Search results

  1. L

    Ugonjwa wa sonona

    Asante sana
  2. L

    Ugonjwa wa sonona

    Asante sana
  3. L

    Ugonjwa wa sonona

    Kutopata mtoto, issue za kazi, loneliness n.k
  4. L

    Ugonjwa wa sonona

    Yes nafahamu, ni mambo mengi sana
  5. L

    Ugonjwa wa sonona

    Asante sana.
  6. L

    Ugonjwa wa sonona

    Asante, ni hali ya kuwa na msongo wa mawazo, wasiwasi, hofu, kutopenda kujichanganya na watu, kuogopa, kuona kama dunia imekuelemea na hakuna sababu ya kuishi tena, Hzi ni baadhi ya dalili tu.
  7. L

    Ugonjwa wa sonona

    Hello JF doctors, naombeni msaada kwa anayejua hospitali nzuri DSM ninayoweza kupata daktari mzuri wa sonona! Msaada wenu ni wa muhimu sana kuinusuru afya yangu. Asanteni.
  8. L

    Siku mbili tu anadai ana mimba yangu

    Hahaha, Nimependa comment yako @ Mshana.
  9. L

    Haya mapenzi ya namna hii ni kwangu tu au?

    Asante kwa ushauri. Jamani kwa issue ya yeye kula haina shida maana hata mgeni yoyote anaekuja kwangu huwa najitahid walau apate chochote. lakin najiuliza kama mi ni mpenz wake bas awe tofauti kidogo na wagen wengine.
  10. L

    Haya mapenzi ya namna hii ni kwangu tu au?

    Usifurahi maana ndo hali halisi.
  11. L

    Haya mapenzi ya namna hii ni kwangu tu au?

    Yaani. sema moyo wa mtu huwez jua. ntajitahidi ushauri mnaonipa.
  12. L

    Haya mapenzi ya namna hii ni kwangu tu au?

    asante. kama yupo bas atakua amejifunza.
  13. L

    Haya mapenzi ya namna hii ni kwangu tu au?

    hamna kitu kama hicho. hata kijiko anachotumia kulia nimenunua mwenyewe.
  14. L

    Haya mapenzi ya namna hii ni kwangu tu au?

    It's almost a year now. Makubaliano yalikua kuoana. Labda hapo kumwonesha kwangu ndo nilikosea. Kwa kipato we are the same. Tumeajiriwa taasisi sawa tofaut ni majina tu. Ngoja Ntajaribu kufanya ivo. Asante sana.
  15. L

    Haya mapenzi ya namna hii ni kwangu tu au?

    Sure. Wote tumetokea mkoa mmoja dar tupo kikazi tu.
  16. L

    Haya mapenzi ya namna hii ni kwangu tu au?

    Mh, kumwambia mtu alipe chakula siwez sema kwa sabab ni mtu mzima bas angekua responsible hata kidogo tu.
  17. L

    Haya mapenzi ya namna hii ni kwangu tu au?

    Kwa siwez elezea maana kila mmoja anapendelea hayo baada ya kuoana.
Back
Top Bottom