Search results

  1. ERIK

    Vifaa vya muziki kwa bei nafuu

    Nauza vifaa mbali mbali vya mziki na studio(used) Yamaha keyboard psr 443 = 450,000 bass Gitaa (ibanez sound) = 350,000 Studio mic (Tockstar) = 270,000 Studio Speaker (Alessis New)= 1,100,000 Pia kama utahitaji kifaa chochote/ cables/ connection vinapatikana Contacts:0658644485 Location...
  2. ERIK

    UNAWAZA (NAWAZA PIA) / UNAOGOPA (NAOGOPA PIA)

    Habari wana Ndugu, NIende kwa point moja kwa moja................. Katika tafiti zangu nimegundua kuwa wanawake wengi saana hawapo kaika mahusiano na waliokuwa katika mahusiano wengi pia hawayafurahii kutokana na sababu mbali mbali.......... Cha ajabu wengi pia wanajifikiria na kujiuliza...
  3. ERIK

    Nyie wanawake mna nini?

    Kuna msichana nilikuwa nachat naye kama miezi mitatu sasa, simfahamu kabisa nilipewa namba yake sababu nilikuwa na project iliyokuwa inahitaji wadada , ila bahati mbaya kumbe kwa muda huo alikuwa nje ya dar hivyo akuweza shiriki. Ila tukawa tunasalimiana mara moja moja kwa ku chat tu (hatujawah...
  4. ERIK

    Kwa mahitaji ya animation / 3D / Graphics

    Habari, kama unahitahi graphics za aina yoyote naomba tutafute, tunatengeneza katuni, animation za aina zote, Matangazo ya aina zote, Audio, video, 3d, animations, postares n.k Pia tunafanya Final (mastaring) za Movie, tamdhilia, music na colours tunapatikana Dar es salaam, Njia panda ya...
  5. ERIK

    Kumbe upweke ni zaidi ya stress

    Jamani Mnaweza kuhisi natania hapa ila kwa kweli upweke umenizidi, bora hata ningekuwa na ka sress kidogo ila sio huu upweke.... Wadada naombeni kampan zenu nimechokaa, Hizi ratiba za kazi nazo nadhan zinanibana kidogo nakosa time ya kukutana na nyie sehemu! Nadhani na mazingira nayoishi pia...
  6. ERIK

    Nauza vifaa vya studio bei nafuu

    Nauza vifaa vya studio, nimefunga studio yangu Dar es salaam Keyboard 430,000 Tockstar Mic 400,000 Monitor M audio bx 8 : 650,000 Computer desk top, dell ram 12 proce. 3.3 core i5: 500,000 Laptop Lenovo core i7 ram 16gb graphics 2gb : 550,000 (ina creck) Maelezo zaidi 0658644485 / Location...
  7. ERIK

    Mumeo nipo hapa acha kupoteza muda njoo hapa

    Haijalishi tumekutana mtandaoni amini tunaweza kuwa mke na mume endapo tutakubaliana, kupendana, na kuendana Most of peoples tunakosa Muda mzuri na sehemu nzuri ya kukutana na wenza ambao ni sahihi kulingana na ratiza zetu za maisha (hii ni kwa wanawake na wanaume). Kama kuna msichana aliye...
  8. ERIK

    Wewe ume-miss nini? Mimi nime-miss...

    Habari wana Jamvi, Naamini hapa kuna watu wa aina tofauti na kuna watu pia tuna mahitaji tofauti ila inakuwa shida saana kujua hitaji la mwenzako na ku share naye. Back to the point. Hebu leo tuambiane kweli wewe ume-miss nini? Mimi nime-miss kuwa na msichana mrembo kwenye serious...
  9. ERIK

    Tunauza nguo za mtumba (grade one) za Watoto na Wakubwa

    Habari Ndugu zangu, Tunauza nguo za mtumba grade one kutoka Dubai na South Africa, Nguo zetu zinakuwa kama mpya kabisa na unaweza kununua na kwenda kuuza dukani pia. Tunapatikana Tabata Segerea/ pia ukiweka oda unaeza kuletewa ulipo ndani ya Dar kwa watu wa mikoani tunatuma pia kwa uaminifu...
  10. ERIK

    Moja ya vitu vinavyosumbua akili ni kumiss kitu au mtu

    Moja ya vitu vinavyosumbua akili ni kumiss kitu au mtu! Ni mara chache au watu wachache wanaoweza kuweka hisia zao wazi. Kwa mfano unaweza kuwa single na una miss hata kupata mtu wa kukukiss, kukujali na kukupenda lakini unaogopa kujiweka wazi kwa sababu mbali mbali. Tufunguke hapa Leo...
  11. ERIK

