Wakuu wenzangu wa zamani sijaonekana muda mrefu, wapangaji ndio wanaopanga bei na namna ya kukulipa au wanahama, upanga nyumba ya 3 bedroom ni laki 7 kutoka dola 1100. fremu kariakoo ni 500000 kutoka dola 1200. Wageni karibuni musiwe waoga tena ningependa members wote angalau wawe ni diploma...
Kila idara ihakiki vyeti na kutoa takwimu kama za waajiriwa hewa tuseme ndani ya miezi sita na hatua zilizochukuliwa ili tuanze mwaka 2017 kwa kuajiri wanaostahili. Hili tatizo ni kubwa nakumbuka mpaka mawaziri fulani miaka iliyopita walihusishwa na vyeti feki.
Mi uporoto01 nikiwa Nairobi nawasalimu wana chitchat popote mlipo wageni na wakongwe.Nilikuwa bongo kwa muda wa miezi miwili na sasa nimerudi kituo changu.
Hili ni swali nalokutana nalo kila siku napoongea na Wakenya katika mihangaiko yangu hapa Nairobi.Hivi huko Bongo mkikutana na Wakenya huwa mnawauliza nini?
Nipo hapa Natural Heritage iliyopo Kenyatta Market naangalia Man U wakicheza na Wigan wakigombea ngao kabla ya ligi kuanza rasmi wiki ijayo.
Nawatakia Eid njema members wote wa chit-chat popote walipo,wengine wanasherekea leo na wengine kesho la muhimu nawatakia afya njema na furaha maishani mwenu.
Afadhali unaitwa Mbethideiwa nami naitwa ibrahim zamani kabla ya kutumia Uporoto hapa JF nilikuwa najulikana kama Khoryere na Lagatege yote majina ya kabila langu la Kisomali na pia nipo kwa jina langu halisi la Ibrahim hebu tafuta utanifahamu.
cc
Invisible: hebu unganisha posts zote za majina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.