Search results

  1. Centrehalf

    Heri ya mwaka mpya 2015

    Amani kwa wote wana jf,nawatakia heri ya mwaka mpya 2015 wenye baraka tele na mafanikio.naomba mwaka 2015 tujikite kwenye mijadala ya maana na yenye tija kwa taifa kama vile njia za kumaliza ufisadi serikalini,kura ya maoni ya katiba pendekezwa na uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.kila la kheri wana jf.
  2. Centrehalf

    Hongera CUF kwa kuchukua vijiji vingi Liwale

    Salaam,napenda kukipongeza chama cha wananchi (CUF)kwa kuchukua vijiji 37 kati ya 76 vya wilaya ya Liwale.Hongera wananchi wa Liwale kwa ushindi wenu.Hongera mh. Said Katundu na uongozi wote wa wa mkoa na wilaya wa CUF.
  3. Centrehalf

    Hivi kati ya ccm na ukawa,ni nani aliyepata mafanikio kwenye huu uchaguzi wa s/mtaa nchini kote?

    Amani kwa wote,napenda kujua katika uchaguzi uliofanyika 14 dec 2014 nani aliye pata mafanikio kati ya ccm na vyama vinavyounda umoja wa katiba ya wananchi(ukawa) ni nani?
  4. Centrehalf

    Ni chama gani kitashinda uchaguzi wa s/m mtaani kwenu?

    Salaam wana jamvi,leo nimeona tupashane kidogo kuhusu kinachoendelea kwenye mitaa yetu kuhusiana na uchaguzi wa wenyeviti wa seriikali za mitaa.kwa sasa mimi nipo mby kata ya ruanda mtaa wa soko ndugu baraka abel wa chadema anakubalika sana hapa.vp hapo ulipo wewe nichama gani...
  5. Centrehalf

    Tafsiri ya anayesimamia na anayesimamiwa, nani ana mamlaka juu ya mwenzie?

    Salaam, naomba kupewa tafsiri halisi ya ibara ya 100 ya katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania. Katika ibara hiyo kuna kipengele kinachoelezea kazi moja wapo ya bunge ni kushauri na kuisimamia serikali. Ndio maana nimeona niulize kwa wataalam wa sheria kama kazi ya bunge nipamoja na...
  6. Centrehalf

    Kupitia escrow tumewajua wabunge wa wananchi na wabunge wa serikali

    Amani kwa wote,kupitia escrow nimeshuhudia baadhi ya wabunge wakiwatetea maslahi ya wananchi kwa nguvu zao zote,akiwemo mnyika,sendeka,dr kigwangwala na ukawa wote .pia nimeshuhudia wabunge wakitetea serikali katika wizi wa escrow akiweo lusinde,asunta na wengine wengi.je mbunge wako alikuwa...
  7. Centrehalf

    Hongera bunge la jmt

    Amani kwa wote,napenda kuchukua nafasi hii kuwapongeza wabunge wa bunge la jmt kwa namna walivyoungana kulishughulikia suala wizi wa akaunti ya escrow.nimefurahishwa sana na msimamo wa naibu spika mh job ndugai pamoja na wabunge katika kuhakikisha bunge haliingiliwi na mhimili mwingine katika...
  8. Centrehalf

    Huu uzi ni maalum kwa heshima ya waliopiga kura ya hapana

    Amani kwa wote,nachukua nafasi hii kuwapongeza wajumbe wote wa bmk waliopiga kura ya hapana.kwangu mimi bila kujali itkadi zao,dini zao,elimu yao,kabila zao,na jinsia zao hawa ndiio mashujaa wetu baada ya mwalimu nyerere na mzee karume katika vita ya ukombozi wa kimwili na kifikra.kwa heshima...
  9. Centrehalf

    Kwa hili bunge maalum la katiba mmechemsha

    Amani kwenu wote,nimekuwa nikifuatilia bunge maalum la katiba toka kuanza kwake.ila nimeshangazwa na kitendo cha bmk kupitisha mambo mengi yasiyo na faida kwa wananchi ila kwa viongozi kwa mfano, 1.suala la wananchi(waajiri)kunyimwa mamlaka yakumfukuza kazi mbunge(mwajiriwa) atakaposhindwa...
  10. Centrehalf

    Kwanini mbunge asifukuzwe kazi?

