Mama aongezewe muda tafazali .sababu ziko nyingi sana .naziandaa ntaziweka humu. Kikubwa huyu mama anakwenda kufanya mapinduzi makubwa ya kilimo kwa kuruhusu uuzwaji wa mazao ya wakulima nnje bila vikwazo vyovyote .ule uzuiaji wa kuuza mazao nnje ilikua ni ujinga mkubwa sana. Mama aendelee tafazali
Serikali ya mama naipongeza kwa kuziba masikio kuhusu suala la kufunga mipaka ili bei ya chakula ipungue nasema hivi kwa sababu zifuatazo.
1. Bei za mbolea zimepanda so lazima mazao yapande bei.
2.mafuta yamepanda bei so lazima vitu vipande bei.
3. Mwaka huu hakukua na mvua za kutosha so mavuno...
hongera bashe. kwa kueleza ukweli. daima ukweli na uwongo haukai pamoja. makufuli usikatishwe tamaa na membe ww fanya kazi . badili mfumo uliooza kwa manufaa ya watanzania walio wengi. maamuzi anayofanya makufuli ni kwa manufaa ya nnchi na sio manufaa yake. safari ya kutumbua majipu haitakua...
Hi guys. ni muda sasa nimekua nikitafuta dawa ya kumwaga arthini kabla ya kuweka pavements kwenye car parking areas, lakini sijafanikiwa. nilienda kariakoo nikapewa feki . twiga chemicals wanasema hawana. TFDA wanasema hawana hebu anayejua anisaidie niweze kwenda nunua .
huyu ni mpiganaji wa kweli hawezi kamwe kuikimbia ccm , ni mtu amefanya vitu vingi tumeviona hasa alipokua waziri wa arthi na alipokua waziri mkuu , ni mtu ambaye binafsi kama atapitishwa niko tayari kumpigia kampeni kwa nguvu zote. naomba mola ampe afya njema LOWASA ili aweze penya mtihani huu...
Habari jamani hapa jamii forum .ni muda sasa wa takribani miezi mitatu bila mafanikio yoyote nimekua nikijaribu kutafuta uwezekano wa japo kutoa kamchango kadogo kwa kambi hii ili iweze kufanikisha malengo ya kumuweka jembe (LOWASA) madarakani kwenye uchaguzi ujao wa uraisi, ni kwa nini nimeamua...
lowasa atakua raisi ya nchi hii kama mungu atamuweka hai hadi mwaka 2015. no one can stop him to be a president. mm namshauri kikwete atulie asijaribu tena kumshuighulikia he is un-stopable .
lowasa go aheard. usiogope mtu jipange wapuuze wanaokurudisha nyuma.
GOD BLESS LOWASSA.
huyo mchapa kazi hana ubaya wowote ule ni mtu safi tu. ni mtu ambaye anafaa kutuongoza baada ya jk kumaliza muda wake, apewe nafasi huyu mtu kuna baazi wa ya watu ndani ya CCM wanamuone tu. ila mungu atamleta juu tena very soon.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.