Search results

  1. K

    Ujumbe kwa uvccm.the ordination.

    Mkuu Ganesh,nimeiona,huwa nasoma ujumbe kutoka kwako,tafadhali nitaisoma kisha nitafakari alafu nitakuuliza swali ama maswali kama nitakuwa nayo.:angry:
  2. K

    DAR WATU WANAPUMZIKA LINI NA STAREHe

    Duh,imeleta raha moyoni na kicheko cha haja,mazee wapendwa msemayo,mimi naona ni sahihi,kila mtu anamipangilio yake hapa mjini,haiwezekani maskini aneyeishi kwa kiwango cha nusu dola ayaweze makuu haya,pia kuna watu wengi bongo,haiwezekani wote wakajirusha kwa siku moja kama babu kijana...
  3. K

    Nyie clouds nyinyi!!!

    Mwana,unajua kuna jinsi ya kumrekebisha mwanadamu,lakini hakuna njia iliyo mbaya kama ya kumtangaza kwa kumsagia,maana zaidi ya kurekebishika,pia anakuwa muoga kwa siku zijazo kufanya mambo mazuri,sijui wenzangu mnalionaji hili.:angry:
  4. K

    Nipashe, Kulikoni , Gurdian Kulikoni?

    Na sio habari hiyo tu,kuna mambo mengi hivi sasa sisi washabiki wa ipp tunakosa,hivyo inatubidi kuhaha na kutafuta pa kujikwamua na kupapata.nawaomba uongozi mzima,utufikirie sisi wapenzi wa ipp kwani,kupata habari na matukio makubwa yanayoendelea au kutokea duniani,tunawategemea zaidi wao...
Back
Top Bottom