Search results

  1. Mpendanchi-2

    Revealed: Tanzanian Thieves have Sh315bn in Swiss Banks!

    Please read the attachment to see what the hell is Tanzania leading while claiming the Government has no money with poor living standard, poor education infrastructure e.t.c. Na huyu mla mizoga wetu PCCB, hii ilikuwa kazi yake anasubiri kuletewa mezani anaanza kubweka next week...
  2. Mpendanchi-2

    Eti Mbunge wa Kilwa nae ameunga mkono budget: Angalia shule za kwao za enzi za mawe

    Hawa wabunge nafikiri urimbukeni unawasumbua, halafu mbunge mwenyewe ni kijana kabisa!!! nilitegemea angekuwa msitari wa mbele kutetea masilahi ya vijana wenzake kule Kilwa ili wapate mahali pazuri pa kusomea lakini Zerooooooooooooooo!!. Hivi katika hali ya kawaida mtoto anayesomea shule...
  3. Mpendanchi-2

    Viwanja vya makazi vinauzwa mbezi ya kimara

    Bado vipo hivyo viwanja? Je, ni umbali gani toka morogoro road kuelekea hiyo mpigi road??
  4. Mpendanchi-2

    7 reasons the 787 Dreamliner is special

    Wamechemsha tu, hawawezi kuishindanisha na Air Bus inayo beba abiria 840 wakati hiyo Boeing 787 inabeba watu 250 karibu mara tatu!!! Airbus A380[34] Airbus A380F[34] Boeing 787-3 Dreamliner[35] Boeing 787-8 Dreamliner[35] Boeing 787-9 Dreamliner[35] Capacity...
  5. Mpendanchi-2

    Magari ya kawe...

    Nilitaka nikupitie na kiusafiri changu nikuchukue nikupeleke kawe si una Unaona hiyo Vokswagen yangu hapo kwenye Avater !!!
  6. Mpendanchi-2

    Tatizo la Kukojoa Kitandani kwa Watoto - Ushauri, Tiba na Namna ya Kukabiliana Nalo

    Jaribisha na dawa za Masai, lakini hao wa mjini wengi waongo ukipata masai orijino wana dawa nzuri sana kwa magonjwa ya anina hiyo, kuna watu nawafahamu zimewasaidia wamepona.
  7. Mpendanchi-2

    Aliepandisha dora nakushusha tzs ni nani

    Kama ni hivyo basi kuna tatizo, na kuna watu walifanya makusudi . Kuna mawili either watu walificha dola majumbani ili ziadimike wapandishe bei, au Bank Kuu inajua ilichofanya. Na kama walijua solution kwa nini wameacha watu waumie kiasi hicho!!!!
  8. Mpendanchi-2

    Rais Kikwete ateua bodi mpya ya TANESCO

    Sasa huyo Ret. Gen. Mboma ndiye mwenyekiti wa board ya wakurugenzi wa TPDC ambayo pia ipo chini ya Wizara hiyo hiyo ya Nishati na Madini chini ya Ngereja. Hilo Shirika mmoja tu anapata nalo taabu linamshinda, na sasa anapewa jingine TANESCO lenye matatizo lukuki!!!! Nchi itafika...
  9. Mpendanchi-2

    Al-Shaabab/Maharamia wa Somalia wanabadilisha vipi fedha haramu Afrika ya Mashariki?

    Wewe unayepinga tupe ushahidi wa hicho unachopinga kwa nguvu hadi unatoa mapovu mdomoni, Umeguswa nini!!! Yaani hilo swala huhitaji kutumia degree kuchunguza, vyombo vya Usalama ndiyo kazi yake na wanalipwa kodi zetu kwa kazi hiyo, hivyo hatutegemeei kuona nchi inaelekea kubaya wakati...
  10. Mpendanchi-2

    NEW NEW !!!! MSC. Scholarships by NORAD - changamkia haraka sana kazi zimejaaa!!!!!!

