Search results

  1. I

    kila Man U wakifungwa ni kosa la refa?

    Makocha wengi duniani(Ulaya hadi TZ) ukifungwa lazima alalamike sio SAF peke yake, Chelsea wenyee mwaka jana CL na Barca walimzonga refa utadhani nini, Asernal walipofungwa na Man Wenger alilalamika vilevile, Liverpool mara kibao wanalalamika tu wakifungwa, Man city vs Man walilalamika vilevile...
  2. I

    Ajali mbaya ya daladala kimara-suka

    Serikali isikwepe jukumu la kusimamia sheria, sasa kwa mtindo huu wa kupiga picha utapiga picha magari mangapi mzee maana pembeni kuna msululu wa magari kama barabarani tu!. Isitoshe kupiga picha ni process ndefu tu ambayo dereva atwambia alikuwa service road anaziba pancha utamfanya nini na...
  3. I

    Ajali mbaya ya daladala kimara-suka

    Madereva TZ ni matatizo makubwa, 80% ya madereva wetu hawafuati sheria za usalama barabarani kabisa kitu ambacho ni hatari hata ukiweka mashimo kama mito barabarani ajali zitaendelea kutokea tu. Wewe chakulia mimi huwa natokea mbezi asubuhi foleni inaanzia Temboni mpaka Kimara lakini utakuta...
  4. I

    Tuliosoma Shule ya Sekondari Tosamaganga tukutane hapa

    Half mile, kufagia, kumwagia maua maji,ukaguzi wa usafi, zamu ya kubeba chakula na kuosha vyombo, old mandela balaa tupuuuuuuuuuuuu.
  5. I

    Lukuvi atangaza vita ya kunguru weusi a.k.a kunguru wa Zanzibar

    Anaacha kupambambana na uchafu anapambambana na Kunguru weusi, hii ni hatari sana kwa viongozi wetu wa aina hii.
Back
Top Bottom