makampuni ya simu na makampuni ya madini yameigomea serikali kujisajili kwenye soko la hisa la Dsm na serikali imekubali sababu kodi yao halisi itajulikana ila mama ntilie na machinga wakigoma wanapigwa-Kafulila
Advance haikuanza 2000 mkuu sema mlianzisha HGL mkuu,huyo mama alikuwa anaitwa Teleza Zenda alikarabati kupitia danida ndo walifanya mambo pale afu nakufahamu wewe hahaaaaa nimekumbuka pondini pale nilikuwa na kademu kangu ndo point ya kukutana nacho
polisi mko wapi?mbona huyu miss anaonekana kaforgy cheti za kuzaliwa hamchukui hatua huu ni ubaguzi na upendoleo wa hali ya juu,angekuwa mtanzania mwingine mgeshupaha mpaka mishipa iwatoke mambo kama haya ndo yanafanya jeshi lenu linachukiwa au kazi na imtelejensia ni kwa chadema/ukawa?tu!
Kina ukubwa wa mita 24 kwa 20,unaweza kupitia njia ya moshi bar au kivule unafika kiwanja kipo safi hakina mabonde wala milima hakituami maji anayehitaji ani pm,bei milioni 8
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.