    Kwa wale wapenda shule changamkia scholarships hizo haraka sana kama GPA yako inaruhusu. MSc. Petroleum Engineering and MSc. Petroleum Geoscience. Kazi zake zimejaa kibao hakuna watu dunia nzima inawatafuta. Kwa application fungua attachment hii: For viewing jobs related to...
  11. Mpendanchi-2

    NBC Visa + MasterCard zaanza kugawiwa

    Je umejaribu kuwauliza ni lazima mtu aende mkoani alikofungulia account au anaweza kuchukua head office Dar, badala ya kutumia pesa kusafiri?
  12. Mpendanchi-2

    NSSF Msijihusishe kwenye biashara ya Umeme

    You said everything
  13. Mpendanchi-2

    Songas wachanganyikiwa, waanza rasmi kuhujumu mradi wa bomba la gas la serikali

    Nimeona nikupe elimu kidogo kuhusu grid ya umeme na pipeline. Mimi huwa ni mpenzi sana wa kufuatilia issue ya energy kwani najua bila energy ya kutosha hatutakaa tuendelee kamwe!. Ni mdau mnzuri tu. nilipoona swali lako niliamua kuwatafuta wahsika wa bomba wajibu kwa nini wanataka bomba na...
  14. Mpendanchi-2

    ITV: Mh. Mengi adai Manji amerudisha fedha za kifisadi

    Mambo ya mabifu yao , au wanawake wao achana nayo hayakuhusu , muhimu kujua je Manji aliiba hizo pesa au hakuiba!!? na kama amerudisha , sheria inasemaje mwizi akirudisha kuku aliyekuwa amemwiba??. Hiyo ndiyo hoja ya kujibu
  15. Mpendanchi-2

    Ajari ya Mtoto Mdogo Nchini China Ni Anguko la Ujamaa wa Kichina Kwishey

    Tusisingizie Ucommunist, hiyo ni tabia mbaya tuu, ambayo inamfanya binadamu kuwa kama shetani, !! Kwani hata siwezi kumlinganisha na mnyama , maana hata ng'ombe angepita hapo akikuta damu ya ng'ombe mwenzake huwa anapiga kelele sana!! na kuchimbua ardhi. Kama huamini mpitishe ng'ombe...
  16. Mpendanchi-2

    Kikwete ahofia kung'olewa CCM kwa madai ya kushindwa kukiendesha chama

    Gamba ni gamba tu hata ukilivua likiota linakuwa lile lile!!!, Huwezi ukavua gamba la nyoka likaota la chura!!
  17. Mpendanchi-2

    Viwanja vinauzwa Ilala (Kipawa Mpya) bei milion 6 - vimepimwa

    Kwa hiyo haufiki Chanika mwisho? vipo vingi maana nahitaji lakini nitakuwepo hapo mwezi ujao
  18. Mpendanchi-2

    Nape, Lusinde walichokuta Mwanza kimewatosha

    Siyo kuwapa mkong'oto tu , bali ni pamoja na kuwaua na kuwapoteza mtawaona baada ya week mbili wakiwa vichakani!!! hicho ndicho chama cha majambazi orijino
  19. Mpendanchi-2

    Songas wachanganyikiwa, waanza rasmi kuhujumu mradi wa bomba la gas la serikali

    Mkuu, nimesoma uchambuzi wako vizuri na nimeelewa concern yako ni data. Hapo kuna vitu kama vitatu hivi vimesababisha tofouti ya data. Third part part transfer of information, knowlegde ya hivyo vipimo ambavyo vingi huwa kwenye field units ( british units) hazijazoeleka na tatu ni uvivu...
  20. Mpendanchi-2

    Songas wachanganyikiwa, waanza rasmi kuhujumu mradi wa bomba la gas la serikali

    Baada ya Wataalamu wazarendo wa TPDC na wizara, kuamua kuachana na Mradi wa Songas wa kupanua miundombinu yake ili aendeleze mikataba yake ya kinyonyaji , na kuamua kuanzisha mradi mpya utakaojenga bomba kubwa na processing plants za kustosha kwa gesi hadi miaka 30 ijayo, Songas...
Back
Top Bottom