Mfumo wa uombaji wa nafasi za mafunzo ya ualimu katika ngazi ya stashahada umefunguliwa. Kama una ndugu au jamaa mtaarifu ikiwa anavigezo vilivyoanishwa anaweza kutuma maombi. Ili kuweza kuona kozi na sifa zinazohitajika tafadhali soma maelekezo kwa kubonyeza hapa.
===
Katibu Mkuu Wizara ya...
Habari zenu wapendwa! Nauliza wapi nitaweza pata Genuine USB TV Tuner kwa Arusha au Dar? Na zinauzwa kwa bei gani kwa pesa za kitanzania? Naomba kuwasilisha!
Wajuzi wa sheria naomba kusaidiwa hili! Hivi sheria inasemaje kuhusu uhamisho wa mfanyakazi kutoka Kituo kimoja hadi kingine hasa kama anafuata familia yake! Je kuna sehemu yeyote inayo mlazimisha mfanyakazi kutafuta wa kubadilishana naye kituo ndipo ahame?
Maana wengine tunapoteza haki zetu ya...
Nitawezaje kuflash simu yangu aina ya Samsung SGH - D780, maana nna CD yake ndani kuna folder Flash asset!
Pia nitatumia program gani kufungua files za type hii: X32
Samahani wana JF naomba kuuliza ule mgomo wa wafanyakazi nchi nzima umeishia wapi? Kama nakumbuka vizuri baada ya mgomo ule wa kwanza kusitishwa, TUCTA walitoa siku nane za majadiliano (Kwa waziri mwenye dhamana na wafanyakazi kutangaza kima cha chini).
Hivi kwani siku nane toka kipindi kile...
Na kumbuka Mabweni ya Urafiki, umoja, maendeleo, ujamaa na muungano!
Nakumbuka shida ya umeme iliyokuwa itokea na kulazimika kutumia chemli!
Kama mtakumbuka Kuna kisima cha kupampu a.k.a Shadufu! Aisee kilitoa msaada wa kutosha katika kutupa maji ila ndo kuoga watu ilikuwa issue passport...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.