Search results

  1. Texas Tom.

    Talaka za ajabu hapa duniani

    1. Jamaa ampa talaka mkewe kwa kuonyesha aibu kubwa na kugomea unyumba kwa mwaka mzima Mahakama moja huko Tainan (Taiwan huko) ilikubali maombi ya bw. Chen 38 kumlima talaka bi. Lin 29 (wote walimu) baada ya kuwa aibu ya hali juu na kugoma kabisa kutoa unyumba na wakati wa kulala alikua...
  2. Texas Tom.

    Dada zetu maofisini kweli mna kazi

    Namuangalia jirani yangu hapa, ana pochi 2 moja kubwa kama bag, pembeni kuna sandal na mocas , mezani pembeni kabisa kuna kontena kapo empty mida hii ..akifungua hiyo pochi utacheka mwenyewe vinavyotoka humo ....sasa hivi napogongangonga keyboard yangu ndo kwanza katoa kitana kikubwa na mafuta...
  3. Texas Tom.

    Unaporudi kutoka safarini na chupi za kike kwenye begi bila kujua

    Juzi kati nilienda kijiji kwenye msiba wa babu yangu nikakutana na kamchepuko kangu ka enzi hizo za shule ya msingi bahati nzuri hajaolewa na anakaa mwenyewe pembeni kabisa na nyumba ya familia yao. Kipindi chote cha msiba nilikua naota moto hadi saa tano hivi then mkesha mwingine nakwenda...
  4. Texas Tom.

    Kwa nini wanawake wa kimjinimjini ukimaliza kumgegeda hawasemi asante

    Ni mila na desturi duniani kote, kwenye unyago wanafundishwa pia jandoni tunafundishwa kwenye mafundisho ya ndoa wanafundishwa hata kwenye yale mafunzo kama ya akina mama Teri nako yanasemwa kwamba mkishamaliza gemu mwanamke amwambie mwanaume "asante'' mbona hii kitu town haitekelezwi??
  5. Texas Tom.

    Kwanini papuchi ya home hairudiwi mara mbili?

    Gents wengi wanasema mzigo wa nyumbani unapiga goli moja tuu hairudiwi mara ya pili ila ya mtaani au hawara unapiga goli mingi kutokana na uwezo wako. Hivi kwanini ? Ya wife sio tamu?
  6. Texas Tom.

    Kwa wadada: Ulishawahi kutongozwa na mwanaume ukamkataa, AKAKUTUKANA?

    Hii tabia niliishuhudia zamani kidogo, niliona jamaa kakataliwa akamtukana dada wa watu matusi machafu hata siwezi kuyaweka hapa ni machafu kwelikweli hadi mtt wa watu akalia machozi.....na vidume mtakaopita hapa ulishawahi kutongoza ukakataliwa na ww ukatukana?
  7. Texas Tom.

    Kuna ulazina gani ya kuongozana na wife clinic

    Hivi hii serikali katika vitu vya kushadadia wameona hii ya kutowahudimia wake zetu hadi tufuatane nao clinic ndo kitu cha maana sana??Hivi kuna umuhimu gani tuongozane nao? hivi hii itapunguza rushwa kweli? maana ndo wamefanya dili kwa sisi tusiopenda kufika maeneo yao
  8. Texas Tom.

    Kwanini Vita Vya Israel Na Palestina havitaisha - nimecopy sehemu

    NINI HATMA YA MGOGORO WA WAPALESTINA NA WAYAHUDI? NINI HATMA YA MGOGORO WA WAPALESTINA NA WAYAHUDI? •NANI ANAPASWA KUWA MMILIKI HALALI WA NCHI HIYO? •JUHUDI ZA USULUHISHI ZITAFANIKIWA? Mgogoro uliopo kati ya Wayahudi(Waisraeli) na Wapalestina umeigawanya dunia ambapo wapo...
  9. Texas Tom.

    Happy International Women's Day march 8....wanawake kipi kimetekelezwa???

    The United Nations declares an annual theme: - 2013: A promise is a promise: Time for action to end violence against women - 2012: Empower Rural Women – End Hunger and Poverty - 2011: Equal access to education, training and...
  10. Texas Tom.

