Katika uchaguzi huo Chadema ilifanikiwa kushinda majimbo kadhaa ya ubunge na kushinda udiwani katika Kata kadhaa hapa nchini. Hali iliwezesha Chadema kufanikiwa kuongoza baadhi ya halmashauri za Miji na...
  8. Jatropha

    Tujikumbushe ufisadi livyoanza hapa nchini 1994

    THE POWER AND THE VAINGLORY: Anatomy of a $100 Million Malaysian IPP in Tanzania Brian COOKSEY* Forty years ago, Malaysia had a more or less similar economic development profile to most of sub-Saharan Africa. Since then, Malaysia has risen to “middle income” status in the international...
  9. Jatropha

    Gerala Hando wa Clouds Radio anajipendekeza kwa JK na CCM

    Jana katika kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa hewani na Clouds Radio mtangazaji Gerald Hando alikuwa akijipendekeza kwa JK na na CCM kwa kuwamwagia sifa kibao kwa miradi mbali mbali ya barabara zinazojengwa na kuwekwa mawe ya msingi hususan barabara ya Bagamoyo-Msata na mradi wa mabasi...
  10. Jatropha

    Bilioni 27.5 zilizotumika Sherehe za miaka 50 ya Uhuru zingeweza kununua mitambo 125 ya X-ray

    Ndugu wana bodi, Kwa muda mrefu sasa umekuwepo upotoshaji wa madai ya madaktari kwa lengo la kutaka kuwaaminisha wananchi kuwa madaktari wanapigania maslahi yao pekee. Jana Dr Chitage wa Jumuia ya Madakatari alitoa ufafanuzi mzuri katika taarifa ya habari kuwa katika vikao 6 vilivyofanyika...
  11. Jatropha

    Rostam,Lowassa na Chenge bado ni wajumbe cc ya CCM. (tovuti ya ccm)

    Baada ya Dr Slaa kutaja orodha mpya ya Mafisadi, Nape Nnauye mmoja wa wajumbe wapya wa Sekreterieti ya CCM amejitokeza hadharani na kuiita orodha hiyo mchezo wa kuigiza. Search iliyofanyika katika tovuti ya CCM inashiria ni kweli CCM inafanya mchezo wa kuigiza na dhana nzima ya "Kujivua Gamba"...
  12. Jatropha

    Naomba ufafanuzi kamati kuu ya ccm kwa mujibu wa tovuti yao

    Kwa mujibu wa tovuti ya CCM hadi hii leo majina ya wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM ni haya yafuatayo:- WAJUMBE WA KAMATI KUU MPYA YA CCM KWA MUJIBU WA TOVUTI YA CCM. 1. Ndugu Kakaya Mrisho Kikwete - Mwenyekiti 2. Ndugu Pius Msekwa - Makamu Mwenyekiti (Bara) 3. Ndugu Amani...
  13. Jatropha

    Mnyika fanya kazi yako, la sivyo 2015 utashindwa ubunge

    Hivi karibuni Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali alitoa madai kuwa viongozi na watendaji wa Serikali wamekuwa wakiipuuza ofisi yake kiasi cha kupuuza ushauri wa kitaalamu unaotolewa na ofisi hiyo wenye lengo la kupunguza au kubana matumizi ya Serikali na kuongeza makusanyo ya Serikali ili...
  14. Jatropha

    Ccm itauweza utamaduni mpya wa uwajibikaji iliouanzisha?

    Baada ya miongo miwili ya kukumbatia wizi, rushwa, ufisadi na kila aina ya ukosefu wa maadili, CCM imeamua kujizaa upya kwa kauli mbiu ya "Kujivua Gamba". Nikinuu maneno ya Naibu Katibu Mkuu Bara Captain John Chiligati alipokuwa akitoa taarifa mbele ya waandishi wa habari mara baada ya...
  15. Jatropha

    Muswada wa Katiba:CHADEMA KUINGIA MTEGO WA CCM?

    kwa jinsi ambavyo Muswada wa Katiba uliosomwa kwa mara ya kwanza bungeni jana tara 05 Aprili 2011 ulivyokuwa na mapungufu makubwa ikiashiria kuwa upo mzaha katika maandalizi yake. Hali hii inashiria jambo moja tu, nalo ni kuwa CCM inataka kudivert attention ya watu makini katika vyama vya...
  16. Jatropha

    Hongera magufuli kwa kujirekebisha

    Tofauti na ilivyokuwa tabia yake huko nyuma ya kuamini kuwa Wizara ya Ujenzi na wakala wa barabara TANROAD ndio Alfa na Omega katika masuala ya barabara, jana wakati wa uzinduzi wa barabara ya Bagamoyo Mhe John Magufuli licha ya kuonyesha mbwembwe alizozizoea alioneka dhahiri kutii na kutekeleza...
  17. Jatropha

    Nini maana ya sheria? Ni matamshi ya kiongozi au hutungwa na bunge na kuridhiwa na rais?

    Wanaboard wenzangu naomba kuuliza nini maana ya sheria? Je sheria inakuwa sheria pale mtu/kiongozi anapodai kusimamia sheria au sheria hutungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuridhiwa na Rais kwa mujibu wa Katiba yetu?. Je inatosha kwa sisi wananchi kudaka matamshi ya...
  18. Jatropha

    Dr Slaa jenga chama

    Tokea mwaka 1992 mfumo wa vyama vingi ulipoanza hapa Tz, vyama vya upinzani vimekuwa vikipokezana kuwa na nguvu na kuongoza upinzani hapa nchini. Kwanza ilikuwa ni zamu ya NCCR Mageuzi 1995-2000, ikafuata zamu ya TLP mwaka 2000, CUF 2005. Sasa imekuja zamu ya CHADEMA 2010. Moja ya makosa...
  19. Jatropha

    Dutch slash aid to Tanzania and some other countries

    SASA TUNAANZA KUVUNA TULICHOPANDA KWA KUTUMIA GHARAMA KUBWA SANA WAKATI WA KAMPENI ZA UCHAGUZI NA MAMBO YA KISIASA. "..I feel we support some countries that really don’t give a shit about their own people.." - Sjoera Dikkers (MP) The Netherlands wants to terminate its development...
Back
Top Bottom