Search results

  1. T

    Programming Crew!

    The farmer,oran,emannuel and others.please,can we share the ideas.Iam just reviewing java and python but am not very expert please can we share experience?
  2. T

    Na hii ya viongozi wa UWT je?

    Watanzania tunakoelekea siko kabisa!.Dini au kabila la mtu si hoja.E mungu tusaidie!
  3. T

    Msiba: WoS afiwa na babake

    Pole sana dada yetu kwa msiba mzito! Mungu akuzidishie nguvu katika wakati huu mgumu.Sisi sote njia ni moja.
  4. T

    Matokeo ya form four 2008

    Pimbi, Mkuu utakuwa umesaidia sana!.Nimetafuta sijayaona. weka hapa basi mkuu ahsante
  5. T

    Matokeo ya form four 2008

    Samahani, Hivi wameshayaweka? kwani nikienda kwenye hiyo link siyapati ninaona tu hiyo msg hapo. msaada kwenye tuta.
  6. T

    Utetezi wangu wa Mhe. Sophia Simba dhidi ya Ukosoaji usio wa haki

    Asante mwanakijiji kwa kuwa mkweli!!. mungu akupe uzima zaidi!
  7. T

    If our President has more than one wife: The question of human rights

    Jokakuu,ahsante kwa maelezo yako.kwanini hii imekuwa tabia sasa ya kila kizaniwacho kibaya kinafanywa na waislamu tu?.je raisi katumia kodi yetu kufanya hayo mnayoyasema?.kama ni hivyo basi ni kosa vinginevyo ni unafiki na uzandiki wa mtoa hoja tu.
  8. T

    Tanzania na tishio la migomo

    Mkuu sikubaliani na wewe kwa asilimia 100.Hivi kwanini watu wanapenda kumtathmini mtu kwa jinsi alivyofaulu darasani.kwa mfumo wetu wa elimu,ambao unamfanya mwanafunzi afurahie alama za darasani badala ya jinsi alivyoelewa na kufainyia kazi hiyo elimu ndiyo hapo tunazalisha...
  9. T

    Nusu Karne na CCM?

    Zitto:Hongereni sana kwa kazi nzuri!.Fanyeni mambo yenu tofauti na CCM ili muwe kweli chama mbadala!.
  10. T

    Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

    usishangae kuona reaction zilizopo hapa zikaendana na uongozi wa wahusika walionao.
  11. T

    Je, Viongozi wa Idara ambao ni Wachagga waachie ngazi!??

    Mkandara, Ninakubaliana na maelezo yako kwa asilimia kubwa,lakini hicho anachofanya mwanakijiji,kitafanya hayo makabila yazidi kuziba mianya kwa wengine ili kuunyesha kuwa si lolote si chochote.Ombi je hii mada inaweza kufungwa??? kwa mawazo yangu inazidi kuchochea chuki zaidi kuliko kutatua...
  12. T

    Udini CCM? - viongozi waislam ni 75

    Mwkjj, Hapo juu ndipo pagumu kwa mazingira yetu,kutenda haki , usawa na kufuata sheria ni vigumu na ndipo malalamiko mengi yanatokea hapo.kutumia logic pekee yake si rahisi hivyo.
  13. T

    Ephraim Mrema na Ufisadi TANROADS

    Msesewe, Uko sahihi kabisa,mfumo wa utumishi si mzuri,"divide and rule" ndiyo mfumo wa viongozi wengi wa hizi taasisi zetu za umma.Wewe kama ni threat kwa cheo cha kiongozi lazima ushughulikiwe,kama si mwanamtando wa bos umeumia.sielewi ni lini Tanzania tutajaribu angalau kuwa na utawala...
  14. T

    Who is MIZENGO PINDA? (private & Public)

    Mullah, Si dhani kama kabila litatusaidie kwa umaskini wetu huu.kama walivyosema wengine, utendaji mzuri ni wa muhimu zaidi!.Je unataka ujue kama ni kabila lako ili upate upendeleo?.
  15. T

    Upendeleo Kikwete Baraza Mawaziri - Kilimanjaro

    jokakuu, sidhani kama watu wanaamua tu kufanya hivyo,kama hao watu wa kilimanjaro hawajawatendea visivyo.Ninadhani kunasababu hasa ya watu kufanya hivyo.waache ubaguzi(ukabila)!
  16. T

    Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business

    Giga, ni kweli kabisa waziache mara moja.lakini kwa sasa hiyo siyo kipaumbele chetu cha kuzingumzia maisha ya watu,kipaumbele chetu ni kuendeleza mapinduzi ya fikra kuweza kuwafikia wengi zaidi.ni kweli usiofichika kuwa ili tuweze kufikia hapo,kuna wapinzani kama hao wanaolete mambo ya mtu...
  17. T

    KLH Exclusive: Augustine Lyatonga Mrema Anaunguruma..

    mkjj, Ninasubiri kwa hamu sana hayo mahojiano.saa ngapi vile?
  18. T

    Raia Mwema - Gazeti Jipya Kabisa la Kiswahili Kuingia Tanzania Kuanzia Tarehe 31 Oktoba

    Kwanza ninawapa hongera waanzilishi wote wa gazeti hilo.ninaimani kuwa watanzania Tunayoipenda nchi yetu tutawaombeeni kwa mungu ili manyang'au wasiwazuru!. Mungu ibariki Tanzania, mungu wabariki waanzilishi wa gazeti la raia mwema na wasomaji wake watakaoanza kulisoma MKJJ,Hongera sana...
  19. T

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Ni wale wale wanaofaidika.hata ukabila unaanza nyumbani kwani ukabila unaanza wapi?.Acheni hizo sasa mtu asiyekuwa na ndugu au mtu wa kabila lake afanye?.kwa hiyo hasitaili kufanya kazi katika nchi yake.Ninani katika wanamtandao atakayesema kikwete si kiongozi mzuri wakati anafaidika?.hata wewe...
Back
Top Bottom