Search results

  1. M

    Je, banda la ukubwa gani linatosha kuku wangu?

    JE, BANDA LA UKUBWA GANI LINATOSHA KUKU WANGU? Hili ni swali rahisi sana lakini cha kushangaza, limekuwa linasumbua sana wafugaji wengi. Watu wanajijengea mabanda kiholela na kuishia kuwa na magofu makubwa ya mabanda bila kuku. Kujibu swali hili katika ufugaji wa kuku wa kienyeji ni muhimu...
  2. M

    INAUZWA Hydroponic fodder inauzwa

    KWA NINI UTUMIE HYDROPONIC FODDER KATIKA UFUGAJI WENYE TIJA 1. Ni rahisi kuotesha 2. Zinaota kwa muda mfupi 3. Zitakupunguzia gharama za chakula cha kuku 4. Zina wingi wa protein na vitamin, hivyo huongeza utagaji wa kuku na kinga za magonjwa 5. Zinapunguza uwezekano wa magonjwa yatokanayo na...
  3. M

    Tunatengeneza mabanda ya kuku

    MABANDA YA KUKU YA KISASA Kazi Ya Kutengenezea Mabanda Ya Kuku Inaendelea Hapa Ofisini Kwetu Mbezi Ya Kimara (Karibu na Stendi Ya Magufuli) Bei za Mabanda; (Ufundi na Mateials) Wewe unakuja Kuchukua Banda likiwa Limekamilika. Banda la Kuku 50 ni Tsh 200k Banda ka Kuku 70 ni Tsh 250k Banda la...
  4. M

    Kwa kufata hatua hizi unaweza kuzalisha malisho yako mwenyewe nyumbani

    HATUA ZA KUZALISHA HYDROPONIC FODDERS Na Comrade Ally Maftah 0762212623 TREY ZA HYDROPONIC FODDER NI SH 3500 UKINUNUA TREI KITABU CHA UFUGAJI NI BURE NJOO INBOX NIKUTUMIE Kwa kufata hatua hizi unaweza kuzalisha malisho yako mwenyewe nyumbani. Chagua mbegu ambazo hazijaanza kuchipua, na...
  5. M

    Tunauza mashine ya kutengeneza chakula cha mifugo

    Tunauza mashine ya kutengeneza chakula cha mifugo cha chenga chenga (pellet mashine). mifugo kama (Kuku/samaki&sungura) ✓Inatuma umeme wa majumbani. ✓Inauwezo wa kuzalisha kilo 150 Kwa lisaa ✓Hp 200,400 size kyp ✓Unaweza kutumia Kwa matumizi yako binafsi na biashara Faida za kumlisha kuku...
  6. M

    INAUZWA Tunauza incubators kwa bei rafiki

    Week hii natoa ofa ya incubator ya mayai 56 kwa wafugaji 10 wadogo.kwa Bei ya 300,000/=Tsh. ✓Inatumia umeme/betri la gari na solar . ✓Inajiendesha yenyewe. ✓ Inauwezo wa kuangua zaidi ya 97%. ✓Inatunza joto masaa matano pindi umeme ukikatika. ✓Inaprogramu rahisi sana hivyo ni rahisi kila...
Back
Top Bottom