    Vijana Mjini tunajipoteza wenyewe, Ardhi tunayo teknolojia hii hapa

    Hii nchi wangepewa waisrael ungekuta leo hii wanalisha afrika nzima, Babu yangu ana pori la ukubwa wa acre 800 (hectare 320 ivi) zamani alikua akilima mahindi/maharage/vitunguu akinyeeshea kwa maji ya kisima yakivutwa kwa pump ya disel za zamani sana ...sasa hivi shamba lile limegeuka pori tu...
  11. Texas Tom.

    sh 300,000 inatosha kufungua duka? (kiosk)

    Wakuu salaam Hivi mtaji wa sh laki 3 itaweza kutosha kufungua kaduka (zamani kiosk), na ni bidhaa gani ya kuweka ambayo unachoweza kuuza kila siku na yenye faida angalau kidogo
  12. Texas Tom.

    Mkeo kafugwa jela, kidume utakwenda gerazani kumpa haki yake ya ndoa

    Kuna nchi zimepitisha sheria kwamba mmojawapo wa wanandoa akafungwa jela basi mwenzi wake ana haki ya kumtembelea mfungwa huyo na kumpa haki yake ya ndoa. Nimeangalia picha nyingi za majuuu naona ni akina mama ndo wanakwenda gerezani kuwaliwaza bwana zao. VIPI HAPA KWETU IKIPITISHWA SINA...
  13. Texas Tom.

    Ukigundua wazazi/mzazi wako alikuuza (alikupiga bei) utafanya nini?

    Hizi movies (za kigeni) tuna angalia angalia sometimes kuna mambo ya kujiuliza pengine yanaweza yakawa yanakuhusu. Je na wewe yakikutokea utafanya nini nini? Mwanamke mmoja masikini alikwenda hospitali kutoa mimba lakini nesi (alikua rafiki yake) akamshauri asitoe azae tuu, mwanamke huyo...
  14. Texas Tom.

    Majaribu yanapotokea katika maisha

    Pichani ni gari lillilopatwa na mkasa wa ajali nzito na habari yake inaanza kama ifuatavyo. Kijana Joseph ambaye sasa ni marehemu enzi za uhai wake alibahatika kuwa na kazi nzuri kabla ya kuoa. Baada ya kuoa miaka mitano ya kwanza akabahatika kuwa na watoto mapacha wa kike na wa kiume na...
  15. Texas Tom.

    Mwanamke unazaa na mwanaume halafu unaolewa na mwanaume mwingine, unamwita mtt kwa jina la huyo mume

    Hivi ni haki kwa mwanamke kuzaa na John halafu anaolewa na Joseph then unamwita mtoto Robati Joseph hadi shuleni? na Joseph akikuacha utambadili tena jina la baba?
  16. Texas Tom.

    Mwanaume unakuta mkeo anakatwa kucha huku kakaa uchi utafanyaje?

    Kila kazi ina changamoto zake... kuna kijana anafanya kazi ya kukata na kupaka rangi kucha za akina mama anasema tatizo kubwa wanayopata mikao ya hasara ya wanawake wakubwa na wadogo tena wengine wameolewa kabisa. Anasema mara nyingine utakuta mama mkubwa kabisa hajavaa nguo ya ndani halafu...
  17. Texas Tom.

    Taliban wakamata Mbwa wa Marekani, na kumuweka kama mfungwa wa kivita

    Taliban wakamata Mbwa wa Marekani.. Kiongozi wa Taliban, Afghanistan,ameonekana akiwa na Mbwa wa jeshi la Marekani waliomkamata mwezi Disemba na kumuweka kama mfungwa wa kivita..................
  18. Texas Tom.

    Wanajeshi wanapoua muasi

    Wanajeshi wamuua muasi wa Seleka CAR Wanajeshi katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, wamemuua mwanamume mmoja anayetuhumiwa kuwa muasi wa Seleka huku ghasia zikikithiri nchini humo.......BBC
  19. Texas Tom.

    Huwezi kuongozana na mimi kwasababu...

    Haya ni jana tuu, nimekuta mshakaji anapunguza mawazo kwa kilimanjaro kama ya tisa hivi, mwanamke kamwambia mumewe wasiongozane sababu hajui kuvaa, aliponiuliza afanye nini sijapata jibu hadi sasa. Msaidieni
  20. Texas Tom.

    Zuma wife in blackmail drama

    Durban - The spotlight has once again fallen on President Jacob Zuma’s second wife Nompumelelo Ntuli-Zuma (MaNtuli) following the arrest of a Tanzanian man on charges of blackmail. According to the Sunday Independent, Stephen Ongolo was arrested on Friday in Durban after having contacted...
Back
Top Bottom