Search results

  1. tcoal9

    Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    gorgeousmimi Ni nini tiba ya tatizo la kinywa kutoa harufu? Mswaki unatumia kila baada ya chakula, lakini ndani ya muda mfupi kinywa hutoa harufu kali.
  2. tcoal9

    Nahitaji haraka NOKIA LUMIA 520 - Mpya

    Wadau Nahitaji kununua NOKIA LUMIA 520 au LUMIA 525 Kama wewe ni muuzaji unayo dukani, Nijulishe duka liko wapi ili nifike. Au kama unafahamu ni wapi naweza kupata naomba unipe maelekezo ni wapi nitaipata. Pia ni vyema kutaja na bei yake. Mimi niko Dar es salaam. *** Tcoal9****
  3. tcoal9

    Serious issue

    Ni kwa nini labda wataka alieachika !
  4. tcoal9

    Jipatie Qsat Q23G HD satellite FTA receiver

    mw.rct Nitakutafuta mkuu kabla ya december hii kwisha
  5. tcoal9

    Je ni wapi Dar es salaam kuna hizi office "Tsim Sha Tsui Post Office"

    Habari wana jukwaa. Kuna mzigo inatakiwa usafirishwe toka china kuja Tanzania Kupitia Hongkong post. Na mzigo pindi ufikapo tanzania inatakiwa uchukuliwe hapa "Tsim Sha Tsui Post Office" Swali: Je hii ofisi "Tsim Sha Tsui Post Office" kwa Dar es Salaam iko mtaa gani. Ahsanteni.
  6. tcoal9

    Kwa Walimu na Wanafunzi wa Sekondari

    Wow!! Nimeiona APP ya physics | https://play.google.com/store/apps/details?id=com.myexample.Physics_TZ
  7. tcoal9

    Kwa Walimu na Wanafunzi wa Sekondari

    Apps nzuli sana, Je kuna yeyote anafahamu apps ya somo la PHYSICS
  8. tcoal9

    Nifanyaje kukinga TV yangu isiungue ?

    Je ni aina ipi ya stabilizer ni bora kiufanisi? na Je price range ni Tsh Ngapi?, Maana tulio wengi hatutumii hizi staerbilizer.
  9. tcoal9

    Uwezo wa kuongea na nafsi ya marehemu au mtu aliye mbali bila uchawi

    Mkuu Pasco popote ulipo kuna mada hapa yahitaji ufafanuzi kidogo Karibu
  10. tcoal9

    Mwanamke haridhiki

    Na ndio sababu kama hii muuza nyanya wa kitaa hapa kwetu amekuwa maarufu kwa wake za watu. Unabaki kujiuliza yle mama kila kitu anacho sijui kakaosa nini kwa mumwe mpaka aende kwa muuza nyanya. Hapa wanamume yabidi tujifunze na kubadilika.
  11. tcoal9

    Mpc star media

    MPCSTAR - Play all your Movies and Music! site yake hii hapa
  12. tcoal9

    Mpc star media

    Mpc Star the Best Video player for Window (download torrent) - TPB Ichukue hapo kwenye link jov
  13. tcoal9

    Nimeshindwana na G6, na nimehamia X man G8 nakula raha!

    qSAT inatofautiana vipi na xman g8 ya jamaa hapo juu
  14. tcoal9

    Nimeshindwana na G6, na nimehamia X man G8 nakula raha!

    Package yote ya xman g8 , jumla ni tsh ngapi inatakiwa. Na zinapatikana wapi
  15. tcoal9

    njoo hapa!!

    Internet: https://www.google.co.uk/search?output=search&sclient=psy-ab&q=Define+Internet&btnK= Network: https://www.google.co.uk/search?output=search&sclient=psy-ab&q=Define+Internet&btnK=#q=Define+network
  16. tcoal9

    TroubleShoot your TunnelGuru

    deleted by tcoal9. Heri ya mwaka mpya 2014
  17. tcoal9

    Msaada Tafadhali:Hivi huwa ni Kuoa;Kuolewa au Kuoana??

    The boss kamaliza tayari hapo juu
  18. tcoal9

    Msaada kuhusu pd proxy

    Mkuu najaribu kukutumia PM napa huu ujumbe njunwa wamavoko has exceeded their stored private messages quota and cannot accept further messages until they clear some space. Fanya kitu ili PM zetu zikufikie
Back
Top Bottom