Search results

  1. A

    Tendwa Unasubiri nini kukifuta Chama Cha CUF?

    Ndio maana nimesema sikilizeni vizuri na msiwe na tafsiri moja. Pale alikuwa naongea na Waumini,Wakazi wa Dar na watanzania. Kumbuka yeye mwenyewe anatoka Tabora sio Pwani. amezungumzia kundi la wanyonge na walala hoi.
  2. A

    Tendwa Unasubiri nini kukifuta Chama Cha CUF?

    Lipumba ni mtu makini na ataendelea kuwa hivyo, nafikiri baada ya Nyerere Mungu ametuzawadia Lipumba tatito generation iliyopo haijui kutumia vipaji. Alijua anaongea nini na ndicho alichoongea na alijua analihutubia taifa, anarekodiwa na CD zitauzwa. Inshort baadhi ya aliyoyasema hapo aliyasema...
  3. A

    Contact za CHADEMA

    Jamani natafuta kuwasiliana na viongozi wa chama hiki toka December mwaka wa jana bila mafanikio, nimejaribu kuandika barua pepe kupitia anuani zilizoandikwa kwa tovuti yao bila majibu, ni vipi naweza kuwasiliana na Katibu Mkuu , Mwenyekiti au hata Mkurugenzi wa fedha, Mwenye suluhisho naomba...
  4. A

    Plot for sale kariakoo

    Price 700,000,000/ Shillings
  5. A

    Msaada

    Ndiyo risiti ninayo, niliifuatilia siku iliyofuata.
  6. A

    Msaada

    Jana tarehe 29 Februari 2012 nikiwa naendesha Rav4 (T601 BDD) majira ya saa 9;27 alasiri niliingiza gari yangu katika kituo cha daladala cha Msimbazi pale Kariakoo ili nimshushe mtu niliyekuwa nimeongozana naye. Baada ya kumshusha abiria wangu, nikapata wazo la kushusha vioo vya madirisha ili...
  7. A

    Plot for sale kariakoo

    Eneo- Kariakoo Mtaa; Livingstone/Omari Londa Ukubwa; 2700 sqft Price 700Ml Site Plan; Commercial & residential term 99 years from 01.01.2008 For site visit Contact 0785566566/0714339559
  8. A

    Plot for Sale -KARIAKOO

    Mjomba usikariri sana kuwa maisha ni magumu . bei ya plot hii ni ya kutupa inaweza isisfike hata nusu ya hiyo bei ndoto yako. Kama uko serious hebu tuwasiliane , upate kutembelea site na kujua mengi zaidi.
  9. A

    COPPER buyer is needed

    I am looking for buyer of copper (Powder copper) in bulk. any one with idea please SMS 0785566566
  10. A

    Plot for Sale -KARIAKOO

    A very nice plot for sale at Kariakoo, The location is good for both Commercial building and Residential with Square meter 3400-312 along Swahili and Omari Londa Street (Form erly Somalia) Serious buyers only can make contact via; 0785566566 0714339559
  11. A

    Kwa hili la TBA Mhe. Magufuli umekosea!

    Naamini Magufuli yupo sahihi kwa alichokifanya. Nilisoma ktk MwanaHalisi Mwezi April mwaka huu habari yenye kichwa cha Habari NYUMBA YA jk YAZUA UTATA. ndani ya habari hii kulikuwa na barua alizoandika BW Kimweri ambazo zilikuwa na upungufu mkubwa wa kimaamuzi na mbaya zaidi zilikuwa...
  12. A

    Nyumba/plot ya kununua inatafutwa

    Natafuta Nyumba au Plot ya kununua maeneo ya Upanga, Mikocheni au Regent Estate, mwenye taarifa au mwenye kujua ilipo tafadhali naomba tuwasiliane kindiki@gmail.com
  13. A

    Ugali kweli mtamu?

    Hodihodi Jamvini, naomba nipokeeni, Mja wenu najirudi, mwenzenu nisameheni, Nimechanganya maneno, niliyotoa jamvini, Sikutumia busara, matusi kuyathamini, Nikaanika jamvini, maneno yasoakili, Nikasahau watoto, eti napinga ugali, Huyu shetani gani, nimtafutie nauli, Aende zake mwituni, akale...
  14. A

    Ugali kweli mtamu?

    Nashindwa kustahimili, Na kuusifia Ugali, Hata upikwe na mwali, Kamwe sijuvunii Ugali, Ni chakula cha mifugo, Wanakiweza wagogo,, Nipe wali na Pongo, Hapo Napata usongo, Wali si lazima na nyama, Japo umevikwa heshima, Na kama utaupa nyama, Basi ndoa himahima. Vigori wetu mkoleni, Tuwafunde...
  15. A

    Tattoo..

    I wish to see them!!!!
  16. A

    JK aalikwa na Castro Cuba

    Who is a great thinker?.....tusitake kila mtu awe mshabiki wa kila linalosemwa, tuache watu waseme mawazo yao kwa mitazamo yao. Kama kila mtu angekuwa positive hapa duniani basi watu wasingeweza kutengeneza mabomu.
  17. A

    Ni dalili zipi zinazoweza kuonyesha mpenzi wako kafanya tendo la ndoa kwingineko?

    Ni mwanamke ndo anazungumziwa hapa, Dume hata likimega nje sio issue sana wao huwa wanawashikisha adabu wanao jipendekeza tu. Ila mwanamke kumegwa nje ni uchafu sana, ndo maana tunatafuta dawa.
  18. A

    Is this normal?

    Tembelea-www.dinahicious.blogspot.com- hilo tatizo limejadiliwa na kupatiwa majibu yakinifu na wahanga wengi walifanikiwa kurejesha furaha katika ndoa zao.
  19. A

    Al-Huda inaeneza uongo dhidi ya Kanisa Katoliki

    Acha kukurupuka na kushambulia watu wakati hujasoma mada yenyewe. anza mwanzo kusoma kisha ndo uchangie. Kwanini asingesema Magazeti yaeneza uwongo dhidi ya Kanisa katoliki? na badala yake amesema Al-huda? na jee kweli kilichoandikwa ni uwongo? Usiruhusu jazba zikuongoze katika maandishi...
  20. A

    Kilicho msababisha Joyce kung'ata ulimi wa mpenzi wake ni "orgasm"

    Joyce ni mtu wa vituko sana nyakati za mavituz, nyie hamjui tu
Back
Top Bottom