Search results

  1. Strong

    Uchambuzi: kwanini Simba ni ngumu kutoboa Kwa waarabu

    Umeijua simba elfu mbili na ishirini na ngapi?
  2. Strong

    Hivi kwanini mtu akija huku Dar anapenda lafudhi ya kiswahili chetu?

    Wataka nii? Tusiige lafudhi ili mtuibiee tuache bwana weee
  3. Strong

    Natuhumiwa kutembea na shemeji yangu sasa nimeamua kufanya kweli!

    Mimi kitendo cha ww kuanza na " ta" badala ya "nita" kwenye maelezo ya ko na ww ni wa kiume nimemlaumu sana mkeo kuolewa na wewe
  4. Strong

    Tangu nifike Mjini miaka mingi iliyopita sijawahi kushuhudia mgao mkali wa umeme kama huu unaoendelea leo

    Umeme umekuchanganya Ama ni ni hahaaaaaaa mbona aliyecoment wa kwanza na hajamquote mtu humwambii kitu ndugu umenikazania mm tu ..mm nafanya ninachojua ninataka kufanya ndo maana ww na kuquote maana najua nakutarget ww au unazani mm ndo mkata umeme bwana setin relax maisha hayatak ujuaji maisha...
  5. Strong

    Tangu nifike Mjini miaka mingi iliyopita sijawahi kushuhudia mgao mkali wa umeme kama huu unaoendelea leo

    Kutokuquote mtu ni kukosa ustaarabu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  6. Strong

    Tangu nifike Mjini miaka mingi iliyopita sijawahi kushuhudia mgao mkali wa umeme kama huu unaoendelea leo

    Namjibu mtoa post aisee yy comments zote zinamhusu bwana mbona unapenda mambo yawe complicated au ni vp aliyetoa post ndo anaejibiwa ukiona hajawa quoted mtu ujue naijibu post kuquote sio lazima
  7. Strong

    Tangu nifike Mjini miaka mingi iliyopita sijawahi kushuhudia mgao mkali wa umeme kama huu unaoendelea leo

    Ina maana ulikua nje ya nchi mbona wenzio tushazoea na ww endelwa kuisifia wenzio tuna mengi ww umeme nao kwako leo tu wenxio tunakatiwa daily
  8. Strong

    Kibarua cha siku 1 (Kesho - Jumatano)

    Kama upo siliaz nakuhurumia sana ukimpata mtu akafanya iyo kazi kwa 10k niite mbwa na huyo mtu mm nitamwita mbwa nilichojifunza ww umenunua eneo hivi karibuni huna experience kabisa ya kilimo na program zake ndo maana unasema unagawa shamba mtu alilime bure
  9. Strong

    Kama nchi ya Kenya imeshaanza mazungumzo na DPW, wabongo mmelogwa na nani?

    Shida sio mazungumzo shida ni makubaliano ,,, unajua kenya wanazungumza nini na ninyi mmezungumza ninii wee vp bwana
  10. Strong

    Yanga: kuifundisha Simba jinsi ya kushinda popote

    Mkuu unaakili balaa
  11. Strong

    Yanga: kuifundisha Simba jinsi ya kushinda popote

    Hahahahaaaa wanashinda na kuanza kuliaaa
  12. Strong

    Dar: Basi la Burudani kutoka Korogwe Tanga, lapata ajali Mbezi

    Huo msitari wa mwisho ungeufuta tuuu maana ni none sense
  13. Strong

    MOI: Mwanaume aliyegongwa na Basi la Mwendokasi yuko ICU

    Umepost ujinga sana ndugu yangu
  14. Strong

    Mliomshambulia January Makamba njooni mumpongeze baada ya hali ya umeme kutengemaa

    Risala yako sijaisoma ingenichosha tuu tulimsema kwasababu tulikua tunanyimwa haki yetu ambayo tunalipa wenyewe sasa apongezwe kwa kipi wakati hii ndo kawaida iliyotakiwa yaani tumpongeze kwa sababu umeme haukatiki basi we mwenzetu una tatizo ktk uelewa wako NIMEKUSHANGAA SANA
  15. Strong

    Sugu jaribu kuwa mtu mzima

    NI WIVU TUUU
  16. Strong

    Huko kwenu wapo watu wa namna hii?

    Nimekushangaaa !!!!! Una miaka mingapi??
Back
Top Bottom