Search results

  1. E=mcsquared

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Bado sijapata msaada wiki sasa. Jina kwenye system yenu hamukuwahi kubadilisha, kwa hiyo linasomeka kama John C. Sivalon. Details zangu ni kama nilivyokupatia kenye Persona message. Sivalon alishahama kwenye nyumba hiyo karibia miaka 20 sasa
  2. E=mcsquared

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Kumbuka pia kuwa nina restrictions ambazo zinanifanya nisitumie chakula kutoka mazingira ya nje ya nyumbani kwangu. Kitendo cha Microwave kuwa haifanyi kazi kutokan na tatizo la umeme, kunanilazimisha kuvunja utaratibu huu wa kutokutumia chakula kutoka mazingira ya nje. Tafadhali naomba sana...
  3. E=mcsquared

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari za kazi? Samahani kumbe niliwalisha maneno. Walinipigia mimi nikadhani kuwa tayari wako site, kumbe hapana. Vile vile hawakuniambia kama walikuwa site, wainipigia tu kuulizia details za tatizo. Naona hawakufanikiwa kufika, nitaendelea kusubiri. Naamini possibly leo au kesho wanaweza...
  4. E=mcsquared

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ku Kuna watu tayari wameshanipigia simu wapo site wameshafika. details niliwapatia jana ila eneo ni getini UDSM mkabala na Ardhi University. Kuna maghorofa yako kushoto mwa barabara na kuna Transfoma pembezoni mwa barabara. Ubarikiwe sana kwa kujali!
  5. E=mcsquared

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Watumishi poleni na kazi, hongereni na kazi pia. Nina tatizo linanikabili nyumbani kwangu ambalo limekuwa likijirudia rudia. Usiku wa kuamkia jana Jumatano tarehe 16 Septemba 2020 umeme ulikatika na uliporudi, asubuhi yake nikakuta Microwave yangu haiwezi kuchemsha chochote, inaunguruma tu. Si...
  6. E=mcsquared

    Solved problems in Soil Mechanics -download (NEW)

    These are additional solved problems (attachment below) intended to be incorporated in the document whose link appears below. Enjoy your reading Undregraduate soil mechanics solved problems-download
  7. E=mcsquared

    Undregraduate soil mechanics solved problems-download

    Any feedback please? This time again, something new might be coming soon. It may carter for students probably up to PhD level. It's a manual with solved problems mainly on INTEGRAL AND DIFFERENTIAL CALCULUS. The manual will also including solutions to some problems which were released in this...
  8. E=mcsquared

    Undregraduate soil mechanics solved problems-download

    For those of you who were successful in downloading the manual, please let us know your feedback, if any!
  9. E=mcsquared

    Undergraduate Students doing a course in Soil Mechanics:

    For those of you who were successful in downloading the manual, please let us know your feedback, if any!
  10. E=mcsquared

    Undergraduate Students doing a course in Soil Mechanics:

    For those of you who were successful in downloading the manual, please let us know your feedback, if any!
  11. E=mcsquared

    Undergraduate Students doing a course in Soil Mechanics:

    Already uploaded. Visit the link below https://www.jamiiforums.com/threads/undregraduate-soil-mechanics-solved-problems-donload.1598163/ cc: GoLang
  12. E=mcsquared

    Undregraduate soil mechanics solved problems-download

    Dears; Students taking a course in Soil Mechanics: Here is a final version of your copy, two copies. 1 The printable version is most appropriate for reading in hard copies and the other, in soft copies. 2. Note also that the document is still being worked upon, though for you, this is your...
  13. E=mcsquared

    Kuwepo au Kutokuwepo; wote wapo

    Kawaida, watu hawawezi kusema kuwa haupo wakati hukuwahi kuwepo! Maana yake ni kwamba ili uwe haupo, lazima uwe uliwahi kuwepo. Kwa hiyo huwezi kuwa haupo bila kuwa uliwahi kuwepo, au huwezi kutokuwepo bila kuwepo!
  14. E=mcsquared

    Undergraduate Students doing a course in Soil Mechanics:

    Undergraduate Students doing a course in Soil Mechanics: I will upload something for you next week, mainly solved problems involving soil mechanics' BASIC RELATIONSHIPS. Make sure that you share it with your fellas. You may also examine the copy of any errors/ ommissions and report them back...
  15. E=mcsquared

    Viongozi wa Serikali na Wanachuo wa Chuo Kikuu Bugando wafukuzwa Chuo

    Kama yote uliyoyasema hapa yako sahihi hakuna ulichopindisha, naomba nikuhakikishie kuwa hawa wanafunzi watarudi chuoni na hao waliowafukuza ndiyo watapoteza ajira. Kwa kipindi hiki cha JPM, hili haliwezekani kufanyika. Unless uwe ukechakachua kutoa taarifa hii
  16. E=mcsquared

    Nikola Tesla vs Albert Einstein: The Ether & the Birth of the New Physics

    Ila kwa kweli nimesoma hapa kuhusu huyu jamaa halafu nikachoka. Remote control ameanza kutumia 1898. anaendesha Boat kwa remote control mwaka 1898 watu wakawa wanasema kuna kitu ameficha kwenye boat ndiyo kinachoiendesha. Mimi hapa kwetu mimeishangaa kwa mara ya kwanza mwaka 1986. Nikola Tesla...
  17. E=mcsquared

    Nikola Tesla vs Albert Einstein: The Ether & the Birth of the New Physics

    Angalau commendable source tu ya hizo Gossips? Maana kitu ambacho hakijawa verified experimentally ni gossips! Juzi juzi tu wamejaribu wakadhani wamedetect particles ambazo zinaenda spidi zaidi ya mwanga walipokuja kuangalia energy spectrum wakagundu kuwa iko sawa na ile ya mwanga kwa hiyo...
  18. E=mcsquared

    Nikola Tesla vs Albert Einstein: The Ether & the Birth of the New Physics

    Mimi naona kama hizo Tachyons ni hpothetical or rather imaginary, kwamba Tesla ali-imagine the existence of Tachyons. Einstein ali-prove kwa theory kwamba nothing is faster than light. This is not a belief but rather, a proved theory since 1905
  19. E=mcsquared

    5 More Senses You Didn't Know You Had

    5 More Senses You Didn't Know You HadRyan WallaceAug 8, 2014 Aristotle is credited with first classifying the five senses that we know best: touch, smell, taste, hearing, and vision. But as science has delved deeper into biology and the human brain, researchers have discovered several...
  20. E=mcsquared

    Wyoming cave with fossil secrets to be excavated

    Wyoming cave with fossil secrets to be excavated 13 hours ago...
Back
Top Bottom