Search results

  1. google helper

    SoC02 Uchafu unatukwamisha sana watanzania kupiga hatua kimaendeleo katika nyanja zote. Hakika sisi ni wachafu sana

    Uchafu ni maudhui, matendo au mata inayopatikana mahali pasipotakiwa kwa wakati usiotakiwa. Hatuwezi kutenganisha maendeleo na usafi au mpangilio wa kila kitu, kila siku katika mambo yote yanayotuzunguka. Uchafu katika nchi yetu sio jambo geni kabisa maana uchafu upo kila mahala. Uchafu...
  2. google helper

    Huu ni uzandiki, upuuzi na uzembe uliopitiliza

    Wakuu salamu kwenu. Kama umeamua kuwa mzazi kwa mipango au kwa bahati mbaya, basi kubaliana na hali hiyo. Sasa juzi nikiwa safari Dar to Dodoma, kuna mzazi mmoja yuko na mwanae wa kiume mdogo miaka 6 hivi, wamekaa zile siti mbili yeye dirishani na mwanae hii siti ya kati. Wakati mm niko siti...
  3. google helper

    Kurejea kwa Mike Iron Tyson ulingoni Mwezi ujao

    Habari zenu wana jamii forum. Matumaini mko poa. Wale wazee wa ngumi tofali, wapenzi wa mitulinga mizito kuliko ya mwakinyo na myweather, ebu tutoe tathmini zetu kuhusu kurejea ulingoni kwa mzee wa kazi ya fasta fasta akiwa uwanjani, mwamba Mike Iron Tyson hapo baadae mwezi ujao akimvaa Roy...
  4. google helper

    Kiasi gani kutoa kwa wakala unatoa kwa mashaka mashaka sana?

    Habari za weekend wakuu. Katika maisha mambo ni moto kuna kupanda na kushuka. Kuna kipindi unaenda kwa wakala unashindwa kumwambia natoa buku au akuunge kifurushi maana hali ni ngumu. Na siku ukienda na kimeo kama hivyo watu kibaoo unahangaika tu kama mtu anayetaka kukopa kwa Mangi. Kwako ni...
  5. google helper

    Wale walio na wababa wanoko uwanja huu wenu

    salamu zenu wakuu. Kama ilivyo kila mmoja ametoka katika familia tofauti tofauti kimalezi. Malezi ya familia nyingine kwa kweli mtihani. Baba ni kama Simba mbugani yaani muda wake wa kurudi watoto na mke wote hawana amani, raha wala furaha. Japo sijatoka katika hizo familia ila nimekaa na...
  6. google helper

    Wale waliokuwa vikojozi na kutembezwa na magodoro yao mtaani

    Wanajamvi, poleni sana na hali ya uhaba wa sukari maana hata ukiumwa hiyo corona mgonjwa wake uji, sasa uji bila sukari mgonjwa anaweza kufa kwa kweli. Maisha yanakwenda kasi hatari kuliko kasi ya covid 19 wazeiya, ni vizuri kukumbushana mambo yaliyoteka uwanja tukiwa wadogo. Japo sijawahi...
  7. google helper

    Naomba ufafanuzi wa liduid seaweed concetrated fertilize

    Wakuu habari za maisha na mapambano ya maisha kwa ujumla? Poleni kwa Corona na uhaba wa sukari. Msaada kwa yeyote mtaalamu wa kilimo hasa cha green house na hiki kilimo cha kisasa cha hydroponic. Nina shida na liquid seaweed fertilizer concentrate, akitoa ushauri na matumizi yake na wapi...
  8. google helper

    Wale tuliowahi kuandikwa kwenye "black book" enzi za shule au tulioponea kuandikwa tukutane hapa

    Nawasalimu woote wana JF, poleni na udukuzi wa mtandao wa Vodacom. Moja kwa moja kwenye mada, katika maisha ya shule wengi wetu tumewahi kusikia mwalimu anakwambia atakuandika kwenye BLACK BOOK kwa kosa ulilofanya. Upande wangu mm niliponea ponea kuandikwa, ilikuwa hivi; nakumbuka nilikuwa...
  9. google helper

    Furaha ikawa huzuni.

