Search results

  1. M

    Joseph Musukuma: Kikokotoo kinawaumiza wananchi, tunatengeneza taifa la wezi

    Kama ni hivyo kwa nini kuna double standard.? Mawazir na wabunge watumie Kikokotoo hicho hicho kama ni kizuri
  2. M

    Lema amshukia Jokate kama mwewe, asema hatuchagui kwa Jinsia, Dini au Kabila

    Jamani tupunguze mizaha. Saa100 ana uweuwezo
  3. M

    Marekani yaitahadharisha Tanzania juu ya Uchelewashwaji mradi wa LNG, Wawekezaji mbioni kujitoa

    Hakuna cha Hujuma wala nini. Alichokifanya Makamba kwenye hiyo wizara ilikuwa ni uhuni na upuuzi mkubwa. Mwekezaji anakuja na masharti yake Wazir anakubali kila kitu.. Hongera kwa vyombo vya usalama kwa kumweleza Mama kila kitu juu ya mipango ya hovyo ya Januari na ndoto zake za mwenye nacho...
  4. M

    Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

    Richmond na ESCROW ziliibuka JK akiwa rais sawa na si sahihi kusema kwamba mabaya yote yaliyotokea kipindi ch awam ya nne yalifanywa na JK.
  5. M

    Imetosha Kikwete Kusemwa, Mlitaka afanyeje?

    EL alibadilika Baadaye kama shetani alivyombadilikia Mungu. Baada ya EL kubadilika JK akamkacha kama Mungu alivyomkacha shetani!
  6. M

    Turudi kwenye kikao cha chama kati ya Waheshimiwa mawaziri na Mh. Makonda ni nani anakaa viti vya mbele kuwahutubia wenziwe?

    Nikupe ufafanuzi mdogo ndugu yangu kama utanielewa. Ni hivi Chama kinachotawala hasahasa kwenye nchi za mlengwa wa kati na kushoto kinakuwa ndiyo SHAREHOLDER wa nchi na serikali inakuwa Management ya nchi. Kwa maana hiyo, hata siku moja haitatokea makamu wa rais akiwa anatekeleza majukum yake...
  7. M

    Kule AFCON kuna timu nyingine ina Bango la Rais wao uwanjani zaidi ya Tanzania?

    Tunazisaka kwa Taifa Star Kufurushwa kwenye mashindano
  8. M

    Haya mabango ya Mama Samia kila kona, nani anagharimia? Yanatusadia nini kama nchi?

    Anayeyaweka anapata wapi hela za kutengeneza mabango yote hayo kama siyo matumizi mabaya ya pesa za Kodi za watanzania?
  9. M

    Rais Samia: Wananchi muache kuwachagua wanaowapa khanga na hongo hao sio wawajibikaji

    Mwaka 2015 JPM alipigiwa kura na Halmashauri kuu ya CCM pamoja na wagombea wengine watano akiwemo Membe, J. Makamba, Asha Rose Migiro, na Amina salum akashinda. Baadaye akiwa na wagombea wengine watatu yaan JPM, ASHANA AMINA wakapigiwa kura na mkutano mkuu wa CCM Magufuli akashinda Je Samia...
  10. M

    Tunategemea mwandishi kama huyu atasimama kuibua maovu nchini kama ananunulika na minofu ya nyama tu?

    Unaona aibu kwa sababu sababu tukio kama hili limeandaliwa na mbunge Sengerema na kuwakarimu jamii ya eneo! Hakika nikwambie matukio kama haya ni mengi mno tena tangue enzi na enzi na Pascal Mayalla umekula sana mema ya nchi kipindi cha Mkapa. Unazikumbuka zile safar zako Davos, London, Basel...
  11. M

    Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    System ya nchi hii ndiyo iliyomfutia mbowe Kesi ya ugaidi! Pamoja na mahakama kujilidhisha pasipo shaka kuwa mbowe alikuwa na kesi ya kujibu lakini SYSYEM ikamfutia kesi na akaenda ikulu moja kwa moja siku hiyo kutoa shukran. Na hilo ulikuwa hujui?
  12. M

    Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

    Uhalisia wa kuongeza mshahara huangalia mfumuko wa bei! Wingi wa mifuko ya hifadhi ya jamii siyo kielelezo cha uchumi imara. Ni suala la maamuzi tu. Kikokotoo kimeanza kufanya kazi mwaka huu mwez wa saba. Miaka miwili baada ya kifo cha shujaa. Kikokotoo Magufuli alikikataa na akamuondoa kwenye...
  13. M

    Hivi Hayati Magufuli angekuwa hai hali ingekuwaje mpaka sasa

    Kama JPM angekuwapo US DOLLAR ingekuwa inapatika bila shida tena exchange rate isingekuwa inazidi 2,300. Watu wangeendelea kununua vitu nje bila kudunduliza Dollaar.
  14. M

    Sabaya Senior (Loy Sabaya) apata Ushindi wa Kishindo Uenyekiti CCM Arusha

    Ndiyo, alikuwa ameandaliwa kwenye hicho cheo. Sasa unasemaje?
  15. M

    Ni ipi hasa ilikuwa sababu ya kumsimamisha Edward Lowassa kama mgombea wa Urais CHADEMA 2015? Lipi lilikuwa kosa la Dkt. Slaa?

    Taja kiasi alicholipiwa Dr. Slaa Hotelini na list ya jina la mlipaji. Tutajie pia majina ya walizi wa TISS NA namba za vitambulisho vyao. Huo ndo aina ya ushaidi unaotakiwa Ndugu yangu jielimishe kujua aina mbalimbali za ushaidi unavyotakiwa uwe itakusaidia kujenga hoja
  16. M

    Ni ipi hasa ilikuwa sababu ya kumsimamisha Edward Lowassa kama mgombea wa Urais CHADEMA 2015? Lipi lilikuwa kosa la Dkt. Slaa?

    Kwa sababu viongozi wa chadema walimtuhumu lowasa kwa wizi. Kwa mantiki hiyo chama kina watu wengi wazuri lakini kwa nini kiliamua kumchukua mgombea mwenye tuhuma na kuwaacha wanachama wengi wasafi na wanayoijua na kuipigania itikadi ya CDM?
  17. M

    Ni ipi hasa ilikuwa sababu ya kumsimamisha Edward Lowassa kama mgombea wa Urais CHADEMA 2015? Lipi lilikuwa kosa la Dkt. Slaa?

    Chama kikubwa kama CHADEMA hakiwezi kuchukua mtu aliyekataliwa na CCM waliomlea na kuwa mgombea wao wa kiti cha urais. Kibaya zaidi Viongozi zaidi ya watano wa kamati kuu ya CDM akiwemo M/kiti na katibu mkuu wakati huo walikuwa wamemtuhumu LOWASA kwa wizi na ufisadi waz wazi Kipi kiliwafanya...
  18. M

    Ni ipi hasa ilikuwa sababu ya kumsimamisha Edward Lowassa kama mgombea wa Urais CHADEMA 2015? Lipi lilikuwa kosa la Dkt. Slaa?

    Kama unaamini wapinzani waliomkataa Lowasa walihongwa na CCM weka ushaidi wa wazi. Kama unaamini bila ushahidi wa wazi Kwa nini unapata ugumu kuamini kuwa LOWASA aliwahongo CHADEMA ili wamkubali na wampitishe katika dakika za lala salama kuwa mgombea wa chama chao.
  19. M

    Ni ipi hasa ilikuwa sababu ya kumsimamisha Edward Lowassa kama mgombea wa Urais CHADEMA 2015? Lipi lilikuwa kosa la Dkt. Slaa?

    Pamoja na Kuhamia CHADEMA Lowasa Bado aliendelea kuwa na ulinzi wa TISS Thibitisha kuwa gharama za hoteli alilipiwa na ccm
  20. M

    Ni ipi hasa ilikuwa sababu ya kumsimamisha Edward Lowassa kama mgombea wa Urais CHADEMA 2015? Lipi lilikuwa kosa la Dkt. Slaa?

    Kwa kauli yako hapo juu. Wewe unaweza kuprove kuwa Dr. Slaa alinunuliwa na CCM?
Back
Top Bottom