Search results

  1. M

    Tafakuri kwa wapinzani Tanzania

    Hali zenu wanajamvi, Mimi nashukuru nipo hai natarajia kuchanja wiki hii. Naomba wapinzanzi watafakari jambo moja tu: Anapopatikana kibaka mwanaume huuawa au hupewa kipondo cha hali ya juu. BUT anaposhikwa kibaka mwanamke hata sehemu kama kariakoo hali huwa tofauti sana. Hushikwashikwa na...
  2. M

    Hivi hii ni sahihi kweli? nini kazi ya bwana harusi?

    Habari zenu wanandugu!!! Nimekuwa mshenga nasimamia harusi ya ndugu yangu. Jana tulikuwa tunawaza zawadi ya bibi harusi tukataja mambo mengi sana. Kisha nikawaza.. 1. kuna haja kweli ya familia ya bibi harusi kumnunulia kila kitu binti yao wakati anaenda kuolewa? yaani kitanda, kabati, vyombo...
  3. M

    Sikutarajia kazi hii ifanywe na media za kenya kweli kwetu kuna makanjanja

    Wakuu hali zenu, Leo nimepata bahati kuangalia documentary kuhusu Loliondo reflection. Kusema ukweli ni muda mrefu sana nilitamani kitu kama hiki kifanyike sio kwa jambo la loliondo bali mambo mengi sana likiwemo la mikopo ya wanafunzi na miradi ya TASAF na umasikini, pia ushuhuda wa kina...
  4. M

    Hivi ni kweli hizi ni shule za vipaji maalum?

    Hali zenu wanajamvi hasa great thinkers!! Nawaomba mnisaidie kuwaza: 1. Je hizi shule zetu za vipaji maalum zinakuza vipaji gani? 2. Je ni njia gani zinatumika kukuza vipaji husika? 3. Je walimu wa hizi shule wana vipaji pia? 4. Hivi kuna "vipaji maalum" ambavyo hufundiswa/hukuzwa kwenye shule...
  5. M

    Nini Hatma ya walioweka mawe kwenye korosho?

    Wakuu mwenzenu ni mzalendo ambaye nafurahia mambo yakianza yamalizike kabisa. Kuna watu walilihujumu zao la korosho wakaweka mawe na kokoto kwenye korosho kiasi cha kuhatarisha sokoletu la nje. Niliwahi kusikia waziri mkuu bungeni akisema wanafanya uchunguzi maalum na hatua thabiti...
  6. M

    Sijasikia hamasa za kuchangia damu na mambo mengine kwenye ajali?

    Wapi watu wanachangia damu kwa wahanga?
  7. M

    Ndugu zangu msiache kuwaza na kupanga - Kisa cha kweli

    Naomba niwape kisa cha kweli ambacho kimetokea miaka mitatu iliyopita maeneo ya Buguruni. Siku moja nikiwa nimepeleka usafiri wangu kwa ajili ya matengenozo kwenye gereji bubu buguruni, jirani na ofisi ya tawfiq bus services alikuja kijana wa miaka kama 30+ mshabiki wa timu ya yanga, ambaye ni...
  8. M

    Jipange mzazi mwanao asipokee boom na asitegemee ajira

    Moja ya jukumu la mzazi ni kumjengea future mtoto wake. Kulingana na hali ilivyo ni dhahiri kutegemea mkopo wa elimu ya juu ni kukwepa majukumu na kumsababishia mtoto wako maisha magumu sana hapo baadae. Yaani makato plus interest ukilinganisha na mshahara anaopata kwa degree ya kwanza ni lazima...
  9. M

    TCU hivi mnahitaji hizi document zote kweli?

    Wakuu nilikuwa na mchakato wa kuthibitisha cheti changu cha majuu, Nikakutana na mlolongo wa vitu ambavyo natakiwa kuviwakilisha ili wathibitishe. Mahala pengine wanachofanya wanachukua cheti chako, Kisha wanakagua kama chuo husika kipo miongoni mwa vyuo vinavyokubalika. baada ya hapo...
  10. M

    Napenda wanawake wa aina hii!!

    Yaani kila mtu na hisia zake. kwakweli napenda mwanamke mwenye K... kubwaaa na Juice yakutosha.... hao wengine unakuta mnasuguana hadi inakauka unaumia siwapendi.... Yaani ukipata ile umeiandaa ikaiva maji kibao unakula weeeeee hadi anakuuliza bado ndipo unawaza kumaliza... sio hao wengine...
  11. M

    Kati ya hizi semi ni ipi inakukuna zaidi? unaweza kuongeza ya kwako pia

    Semi za malori ambazo nimeziona. maswli hapa ni kwanini zinaandikwa? nani muandishi mwenye lori au dereva? 1. Ondoka tukuseme 2. Jino moja mswaki wa nini 3. Kaka mkanye mkeo piki piki sio yangu 4. Mtoto hatumwi dukani 5. Silaha pesa kisu mzigo 6. Wakati unasubiri yaive wenzako wanakula na chumvi...
  12. M

    Wadada mnaonyonyesha mnatuboa sana!!

