Search results

  1. Barubaru

    Kiini cha matatizo ya Zanzibar, Mapinduzi ya mwaka yaliyomwondoa Sultani

    Joka kuu. Ahali yangu hayo mambo ni mapana sana. Kifupi matatizo ya Znz yanaletwa na kupaliliwa na majirani zao wa Bara. Kama Znz kama nchi ikiachwa yenyewe naamini hakuta kuwa na migogoro yenye kudumu daima kama ilivyo sasa kila siku inaletwa na kupandwa na TGK. waachwe Znz wapumue.
  2. Barubaru

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    انا لله وانا اليه راجعون Allah awape subra na nguvu ktk kipindi hiki kigumu .
  3. Barubaru

    TANZIA Mwanachama wa JamiiForums & Mgombea Ubunge Lushoto(CHADEMA), Mohamedi Mtoi afariki ktk ajali

    انا لله وانا اليه راجعون Allah awape subra na nguvu ktk kipindi hiki kigumu .
  4. Barubaru

    Leticia Nyerere atimkia CCM

    Huyu si yule mama aliyekuwa mbunge lakin maisha yake yote yalikuwa kule Silver Spring, Washington DC. Huyu alikuwa anakuja huko Tz wakt wa shughuli au kuhudhuria Bunge tu lakin akimaliza alikuwa anarudi DC. Hongera mama labda sasa ugombee ubunge kwa viti vya Diaspora.
  5. Barubaru

    Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

    Labda nikusaidie zaidi. Mzee Edwin Mtei yupo humu katika Jf kama member. Lakin hoja muhimu kwa mtu aliyekwenda skuli hapo ni Kabla ya Uhuru yaani wakt wa mkoloni huko Tgk mikoa kama Tanga, Morogoro na Tabora iling'ara sana na ilikuwa na uchumi wa juu sana kuliko Kilimanjaro, Arusha na hata...
  6. Barubaru

    Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

    Alinda. Ndio maana nakwambia punguza Jazba na tulizana katika maandiko yako. Hebu rudi nyuma tartiibu na kuangalia nini ulihitaji kutoka kwanu. Kifupi hukuuliza suala bali ulitaka ufafanuzi wa sentensi yako au nimekufahamu vibaya? Angalia vizuri.
  7. Barubaru

    Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

    Alinda. Mimi nakushauri tu na hilo ndilo nililokubainishi huko juu. Kama mtu uliyekwenda skuli siku zote soma hotba/ maelezo yote kuanzia mwanzo mpaka mwisho kisha unakuja na masuala yako au comment zake. Wasomi hata siku moja huwezi kuuchukua mstari mmoja au miwili na kuanza kutoa masuala au...
  8. Barubaru

    Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

    Alinda. Nisome taratibu bila jazba wala ushabiki utanielewa kwani ukitanguliza hayo basi asilan na abadan huwezi kunielewa. Hoja yangu hapo ya kujadili ilikuwa hii " Kabla ya Uhuru yaani wakt wa mkoloni huko Tgk mikoa kama Tanga, Morogoro na Tabora iling'ara sana na ilikuwa na uchumi wa juu...
  9. Barubaru

    Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

    Napenda kurudia maneno ya Ahali yangu ZAKUMI. "Siasa ni mchezo wa taifa wa Tanzania. Tanzanian people take pride when they engage in unproductive and endless debates. Kwa maoni yangu binafsi, mfumo wa kisiasa umeundwa hili kulaghai ulimwengu kuwa Tanzania nayo inajishughulisha kwenye...
  10. Barubaru

    Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

    Mkandara. Naona umefanya very good Summary. Ahsantum. Ila palipo niacha HOI hilo hitimisho lako ambalo umeweka bayana bila kificha chochote. Mimi siku zote nasema yale yaliyofichwa miaka nenda rudi kwa joho la ujamaa ya kugawana umasikini ndio sasa inadhwihiri. Kabla ya Uhuru yaani wakt wa...
  11. Barubaru

    Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

    Mchambuzi, Naona umetumia maneno makali sana kwa ZZK. Je unaweza kunitajia mwanasiasa yoyote huko Tz hususan Tgk kwa wanaokusudia/ kutia nia kugombea uraisi wa Tz ambaye ni msafi asiye LAGHAI na asiyechezea akili za waTz katika kusaka uraisi wake? Mara nyingi nimekuwa najiuliza mbona ZZK na...
  12. Barubaru

    Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

    Alinda, Unatuambia kuwa Zitto alibadilisha baada ya kuona anaandamwa na watu. Je wewe ulichotuwekea ni kile alichoandika kabla hajabadilisha au ulichukua baadhwi ya Para na kuacha baadhwi? Kwa andiko la ZZK aliloliweka kapwela hapa barazani ni SAFI kabisa halina mushkeri wala tatizo lolote...
  13. Barubaru

    Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

    Mimi nafikiri Alinda anaweza kuwa na majibu mujaraab kwa mushkira huu. Labda atuweke wazi maneno haya Chini ameyatoa wapi? atupe ref. ."Dar inaongoza kwa kuchangia pato la Taifa -16.9% Dar -9.2% Mwanza kabla haijagawanya -7.3%. Mbeya -6%. Shinyanga -5.3% Iringa Hata hivyo Shinyanga ni moja...
  14. Barubaru

    Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

    Alinda, Nafikiri ujaelewa swali hapo ( au labda nikuandikie kwa my mother language Kiarabu labda utanielewa ...joke.) Kifupi hayo ulioandika hapo juu ni maneno ya ZZK? Na kama ya ZZK aliyatoa wapi? utupe reference yako? Hilo ndilo uliloulizwa na si lingine. Kwani kuna tuhumu Lukuki mnazozitoa...
  15. Barubaru

    Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

    Nguruvi3. Punguza jazba na munkar msome kwa uzuuuri muuliza suala kwani amelirahisisha sana na kupenda jibu fupi si maelezo mareeeefu. AMEULIZA HIVI JE REFERENCE YA TUHUMA ZAKO NI KWA SPEECH YA ZZK KULE SHINYANGA NA MWANZA AU NI BANDIKO LAKE LA FACEBOOK?
  16. Barubaru

    Duru za siasa: Chama cha ACT-Wazalendo Mpini wa CCM kumaliza upinzani(?)

    Nguruvi3, Naona kuna suala hapa umeulizwa na A Akhiy Ritz ni suala zuuri na la msingi sana kwetu sote kwani hotba utakayoiweka itatubainishia kujua nani mkweli na nani mrongo na mchakachuwaji kwani kiini cha tatizo na mtafuruku wa uzi huu ni kuhusu hizo hotba za Zitto. Tuwekee tafadhwal.
  17. Barubaru

    Nyalandu Kichwa, Kutoka Ilboru mpaka Cambridge (Kings College)

    Kumbe ni kijana wa juzi tu. SIJUI KAMA BINO alimkuta pale Ilboru
  18. Barubaru

    Nyalandu Kichwa, Kutoka Ilboru mpaka Cambridge (Kings College)

    Zao la BINO hilo na gari yake MZC 611. Mzee bango upooo. Tuimbishie wimbo wa skuli. Shule yangu Ilboru inasifika sana. Popote ninapokwenda inasifika sana. ... ...
  19. Barubaru

    Wakazi wa Rombo tumeongea na Wanahabari, Tutachukua hatua kali dhidi ya Mkuu wa Wilaya

    Tisha toto tu hizo kama kweli mliazimia kwenda mahakamani kwanini mnaongea na vyombo vya habari. Ilitakiwa tu yeye apate WITO wa mahakama na wala sio kutangaza katika vyombo vya habari. Sisi yetu macho tunasubiri ukweli au urongo wa kauli zenu hapa. Poleni
Back
Top Bottom