Search results

  1. A

    JK's Greatest speech: Ipi ilikuwa Best na ipi ilikuwa Worst?

    Hiyo ilikuwa worst ya mwaka juzi(2010) , si alikataa hata kura za wafanyakazi
  2. A

    Jamii forums for android : Requirement Specification

    Kweli kama watarekebisha katika vitu nivyoandika itakuwa bomba. Mi pia nilipotumia nilirudi kwenye via mobil
  3. A

    Jamii forums for android : Requirement Specification

    Ndio ipo we nenda kwenye market halafu search JamiiForums utaipata. Kama hujapata search JamiiForums for Android
  4. A

    Jamii forums for android : Requirement Specification

    Ni kweli wako bize ombi langu ni kuwa hizi requirements can be used when they start. Pia nafikiri kwa kuwa kutengeneza apps kuna ugumu ( itachukua muda na heavy resources) kuna watu wanaoweza kutengeneza in their spare time. mimi ni mmoja wapo. Labda kama kuna ugumu wa kuruhisu watu wa nje...
  5. A

    Jamii forums for android : Requirement Specification

    Nashukuru kwa ushauri. Taitumia nitakapoweza kununua online nasikia crdb na nbc wanasupport hizo transaction, tacheki nao Ila specification itawasaidia waliokuwa wanatengeneza app ya Jamii forums for android labda kama wameachana nayo.
  6. A

    Jamii forums for android : Requirement Specification

    Wadau. Nimekuwa nikitumia browser kusafu jamii forums kwenye simu yangu bila shida yoyote japokuwa kuna limitations mbalimbali lakini nafikiri kuwa inafanya vizuri. Sasa juzi si nikapata bahati kuinstall Jamii forums for android kwenye simu yangu. Kwa kweli ni mwanzo mzuri ila naomba nitoe...
  7. A

    Msaada wa VB 6.0

    I think if the motive was to be a hell of coder one could choose visual C++ in the first place. Many people chose visual basic 6.0 for simplicity and productivity, two spirit on which .net was built upon. So upglading is imperative. Using .net one can be a good programmer as well.
  8. A

    android 4.0 kwenye samsung galaxy s2 imewezekana?

    Wadau google imetoa os mpya ya android na iko ndani ya simu mpya ya samsung galaxy nexus. Japokuwa samsung wamesema wata update samsung galaxy s2 mwanzoni wa mwaka 2012 je kuna mtu ameweza kuupdate samsung galaxy s2 kwa kutumia un official versions?
  9. A

    Help: How do we explain this????

    Hi ni kwa sababu ndege anagusa waya mmoja tu na pia anakuwa hajakanyaga kitu kingine kama ardhi hivyo mzunguko unakuwa haujakamilika.
  10. A

    Naweza kuzuia virus bila ya ant-virus?

    Also use your computer by using a low privileged account such as a guest account instead of Administrator it helps somehow.
Back
Top Bottom