Search results

  1. miss chagga

    Kuna usemi wanawake wanao eti "nilianza nae chini/nilimkuta hana kitu" then what?

    Habari JF, Kuna kausemi wanawake wengi wanacho "nilianza nae chini au nilimkuta hana kitu" then what? Kuanza na mwanaume chini kumvumilia wakati hana haikubadilishi wewe ukawa mwanaume mwenzie eti kiherehere chako cha kumvumilia kisikutie jeuri ndani ya nyumba, jua huku nje kuna wawindaji tena...
  2. miss chagga

    Girls kuna maisha baada hiyo 'crazy love'

    Habari zenu wana JF, Naongea na wewe binti ambaye bado upo au upo kwenye mahusiano. Mabinti wengi ni vipofu mnapokuwa kwenye mahusiano na mbaya zaidi na jamii inayotuzunguka ndiyo kipofu zaidi. Kwanini? Huwa mnajifanya crazy in love mpaka pale wanapokupelekea kuwa crazy kweli kweli baada ya...
  3. miss chagga

    Naomba mumshauri kwa upole huyu kijana

    Za asubuhi, Ombi langu mshaurini huyu baba kijana nimetoa ombi na msimtukane mshaurini kwa upole mkimaliza nampa link ajisomee mwenyewe. Huyu kaka kijijini huko alinipenda tokea nikiwa form one na yeye form 3 kiukweli mimi sikuwahi kujua kupenda na wala hiyo maana nilikuwa sina ila kijana...
  4. miss chagga

    Selfie na maiti

    jamani huyu mkenya na selfie na mtu kajinyonga .. kazi ipo
  5. miss chagga

    Kama hamkubali mtoto wako Acha tu haitabadilisha kitu.

    Habari zenu Leo nimekutana na jambo hospital ikanibidi tukumbushane wakuu.. mama alikuwa anambadili diaper mtoto wake me nipo karibu mtoto kanangozi kama ya mamba huku akianimbia kwa madaha yani mwanangu kila diaper inamkataa. Nikamwangalia nikapata hasira nikamwambia si lazima kuvaa hizo...
  6. miss chagga

    Babu wangu wa hiyari kaninunia

    Habari za asubuhi wapendwa wangu Hapa napo tafutia vitu vya kuchafua meza yangu home basi miezi kama miwili iliyopita nilikutana na babu mmoja kwenye lift na dada wa uji ndiyo hapa babu tukaanza kujuana sababu nilimchokoza babu unakunywa uji nikacheka baada ya kicheko nikamwambia msalimie...
  7. miss chagga

    Superglue kushikishia jino

    Habari za jioni wakuu Jino langu lilikuwa limejazwa sasa limekatika kule kwenye jino la kweli ikabaki ile chokaa.. nataka kutumia superglue kurudisha je kuna madhara kwenye jino? Nimebaki na meno machache sana wasiwasi wangu sitaki kutoa jino sababu litakuwa jino la nane .. Asanteni
  8. miss chagga

    Tukiolewa mifumo yetu ya mwili haibadiliki jamani...

    Habari za asubuhi wapendwa wangu .. Nimeona wanaume wanalalamika ooh mke wa mtu , mke wa mtu then what? Sasa wanaume niwaweke sawa TU kuwa mke wa mtu haina maana mimi kihisia, kimatamanio, kusikia njaa, kusikia hamu, kumtamani mwanaume, kutamani mambo mazuri, kupenda bata ndiyo once naolewa eti...
  9. miss chagga

    Tupunguze kuwashirikisha marafiki zetu madhaifu ya wenza wetu

    Habari za asubuhi wapendwa .. Kuna kesi nimeletewa ni wiki sasa natafakari na kuamua kuwafundisha baadhi yetu wenye tabia kama hizo.. Kesi yenyewe kwa ufupi tu ni kuna wana ndoa wapo kwenye kutoelewana kwa muda sasa kisa mume anatabia ya kuchepuka , ila mke ana rafiki yake wa kike ambaye yeye...
  10. miss chagga

    Aianika timu yake

  11. miss chagga

    Tunataka kile usichokuwa nacho

    Habari zenu wana jf ….kuna swali huwa wengi wetu tunapenda kujiuliza au kuwauliza wapenzi wetu au hata marafiki hivi wanawake wanataka nini ? au hivi wanaume wanataka nini? Hili swali huwa halina majibu ambayo ni ya moja kwa moja ila unaweza kuweka akilini mambo yafuatayo kuchoka, kukinai...
  12. miss chagga

    Binti mchepuko zingatia

    Habari zenu wana MMU mimi mzima wa afya . Kuna kisa nimeshirikishwa kupitia njia nyingine za mawasiliano ambapo akanieleza kisa kina msibu sasa hivi yeye na mchepuko wake naweza sema ex mchepuko baada ya kuamua kurudi katika njia kuu… mwanaume yupo humu kwa heshima yako mkuu sitakutaja… binti...
  13. miss chagga

    tuadithiane

    nakitafuta kitabu chake nijisomee tena.. na kama mtu anakumbuka vipengele anaweza hadithia ..
  14. miss chagga

    Huyu mwanaume wa wapi

  15. miss chagga

    Machache tukumbushane wana MMU

    Habari zenu wana MM. mie mzima sana aiseee. Leo naona tukumbushane mambo machache tu katika mahusiano japo yapo mengi. Mahusiano hasa yanayohusisha mapenzi huwa yanachangamoto zake na mazuri pia, katika mahusiano kila mmoja anawaza mazuri hasa mwanzoni ila kadri yanavyokuwa ndipo...
  16. miss chagga

    Nahitaji msaada wa haraka, hasira zitaniumbua mimi

    Habari zenu wakuu, Nina tatizo kubwa la hasira nimejaribu kupitia thread za wengine walioomba msaada naona sijafanikiwa. Sasa naomba nijielezee mimi wanasema mficha maradhi kifo kiamuumbua.. Naelekea kufa sasa sababu jana nimekasirika nimefanya mambo ya ajabu hapa nilipo mwili unauma kila...
  17. miss chagga

    Ujumbe kwa rafiki yangu

    Habari zenu WanaJF: Ujumbe huu ni kwa rafiki yangu na wengine wenye tabia kama zake. Mtaniuliza kwanini nisimfuate nimwambie uso kwa uso, mwanamke yule anaongea akinisema na jinsi sina maneno mengi nitazimia.. Kwanza nikushukuru rafiki kwa huduma yako jana usiku loh nilienjoy kwa kweli...
  18. miss chagga

    Majuto ni mjukuu

    Habari zenu wana MMU, Hii imetokea ni kweli wanawake tujiongeze hasa pale mnaposhauriwa na rafiki zenu may be inaweza kuwa applied kwa wanaume pia tujifunze kuevaluate kila kitu kabla ya kufika maamuzi ya mwisho mjifunze. Dear baba Patrick.Hope this will find you well. Today marks the exactly...
  19. miss chagga

    Usaliti kwenye mapenzi, kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja, mchepukoni ni sawa mateso na utumwa

    Habari zenu wana MMU, Mimi nadhani hakuna mapenzi yenye furaha na amani kama kuwa na mwenza mmoja wa kuaminiana, lakini tunavyokuwa na wapenzi zaidi ya mmoja yani mtu unaishi kwa mateso na shida tu kama: Kuwa na wasi wasi muda wote Hasira za mara kwa mara hasa ukikutana na maswali "ulikuwa...
  20. miss chagga

    I Love you, You're like my Sim Card

Back
Top Bottom