Search results

  1. N

    Ali Kamwe: Simba njooni tuwafundishe kumfunga mwarabu taifa

    Msemaji wa Yanga aliongea maneno hayo baada ya kumfunga US MONASTIRIE pale kwa Mkapa
  2. N

    GOLI LA MESSI LA FREE KICK[emoji91]

    Uzi tayari, wadau mje
  3. N

    Akacha mechi kwasababu hataki kuunga mkono vitendo vya kishoga

    Kiungo wa Kimataifa wa Senegal anayecheza PSG ya Ufaransa Idrissa Gana Gueye (32) imebainika kuwa alikosa game ya PSG dhidi ya Montpellier Jumamosi iliyopita sababu hakutaka kuvaa jezi zenye namba zenye rangi za upinde (rainbow flag). Idrissa inaeleza kuwa hakutaka kucheza mechi hiyo sababu...
  4. N

    Huu ni upendeleo ama sheria za mashirikisho ni tofauti?

    Wakuu nimefatilia game za Senegal vs Misri na Nigeria vs Ghana nimeona viwanja vipo full mashabiki lakini huku kwetu Simba wameagizwa kuingiza 1/2 uwanja inamaana covid ya kwetu ni kali sana?
  5. N

    Ninunue Printer gani nzuri kusafishia picha?

    Wakuu kuna mtu kaniomba nimnunulie printer potable ya kusafishia picha kwahiyo naomba ushauri ninunue ya aina gani? Bajeti yangu ni laki nane za kitanzania
  6. N

    Kampuni ya Umbro imedhamini Ndondo Cup 2021

    Kampuni ya vifaa vya michezo ya Umbro Afrika Kusini imeingia ushirikiano na Clouds Media Group na Shadaka Sports Management wa kuidhamini michuano ya Ndondo Cup 2021 kwa kutoa jezi kwa timu zote shiriki 32, mipira ya mashindano na vifaa vya waamuzi. Umbro ni kampuni ya vifaa vya michezo yenye...
  7. N

    Huyu kuku anaumwa ugonjwa gani?

    Anatoa mapovu machoni, dawa yake nini ipi? Pia kuna kuku wanatagia sehemu moja unawatenganisha vipi ili kila kuku atagie sehemu yake. NB: Wanaishi banda moja
  8. N

    Msaada kisima changu kimejaa chura

    Wana JF ninapoishi mimi sina access na maji ya bomba ambayo unalipia bili kwahiyo nimeamua kuchimba kisima na maji nimepata tatizo vyura wamegeuza ndio makazi yao wapo wengi hadi kero, sasa kuna madhara yoyote kutumia maji ambayo vyura wanaishi humo? Natumia kuoga, kufulia na kuoshea vyombo...
  9. N

    Tanzania Prisons FC imehama Mbeya kupisha ukarabati wa hosteli

    Timu ya TZ PRISON imehama kutoka kutumia uwanja wa sokoine jijini mbeya hadi kutumua uwanja wa Nelson Mandela mjini Sumbawanga mkoa wa Rukwa, uwanja wa Nelson Mandela ndio ulitumika kwenye fainali zilizopita za kombe la Azam Federation
  10. N

    Je, ubaguzi hufanywa na ‘weupe’ pekee?

    Aliyekuwa kocha wa Yanga ametimuliwa kwa kutamka maneno yanayoaminika ni ya kibaguzi kwa mashabiki kwa kuwafananisha washabiki na nyani na mbwa kubweka bweka hovyo. Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda wakati akikabidhi ofisi amesema wakati anafanya kazi kuna mbwa mwitu walikuwa...
  11. N

    MOROGORO MARATHON DEC2

    MOROGORO MARATHON, December 2 Usajili utaanza October 15 MOROGORO Samak Spot, Tengoz Restaurant, SUA, mzumbe, Muslim varsity, Jordan, chipukiz ccm wilaya, Msamvu bus terminal, Mikumi mjini, Kidatu, Ifakara, Mahenge, Malinyi Mjini, Gairo, Kilosa, Mvomero, Mikese, mlimba, Mzinga kindunda's...
  12. N

    MKWAWA RALLY 2018

    Mashindano yameanza leo na yanategemea kumalizika kesho
  13. N

    Dedication kwa wote yaliyowahi kuwakuta kama yaliyomkuta boss ru

    Ingia kwenye music channel yoyote eg YouTube uuangalie wimbo huu "let her go" umeimb a na passenger
  14. N

    Mahujaji wafariki makka

    Zaidi ya mahujaji 200 wamefariki dunia baada ya kukanyagana kutokana na msongamano wa watu, inalilah wainalilah rajiuun Source:bbc
  15. N

    Mchungaji atuhumiwa kubaka mtoto wa miaka mitano

    Mchungaji wa kanisa la Evangelical Asemblies of God katika kijiji cha Ntuchi Wilayani Nkasi Mkoani Rukwa, Evans Kankoma (41) anatuhumiwa kumbaka mtoto wa miaka mitano mwanafunzi wa darasa la kwanza. Kwa muijibu wa taarifa zilizopatikana na kuthibitishwa na ofisa mtendaji wa kijiji hicho...
  16. N

    ndege ya bill clinton yatua kwa dharula

    wakuu nimesoma habari hii kwenye tv ya citizen ya kenya kuwa ndege aliyopanda rais wa zamani wa marekani na binti yake chelsea imetua kwa dharula ikitokea iringa kwenda manyara mwenye taarifa zaidi atujuze
  17. N

    Said Bakhresa na wenzio ni noma, Thanks for Lady of Zanzibar

    azam marine&costal fast ferry wameshusha mzigo wa maana ambao utaanza kufanya kazi baada ya wiki 3
  18. N

    Jamal Malinzi: Kura yetu ni kwa Sepp Blatter

    Rais wa tff ameyasema hayo leo alipohojiwa na vyombo vya habari
Back
Top Bottom