    Enzi za zamani kama mdada alikuwa anakuzingua sana mgumu kutoa basi unasubiri akizaa tu. Yaani akizaa utamkuta ananyonyesha unajifanya kupiga story kumbe unachungulia manyonyo yake. halafu hawakua na aibu kabisa. Lakini siku hizi mtu anajifichaaaa hata mtoto anakosa hewa wakati ananyonya...
  13. M

    Wanaume: Kwa urahisi huo huo unaouona kwa wake wa wenzako, ndivyo wako yupo!!

    Wakuu hali, Siku moja nikiwa nasafiri kuelekea nyumbani mkoa nilikaa siti moja na mke wa mtu ambaye alimsindikiza hadi kwenye basi na akahakikisha basi limeondoka ndipo akarudi kwao. Baada tu yakufika maeneo ya Kibaha akaniomba akae dirishani kwani anajisikia vibaya angependa kuegemea...
  14. M

    Mwanaume Kumtegemea mwanamke ni KOSA kubwa sana

    Wakuu napata shida kumpongeza au kumpiga huyu mchungaji kwakua mimi ni sijui maandiko. Lakini kama vile anawasilisha mada nzuri sana....
  15. M

    Tambua ya kwamba mke wako anaamini utakufa kabla yake!!!

    Nawasalim wakuu, Nimefanya research ndogo na nimefikia conclusion ya kwamba wake zetu wanaamini sisi tutakufa na tutawaacha. Na huwa wanatamka kwamba mume wangu tujenge isije likatokea lakutokea ukaniacha na watoto hakuna pakuishi. Au utasikia mume wangu niandikie wosia au hati fulani andika...
  16. M

    Wanawake mjue hili: Maumivu ya kunyimwa uroda na mkeo ni makali zaidi ya pilipili machoni

    Wanawake mnatabia ya kutunyima uroda kwa kisingizio kwamba mmechoka au mmkiwa tumewakwaza hata kiduchu. Nawaambia ukweli huwa mnatukera zaidi ya kuwekewa pilipili machoni... msije siku mkashangaa mtu analipua nyumba yake kwa baruti.... Nimewaonya...
  17. M

    Je kuna uhusiano wowote kati ya ukubwa wa hips za mwanamke na uasherati?

    Wakuu nawaza tu, Mara kadhaa nikikutana na wadada hawa wenye shape zao... wale wenye mahips na mapaja makubwa mara nyingi wamekaa kimalayamalaya sana. Akitembea kama vile anajilambaza aliwe tu. Muda wote wanajitazama mahips na hasa awe na kifua na ajazie kiasi yaani atabadilisha miondoko na...
  18. M

    Nadhamiria kuongeza jiko: Wenye uzoefu na wadada wa kinyamwezi mnitonye!!

    Wakuu hali zenu, This is serious. Nimeamua kuongeza jiko baada ya kuona idadi ya wanawake ni kubwa na wanaume wa shoka tupo wachache. Nimevutiwa na mtoto wa kinyamwezi na huenda akavalishwa jezi mambo yakikaa sawa. Mimi sina uzoefu na wanawake wakinyamwezi zaidi ya kumfaham shilole wa mziwanda...
  19. M

    HATARI: Tabia ya makanisa na mashule kuwatuma watoto wadogo kuomba michango mitaani

    Wakuu habari zenu, Naomba wanaohusika na kutuka sheria waliangalie kwa undani hii tabia. Kuna baadhi ya makanisa na shule binafsi na serikali kuwapa form wanafunzi ili wapite wakichanisha michango mitaani. Juzi tulijiwa na watoto under 8 mabint wakitumomba mchango waende mikumi. Jamaa yangu...
  20. M

    Alternative B kwa wapinzani

    Kulingana na yanayoendelea katika siasa za Tanzania na Africa juu ya utekelezaji wa mfumo wa vyama vingi ni vigumu sana kuona au kuwaza lini mambo ya uchaguzi huru na wahaki utafanyika. Hili ni kwasababu platform yenyewe ya democrasia imebeshwa katika mfumo wa chama kimoja. Namaanisha vyombo...
Back
Top Bottom