Search results

  1. M

    Mgambo wa jiji katika mapumziko!

    Walifanyia mazoezi hii style pia.
  2. M

    Masahihisho Kwenye Umri Wangu.

    Yes, lakini huulizwi umetungwa mimba lini. Ila unaulizwa ulizaliwa lini. so umri wako katika hali ya kawaida unahesabiwa kuanzia siku ulipozaliwa. Hii inawezekana julikana mpaka dakika. Siku ya kutungwa mimba ni lini?
  3. M

    Vigezo vinavyotumika kuteua ukuu wa mkoa au Wilaya: Je kuna Udini?

    Pamoja na utetezi mzuri utakao utoa. Nadhani si vema kupendekeza 'bias' unapouliza swali kama hili. Unawafanya wachangiaji makini wasikupe maoni yao. Kama ungetaka kujua vigezo, kikiwemo cha udini, ungeuliza tu vigezo. Kisha wadau wakakupatia wanavyovifahamu. Ukikuta kama cha udini hakipo, hiyo...
  4. M

    Mnyange Aminata Keita ajifanyia Kitchen party

    Umenichekesha sana The Boss. Eti mnyange utadhani mke wa mganga....! Hahahahahah!
  5. M

    Prof. Baregu aula SAUT

    Ninwasiwasi huu ni uelewa mdogo wa mambo. Kama ni uelewa mkubwa, basi ni ule wenye upeo mfupi!
  6. M

    JK apata PhD ya International Relations

    Kwani wanampa mtu kwa kukaa madarakani au kwa kufanya kitu cha ziada kama kiongozi?
  7. M

    Umeiona hii? Viongozi wapo kazini ati

    "According to Zuma, all men need do if they go around fathering children with many women is accept paternity, pay damages, invoke children's rights, blame the media and claim their right to privacy. If that does not work, you can also say ‘sorry’ before rushing off to deliver the State of the...
  8. M

    Autorec Tanzania Ltd: Closure of Business Operation of in Dar es salaam

    Bado nadhani Autorec ni wazuri na wako honest.
  9. M

    Salam zao Apson na Mboma

    Yaani hapa sijaokota kitu kabisa. Jama! Hakuna lugha rahisi zaidi ya hii?
  10. M

    Kagoda: Ni Rostam

    Yaani Feleshi anaweza akasema maneno hovyo hovyo hivi! Siamini. Nadhani muda umefika ajiondokee tu. Sidhani kama ana nia na nguvu ya kushughulilia masuala ya rushwa kama haya.
  11. M

    The case against MUSTAFA MKULLO

    Naomba mnielimishe. Kwa kawaida naona wataalamu wa fani hii wakiandika CPA (T) kuashiria kwamba ni ta Tanzania. je ya kwake ni ya wapi? Pili, Kwanini mtu mwenye ujuzi wa CPA aende kutafuta MBA ya shuo feki? Je, kuuliza haya ni wivu? Kama ndio, ni wivu kwa ajii ya qualifikations zake au ni wivu...
  12. M

    Alama/ logo ya Nyoka katika fimbo kwenye mambo ya afya ina maana gani?

    Huenda hii ikaleta pia uelewa zaidi Caduceus vs Staff of Asclepius
  13. M

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Mh. Asante kwa taarifa na uchambuzi wa kidakitari. Kha! Kweli hakuna wa kukupita katika hao waliotoa taarifa. shikamoo!
  14. M

    Je ni kwasababu gani watu wanapenda wowowo?

    Ukitaka kujua uzuri wa ngoma ingia ucheze. sasa wewe hutaelewa kwakuwa huenda sio mwanaume. Ungekuwa mwanaume ungeelewa kwa urahisi na wala usingeuliza. Kuna mambo ambayo wanawake wanapenda pia kwa wanaume. Wanaume hata ukiwaelezea hawataelewa na kupata the same enjoyment ambayo wanamke anapata...
  15. M

    Sumaye ndani ya Uingereza!

    Mambo mengine sio ili mradi tu unataka kusema. Hili sio jambo jipya na wala sio la kuumiza kichwa. Kama inaonekana shida basi suala sio Sumaye kujinyima asiende medical chekup wingereza, suala ni kubadilisha incentives za viongozi. Wewe ungekuwa sumaye ungefanya nini?
  16. M

    Issa Michuzi na vekesheni

    Nadhani mkuu wangu utakuwa humtendei haki Michuzi. Hivi ungekuwa wewe umeenda safari, tena nchi za nje, usingependa kuwaona watanzania wenzako huko? Usingependa kupiga picha? Hivi unajua kwamba JK baada ya mikutano yake masaa ya jioni anafanya nini? Ukimkuta anacheza draft au golf utasema kaenda...
Back
Top Bottom