    Habari wana jamvi. Ilikuwa miaka ile tukiwa wanafunzi, miezi michache tufanye necta form six. Kipindi hicho voda wana tangazo lao hilo mdada analalamika umenikanyaga( kama una kumbukumbu utajua mwaka). Basi mabweni yoote asubuhi ile tunajiandaa kwenda darasani mara huyu yuko na boxer, huyu uchi...
  10. google helper

    Naomba kujuzwa kuhusu Bagamoyo marathon 2018

    wakuu habari za wikiendi, hongeren na polen kwa harakati za maisha hapa na pale. yeyote anayejua utaratibu wa kujisajiri, zawadi kwa washindi na lolote kuhusu kuhusu bagamoyo marathon. naomba kuwasilisha.
  11. google helper

    Ustaarabu ni muhimu wakati wa safari

    Wakuu poleni kwa shughuli za kutafuta riziki, walioko nyumbani kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa wiki basi tuwalee pia watoto wetu vizuri kupunguza ma snitch siku za usoni. Kuna hii tabia mbaya sana , hasa wakati wa safari, sijui ndo show au ujinga au ulimbukeni maana mtu ile mmepanda gari...
  12. google helper

    Inaleta utata sana

    Wakuu mu hali gani huko mlipo ? Poleni wooote wa mabondeni kwa mvua, hongereni wakulima kwa mvua na wale wooote wanaotafuta uzao hakika hali ya hewa inapendeza. Basi turudi kunako jamvi letu. Kuzungumza lugha moja bila kuchanganya na nyingine inapendeza sana lakini kuna wakati inaleta mfadhaiko...
  13. google helper

    Kwanini Benjamin Franklin hakuwa Rais wa Marekani na yupo kwenye noti ya dollar 100 ?

    Wakuu, Japo wapo baadhi ya watu ambao hawakuwa Marais wa Marekani lakini wamewekwa kwenye noti za Marekani. Humu ndani wako wachambuzi wazuri sana wa historia, wanaoweza kutoa ufafanuzi ni mambo gani yanamfanya mtu kuwa na sifa ya kuwekwa kwenye noti.
  14. google helper

    Tabia zinazojenga maono katika maisha.

    Habari za mwanzo wa wiki wakuu, poleni na hongereni kwa weekend. Nianze moja kwa moja. Kuna tabia zinamjenga mtu akawa mtu ambaye utapenda uwe karibu nae au kujipenda hata wewe mwenyewe. Tabia hizi ukianze kujifunza kuanzia leo na kuendelea utaona mabadiliko makubwa sana ktk maisha na hata...
  15. google helper

    Maneno yanayoweza kukufanya upambane zaidi au kukukatisha tamaa....

    Habari GT, unajua katika haya maisha kuna vijimaneno maneno vidogo vinaweza kukufanya upambane au uwe boya tu. Nitatoa mfano ili tutiririke na sisi, Sio wewe tu.... Hii [emoji115] sentence kama ulikuwa umepigika huna pesa unakutana na mwana anakwambia sio wewe tu hana mimi sina. 2. Hata...
  16. google helper

    Shanga zinatoka wapi ?

    Habari wakuu, kwa yeyote anayejua shanga zinakotoka ebu afunguke maana nimekuwa najiuliza bila majibu Najua mtu kama mshana Jr, mzizi mkavu na ma Great thinkers wengine watakuwa wanajua
  17. google helper

    Katiba inaongeza nguvu za kiume, so kama unatatizo pita hapa...

    Habari zenu wanajamvi ? Natumaini mu wazima kabisa, so kama mada tajwa hapo juu ni kwamba vijana wengi wameipotezea katiba yetu kiasi cha kufanya maccm yaandae kwa matumbo yao kwa kupunguza na kuongeza yale yasiyokuwapo kwenye rasimu ya warrioba. Hivyo basi ni vizuri kama vijana wangejitokeza...
  18. google helper

    software ya kinanda kuconnect na computer

    wakuu za usiku, jaman naomben mwenye ujuzi na utaalam pamoja na software nzur ya kuconnect kinanda pamoja na computer ..msaada jaman
  19. google helper

    Tusherekehe siku waliozaliwa hawa viongozi pia

    Kwa ninavyoamini mimi wengi huwa tunapenda sana kuadhimisha siku zetu za kuzaliwa lakini kwa viongozi wetu wa mambo ya kisiasa ni tofauti wao wanaadhimisha siku zao za kufa ambazo hata vifo vyao havijulikani sababu ni nini. So ili kuondoa maswali na siku za kuzaliwa zipewe kipaumbele.
  20. google helper

    Tafsida zisizo huru ila zinatumika sana....

    Wanajamvi leo naomba tuzitambue tafsida zinazofanya vizuri katika tasnia hii ya mawasiliano yetu hasa hasa hapa JF kwa wajanja, kama vile:- Kugegeda Umeliwa 0713 Punga. Nisitaje zote ebu tutiririke wenzangu.
Back
Top Bottom