    Nimeshangaa sana na maamuzi ya baadhi ya kamati za bmk kukataa kipengele kwenye rasimu ya katiba kina chowapa haki na mamlaka wananchi kumfukuza mbunge iwapo atashindwa kutimiza ahadi zake kwa wapiga kura wake. Tangia lini mwajiriwa akajiwekea kinga ya kutofukuzwa kazi na mwajiri wake?kama...
  11. Centrehalf

    Mrema amuomba rais Kikwete amfukuze ubunge Mbatia

    Katika hali ya kushangaza mbunge wa Vunjo Augustine Mrema amemuomba rais Kikwete amfukuze ubunge mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, mh. James Mbatia kwa madai kuwa anamfuatafuata kwenye jimbo lake Vunjo.
  12. Centrehalf

    Tanganyika kuiangusha CCM kwenye chaguzi zijazo

    Amani na upendo kwenu, kitendo cha CCM kuifuta Tanganyika kwenye rasimu sawasawa na kuifuta CCM kwenye medani za siasa hapa Tanzania, nimefuatilia kauli mbalimbali za watu mbalimbali jinsi walivyochukizwa na kitendo cha kufutwa Tanganyika, kwa kitendo cha kuifuta Tanganyika CCM imewapa hoja za...
  13. Centrehalf

    Tahadhari Tulipata uhuru bila kumwaga damu lakini katiba inaweza sababisha damu kumwagika

    Salaam kwa wote,tanzania ni miongoni mwa nchi chache barani africa zilizopata uhuru bila kumwaga damu.lakini kwa mwenendo huu wa mchakato wa katiba nahisi harufu ya damu.nasema hivyo kulingana na mazingira ya mchakato wa kuandika katiba ulivyo jaa ubabe,ghiliba,dharau na ubinafsi.kuna kundi la...
  14. Centrehalf

    Kwa hili Arfi na Shibuda mmechemsha

    Amani kwa wote,ni nimeshangazwa sana na kauli zinazotolewa na Arfi pamoja na shibuda kama utetezi wao juu ya ushiriki wao kwenye Bunge Maalum la katiba. Nikianza na Arfi yeye anasema anaenda kuwakilisha wapiga kura wake maana yeye ni mbunge,kauli ambayo haitofautiani na ya Shibuda anaedai kuwa...
  15. Centrehalf

    Kuendelea kwa bunge maalum la katiba bila ukawa kuna madhara makubwa kwa ccm.

    Salaam wakuu,leo ni siku ya pili toka kuanza kwa bunge maalum la katiba jana tar 5/8/14.ni siku ya pili kuendelea kufuja pesa za watanzania wanaopambana usiku na mchana kujinasua na maisha ufukara mkubwa walionao.nasema hivyo kwasababu pamoja na kukaa kote huko na kuongea kote na hata kujadili...
  16. Centrehalf

    Matokeo ya uchaguzi wa chadema mbeya jiji

    Wakuu naomba kujulishwa matokeo ya uchaguzi jiji la mbeya kwa mlioko jikoni.
  17. Centrehalf

    Eid mubarak

    Asalaam aleikum wana jamvi,natoa eid mubaraka kwa kila mtu aliyeifikia siku ya leo baada ya mfungo mrefu wa ramadhan.eid mubarak
  18. Centrehalf

    Mbeya wagoma kuilipa kodi ccm

    Salaam,wafanya biashara waliojenga maduka na ofisi kuzunguka uwanja wampira wa sokoine pamoja na uwanja wa sabasaba wamegoma kukilipa kodi chama cha mapinduzi (ccm) kwa madai kuwa ccm sio wa miliki halali wa maeneo hayo bali ni maeneo yanayo milikiwa na wananchi hivyo kupelekea wafanya biashara...
  19. Centrehalf

    Kwanini chadema tu?

    Salaam wana jamvi,nimefanya kautafiti kangu kdogo juu ya vyama vya siasa nchini na kugundua ya fautayo; 1,chadema ndicho chama kina chotajwa sana na watanzania wengi penye watu 10 angalau watu 6 mpaka7 wanaongelea chadema. 2.kwenye mitandao kama kuna habari 10 basi angalau 6 zinahusu chadema...
  20. Centrehalf

    Hongera CUF kwa kufanya uchaguzi wenu kwa amani

    Salaam wana jf,nachukua nafasi hii kukipongeza chama cha wananchi cuf kwa kufanya uchaguzi kwanzia ngazi ya chini kabisa hadi taifa.pia napenda kuchukua nafasi hii kuwa pongeza viongozi wote walio chaguliwa na wanachama kuanzia ngazi ya chini kabisa hadi taifa.ila napenda kuwakumbusha viongozi...
Back
Top Bottom