Search results

  1. Meek Mill

    Kwa wale tunaolala sebuleni kwa ndugu njooni tupeane mbinu za kivita

    Mimi Nilienda Kijiji Kimoja Kinaitwa Ilangali Karibu Na Manda Kwa Babu Mwaka Jana..Aisee..Babu Alikuwa Anaingiza mademu Usiku..Nilikaa Siku 4 ya tano Nikasepa Kurudi Zangu Manda.
  2. Meek Mill

    Rais Samia: Huwa napitia JamiiForums naangalia maoni yenu

    Uyu mpwayungu village nimesha mwambia nita Mpiga Barua Moja Ya Trasfer ..ahamie Manda Akacheze Na Tembo. Akae Asiamini Kama mimi afisa Elimu wake wa wilaya Uwa Nasoma Mambo yake..anayo tusema Hapa Wilayani.
  3. Meek Mill

    Pesa za watu wasio onekana (majini au mengineyo)

    1.Fanya kazi 2.Fanya kazi 3.Fanya kazii 4.Fanya kazi kijana. Ungekuwa karibu ningekuchapa kibao
  4. Meek Mill

    Walimu wakuu kupata posho ni divide and rule, it's tragedy

    Mwalimu Kuwa na Nidhamu..Nitakulima Barua..Ubaki Una Taabika,Unachat na afisa Elimu wako unaleta Mdomo.
  5. Meek Mill

    Walimu wakuu kupata posho ni divide and rule, it's tragedy

    Jirani yako niko Muheme..Tutembeleane Mwalimu Na mimi Nimelima Alizeti,Hapo chifukulo nako Mvua Hakuna.Mwaka Wa Kukimbizana Na Tembo Huu.
  6. Meek Mill

    Walimu wakuu kupata posho ni divide and rule, it's tragedy

    Mzee wa Chifukulo..Vipi manda Hapo Kunaendeka Msimu Huu wa mvua?
  7. Meek Mill

    Nauza Benzi, Ml 320

    Chukua 16 mkuu,RANGI YAKE Sijaipenda..Itanibidi Nibadilishe.
  8. Meek Mill

    Nina wiki ya sita sijadindisha, mashine haisimami

    Fanya Ufike Nagulo Mwitikila Hapo,Kuna Mganga Wa Jadi Ana deal Na swala Kama lako.
  9. Meek Mill

    Ndugu yangu kaoa Barmaid, tunaona aibu hata mitaani

    Mzee wa chifukulo..Acha Hizi mambo. Acha Kuingilia Mapenzi Ya watu.Itaku Cost Mzee
  10. Meek Mill

    Amini usiamini, hii ndio thamani ya kichoma taka inayodaiwa na mafundi wa Wizara ya Afya

    Aya Ni Majungu Tu...Baada Ya Kutokuwepo katika mlologo,Hii ni national Cake,Wacha Watu Wapate kulingana Na Professional Zao. Acha Majungu,Nenda Shule uwepo. Medical attendat Hapa..
  11. Meek Mill

    Kukosekana huduma za Taxi-mtandao Mbeya jiji kunaufanya mji kuwa wa kizamani

    Mtoa mada Naungana na Wewe..Huo Mjii Ni wa Ovyo Sana.Huduma Nyingi muhimu za Dunia ya Sasa Hazipo Hpo.Mbeya Kiukweli Aina Tofauti na iringa.
  12. Meek Mill

    Maajabu ya Wilaya Songwe ni balaa

    Tuwekee usibitisho Hapa wa unachokisema.. Vinginevyo Aya Ni Majungu Na Fitina Zako.
  13. Meek Mill

    Ayub Rioba adai kufuatiliwa na TAKUKURU

    Jamaa uwa akipanic anavuta Sana Sigara..Sembuse wakati ana Andika Uko Facebook alikuwa Anavuta sigara.
  14. Meek Mill

    Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

    Mtoa Mada Umeupiga Mwigi Hapa.
  15. Meek Mill

    Hii tabia ya kulipa mishahara kwa mafungu ikomeshwe

    NMB,CRDB na FINCA..Na Uwezi amini Nakula Vizuri,Nalala Pazuri,Watoto wanasoma Shule Nzuri,nahudumia Wazazi Na Wana Ukoo Baadhi..Maisha Sio Mshahara Wako Wa Mwezi Tu Kijana.
  16. Meek Mill

    Hii tabia ya kulipa mishahara kwa mafungu ikomeshwe

    Kiasi cha TZS 146708.38 kimewekwa kwenye akaunti yako inayoishia na 09902 tarehe 22-12-2021. NMB Karibu Yako Tunako Elekea Uko Mbele Hii Kazi Ni Kuiacha Tu..
  17. Meek Mill

    Car4Sale Nauza gari min bus ldv convoy

    Naongea Kwa Experience...Hii Gari Yako ..Ukipata Mteja Wa Laki 5 ama 6 Muachie..Vinginevyo Utauza kama Scraper ambayo inaweza Isifike Laki 5
  18. Meek Mill

    Naomba Updates za kazi za Takukuru

    Niku Unganishe.?Bila Mchongo Ata Iyo Interview UtaisikiaTu Kijana.
Back
Top Bottom