Search results

  1. takashi

    Dr. Slaa, Josephine, Mwanakijiji et al: Hii Meli ya CHADEMA/UKAWA Tayari Inaondoka, Uamuzi ni Wenu

    Hongera Kaka... Watu wanatoka nje ya mstari...Lengo ni kubadilisha maisha ya watanzania...Asilimia 70% ya UKAWA kushinda ni kumtumia LOWASSA na si mwengine yeyote ...Dr,SLAA dhidi ya MAGUFULI ni 50/50% ...Mpaka sasa CHADEMA na UKAWA wako sahii katika maamuzi yao...
  2. takashi

    Upepo wageuka tena, Juma Duni Haji kuwa Mgombea Mwenza wa Lowassa

    Amani iwe kwako vile vile, Tatizo watu wengi wanashindwa kuelewa siasa...Siasa sio dini ,mabadiliko yanalazimika kutokana na mazingira yaliyopo... Mpaka sasa CHADEMA /CUF na UKAWA kwa ujumla wako sahihi...Ikumbukwe kua lengo ni kuiangusha CCM. Chama ambacho kinashikilia nchi yetu kimabavu...
  3. takashi

    Video: Wabunge wa CCM wakiimba Pambio la kumuaga Lowasa

    Safari ya mauti ya CCM imeanza...Kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho...
  4. takashi

    Ray C afungua mlango kwa Mwanaume yeyote anayetaka kumuoa

    Mimi nimekubali masharti yake yote...İla na mimi nina masharti yangu mawili tu. Akubali kuwa mke wa pili na akubali kuwa muislamu...
  5. takashi

    Apigishwa mbizi kwenye dimbwi la maji ya barabarani kwa kukutwa katinga sare za jeshi

    Kweli Jamiiforums imefanya makosa kuto dadisi uwezo wa wachangiaji...Hapa mahali pamegeuzwa kuwa jukwaa la wajinga, aibu sana. Siku ukimkamata mwizi hakumu yake iwe nini au na wewe ukamwiibie? Pumbavu mkubwa wewe!!!
  6. takashi

    Apigishwa mbizi kwenye dimbwi la maji ya barabarani kwa kukutwa katinga sare za jeshi

    Pumbavu mkubwa wewe...Hujui kama hata mtuhumiwa anakuwa hana kosa mpka mahakama ya sheria ,kuthibitisha kosa la mtuhumiwa. Nchi hii imekosa baraka za M.Mungu kila mtu yuko tayari kukandamiza haki ya mwengine.
  7. takashi

    Apigishwa mbizi kwenye dimbwi la maji ya barabarani kwa kukutwa katinga sare za jeshi

    Huu ni ujinga wa mwisho.... Watz tunaburuzana mpaka tumekubali kama haya ndio mazingira tunayostahili kuishi...Poleni sana wajinga wa fikra na akili...
  8. takashi

    Apigishwa mbizi kwenye dimbwi la maji ya barabarani kwa kukutwa katinga sare za jeshi

    Kosa linafanywa na huyo mwanajeshi.....Mahakama pekee ndio inayoruhusiwa kutoa hukumu. Watz tunapelekana kama wadudu .
  9. takashi

    Scottish independence results: NO side wins plebiscite!

    By Farrel Jnr Foum Kura za hapana zilizoshinda leo hazijaja kwa urahisi maana ahadi za kurejesha mamlaka makubwa Scotland yataifanya nchi hii kuwa na mfumo mpya wa muungano wao. Bwana Alex Salmond namuona ni mwenye kipaji kikubwa na mwenye kujiamini, anajuwa anachokifanya na nina hakika hii...
  10. takashi

    Polisi ni Shida Tanzania

    Double standard ...Polisi hao hao wanakuwa wazuri wanapo baka ,kuuwa na kutesa waislamu . Leo wamekuwa wabaya ? Tuendelee kuvuna tulicho panda...
  11. takashi

    Zitto ni Mzalendo wa kweli, Baada ya kumsikiliza leo, nimebaini haya...

    Ha ha ha... Bado tu unaendelea kuweweseka...Zanzibar huru haiko mbali... Kazi yetu sasa inafanywa na UKAWA na Tume ya Warioba ilisha safisha njia , tunasonga mbele. Sio lazima tukwaruzane hapa kila uchao , hapa yule pacha mwezio MWKJJ naona haoneka ni mara kwa mara sasa...Kero za Muungano...
  12. takashi

    Hoja za Kijinga: Kukataa Uraia Pacha kwa Sababu za "Uzalendo" na "Usalama"

    Muarubaini ni kuitoa CCM madarakani ....
  13. takashi

    Viongozi wa Uamsho wadai polisi waliwafanyia ukatili

    Hakuna mtu mwenye akili zake aseogopa ugaidi... Tatizo linakuja pale mtuhumiwa ambae anatambuliwa kuwa hana hatia mpaka pale mahakama ya sheria itakapotoa hukumu ya kisheria...Sasa suala la Polisi kujichukulia sheria mikononi mwao (kama kawaida yao polisi wa tz) hii ni hatari kwa usalama wa...
  14. takashi

    Viongozi wa Uamsho wadai polisi waliwafanyia ukatili

    Hakuna mtu mwenye akili zake aseogopa ugaidi... Tatizo linakuja pale mtuhumiwa ambae anatambuliwa kuwa hana hatia mpaka pale mahakama ya sheria itakapotoa hukumu ya kisheria...Sasa suala la Polisi kujichukulia sheria mikononi mwao (kama kawaida yao polisi wa tz) hii ni hatari kwa usalama wa...
  15. takashi

    Viongozi wa Uamsho wadai polisi waliwafanyia ukatili

    Polisi wa Tanzania wanatutayarishia uwanja wa mapambano, Iko siku waislamu na wasiokua waislamu tutapambana na vita hiyo haitakuwa na mshindi...Jamani hata mbuyu ulikuwa mdogo kama mchicha... Mwisho wa chocko choko hizi ni mapambano...
  16. takashi

    Hotuba ya Muammar Gaddaffi ndiyo iliyonitoa machozi

    Mkuu Hongera kwa Kuweka kumbukumbu vizuri.... Sasahivi nipo nje ya Tz na sehemu ninayoishi kumekuwapo na Walibya wengi sana ,ambao wamekimbia vita na vurugu katika nchi yao. Baadhi yao walishiriki katika vita vya kumtoa madarakani Qaddafy. Amini usiamini hawa watu hivi sasa wanajuta... Libya...
  17. takashi

    Asha Bakari aanguka ghafla Dodoma

    huyu Bibi ni mmoja wa wale vibaraka ...Mungu amlaani.
  18. takashi

    Kauli za Jaji Warioba kuhusu Muundo wa Serikali zimeanza kubadilika kama hoja za UKAWA

    Mheshimiwa , Wanzanzibari wako kimya sio kama hawana la kusema , La! Tume ya Warioba na Ukawa wanasema yale ambayo wznz wamekuwa wakiyasema miaka nenda miaka rudi... Tumewaachia hao watu wayaseme kwa lugha ambayo mnaifahamu. Ila , nakubaliana na wewe kama hawa CCM wanachotaka ni shari ...
Back
Top Bottom