Search results

  1. Kafara

    Lissu: Watoto wangu wana uraia wa Marekani, mbona Makonda kama ana Wivu

    Suala la watoto wa viongozi wenye uraia wa nje haliwezi kuwa agenda ya uchaguzi maana kuna chama kitaumbuka maana wao hawajawahi kujitokeza hadharani.
  2. Kafara

    Nini sababu za mijimama kupendelea vijana?

    Sababu ya dharau za Vijana kwa wazee, mkutano wa wazee ulipitisha azimio ya kuwakula wake wa Vijana hadi dharau hizi zitakapoisha.
  3. Kafara

    Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

    Mara nyingi wapenzi hushindwa kuukubali ukweli kwamba safari yao imefika mwisho. Hivyo pamoja na kuwapa pole kwa kutengana inabidi pia niwapongeze kwa kuchukua maamuzi hayo magumu. Nawaombea furaha ya kweli na muishi maisha ya kutojutia uamuzi wenu.
  4. Kafara

    Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    Umeeleza vizuri sana. Wanaume wengi hatuwezi kusamehe mke akituchiti. Hivyo mke akichiti awe tayari na matokeo siku akifumaniwa.
  5. Kafara

    Umewahi kumsaliti mume wako? Ulitumia njia gani kurudisha mahusiano yenu kama mwanzo?

    yaonekana jamaa ulikuwa umemzimia kitambo na siku hiyo ulikwenda rasmi kupiga show. siku mkikutana na jamaa mtaani akiomba tena game uwezekano wa kumpa ni mkubwa. hapo hakuna ndoa.
  6. Kafara

    TANZIA Balozi wa Tanzania nchini Austria, Celestine J Mushi, afariki dunia kwa ajali ya Gari

    Kwa ngazi za kiutendaji, Balozi wa Tanzania anaporudi nyumbani (Tanzania) anahesabika kama Mkurugenzi wa Idara. Hivyo ni vyema kuzingatia hilo mtu anapotoa hoja ya kushangaa Balozi kujiendesha mwenyewe. Je ni Wakurugenzi wote wanatumia madereva wanaposafiri?
  7. Kafara

    Rais Magufuli, please don't bow down kwa hawa mabeberu wa US na EU, waeleze Tanzania ni nchi, a sovereign state

    hapa unamshauri raisi aingie vitani rasmi. naamini unafahamu fika kwamba taifa linapoingia vitani sharti la kwanza ni kuwa na umoja. bila umoja uwezekano wa kushinda vita hiyo ni finyu sana. hii ni mahususi zaidi kwa vita vya kiuchumi au vita ya silaha za moto. taifa liingialo vita vita hivi...
  8. Kafara

    I think i am in love!

    dah! mlokole yuko kwenye complicated relation halafu katika sababu zinazosababisha tatizo kwenye uhusiano hajataja kuombwa mzigo! hapo unaweza ukawa unaingizwa kingi tu. achana na kuchat mueleze ukweli uso kwa uso, akikutolea nje ni poa pia maana utajua anauoangalia vipi uhusiano wenu. hayo...
  9. Kafara

    Nimsaidieje huyu nguli wa mchezo wa karate?

    bahati mbaya sina namba yake. ila ukienda zanaki sekondari kwenye saa kumi na moja na nusu au kumi na mbili jioni utakutana wanadojo wakielekea mafunzoni watakupa taarifa zaidi. uzuri wa goju ryu ni sanaa ya mapambano ndio sababu huikuti kwenye mashindano mbalimbali kama sanaa nyingine za...
  10. Kafara

    Nimsaidieje huyu nguli wa mchezo wa karate?

    nadhani zanaki dojo kwa ajili ya goju ryu bado wana mfumo mzuri japokuwa nilipata kusikia masuala ya upendeleo ila sikuthibitisha. si vibaya kwenda kujaribu nadhani bado wapo na sempai (sijui kama tayari ni sensei murdhika)
  11. Kafara

    Familia ya Babu Seya ni "wahamiaji haramu"

    hata residence permit inamwezesha mtu kuishi nchi nyingine bila kuwa raia. je hukumu ya kifungo cha maisha haiwezi tafsiriwa kwamba imempa mfungwa residence permit na sio uraia?
  12. Kafara

    Kuwa na mahusiano na mwanamke aliezaa..

    mbona haina noma? mimi nitampelekea mtoto wake kwake akacheze nae na ikifika muda nitakwenda kumchukua hivyo akitaka atanipa mimi hiyo pesa. au atasema haniamini? ataachaje kuniamini wakati mimi namtunzia mwanae kwa roho safi kabisa?
  13. Kafara

    Kuwa na mahusiano na mwanamke aliezaa..

    kwa teknologia yote iliyokuwepo bado jamaa alete pesa ya matumizi ya mwanae phyisically! huyo ni mshari tu.
  14. Kafara

    Zari achaguliwa kuwa msimamizi mkuu wa mali za marehemu Ivan Ssemwanga

    mleta uzi kasema "Pia ametakiwa aishi na watoto wake wote kwenye nyumba moja na nyingine ipangishwe." huu ni mtego naona
  15. Kafara

    Misri yampa masaa 48 Balozi wa Qatar awe amefungasha virago na kuondoka nchini humo

    naona na wataka fursa wa fainali za kombe la dunia wanajiweka sawa hapo
  16. Kafara

    Tuliowahi kutendwa/kupigwa kibuti tukutane hapa

    hapo hapakuwa na kibendi ila lilikuwa jaribio la kukupandisha presha
  17. Kafara

    Ujio wa Wema Sepetu CHADEMA: Is She an Asset or a Liability? Mmeishaumwa na Nyoka, Hamjifunzi tu?!

    sawa mkuu, ngoja mimi nivute subira maana siasa zetu siku hizi zimekuwa ni shida tu
  18. Kafara

    Ujio wa Wema Sepetu CHADEMA: Is She an Asset or a Liability? Mmeishaumwa na Nyoka, Hamjifunzi tu?!

    mkuu haya maneno ya u expert wa sounds hukupata kuyasema huko nyuma na ukakosea? nadhani unakumbuka ile video uliyosema ni geniune na authentic. mimi ngoja nivute subira nione huu mtanange unavyofunguka. natumaini ukweli utajulikana tu kama kub kabugi au kachomekewa zengwe.
Back
Top Bottom