    Nauza camera lumix gh5

    nauza camera ya Lumix GH5 full package battery 2, charge, lans 14-45 na 45-200 ipo kwenye hali nzuri kabisa yani kama mpya! nauza 4,500,000. kwa maelzo zaidi 0658644485 na picha pia nauza vitu vya production kama taa, laptop,boom mic ets
  12. ERIK

    DRUM SET INAUZWA

    Nauza Drum set full, imekamilika ni used kutoka Taiwani ipo katika hali ya upya kabisaa..... kwa picha na maelezo zaidi naomba tuwasiliane 0658644485. pia tunaweza kubadilisha kwa Mid speaker au bust kwa makubalianeo Maalumu Bei 1,400,000
  13. ERIK

    Hivi kwanini watanzania huwa hatupendi kukutana na watu wapya?

    Hivi kwanini watanzania huwa hatupendi kukutana na watu wapya? mfano unafikiria kuwa mfanya biashara mkubwa lakini mawazo yako unayo mwenyewe kichwani na ikitokea mtu ametaka kukufahamu unakataa hata kuwa rafiki yake wakati yeye anaweza kukusaidia hata mawazo ya kutimiza ndoto yako!! unakuta...
  14. ERIK

    Camera & vifaa vya studio vinauzwa

    Nauza vifaa mbali mbali vya video production : Camera LUMIX GH5k with lens 14-45 = 4,300,000 pia kuna taa, stand, boom mic, wireless mic, pad light, laptop, desktop na imac Spika kwa ajili ya studio Maudio BX5 kwa picha zaidi na bei naomba tuwasiliane 0658644485 napatikana dar es salaam tabata
  15. ERIK

    Hawa wadada wanaojitambua wapo wapi?

    Nimekuwa katika mitandao ya kijamii kwa muda mrefu saana, nimetembelea sehemu tofauti za starehe na burudani kwa muda mrefu saana, kwa kuwa mimi ni mkristo nimeenda kanisani saana ki uweli nimejaribu kufanya uchunguzi kwa wasichana na wasasa 70% ni pasua kichwa, hawajitambui na hawana future za...
  16. ERIK

    HAPA KUNA WADADA WAPO SERIOUS!!

    habari Ndugu zangu, Huwa napitia saana Uzi mbali mbali humu na ni memba wa muda mrefu saana, naona comment na baadhi ya post zinaonyesha kuwa masichana wastaarabu, wanajitambua pia kuna wanaohitaji ila wanashindwa kuwa public..... Naomba kama kuna muhtaji yoyote kama Mimi namaanisha...
  17. ERIK

    NAUZA TECNO CX

    Nauza TECNO camon CX ram 3gb storage 16gb camera 16mp adroid 8.1.00 Price 240,000 simu ni mtumba kama mpya kabisa na unapewa guarantee ya mwaka mzima mawasiliano zaidi 0658644485
  18. ERIK

    Simu za Techno kwa bei a chini

    Habari, Nauza simu mpya aina ya tecno kwa bei za chini au bei za jumla, Simu zina warrant ya mwaka mmoja na ikitokea imekusumbua au ukihitaji kufanya service utafanyiwa katika vituo vya Tecno (calrcares) Kwa mahitaji ya matumizi binasfi au kufanya biashara naomba nicheki DM au 0658644485 kwa...
  19. ERIK

    MDADA ANAYEHITAJI FURAHA

    Habari, Kama wewe ni mdada mrembo ambaye unahitaji mtu wa kukuliwaza, kampe, story + outing kukutoa stress na kukufanya uwe na Furaha na kujua dhamani yako naomba PM tuongee zaidi, NB: sio kwa nia mbaya wala kuharibu uhusiano kwa walio ndani ya mahusiano, karibuni wadada wapwekeeee
  20. ERIK

    LIVE BAND IN DAR ES SALAAM

    Kwa mahitaji ya Live Band karibu saana upate burudani nzuri kutoka kwetu, tunaimba nyimbo aina zote (COPY) tunapiga katika event yoyote. Lounge / Grill, Hotel / Bar, Beach / Club Harusi / send off. Tunapatikana Majumba sita Dar es salaam. Gharama zetu ni nafuu sana. Karibu. For the needs of...
Back
Top Bottom