Search results

  1. Tabrett

    Mabinti wa kibongo na Oman

    Habari ya asubuhi wanajamvi naomba yeyote mwenye uzoefu na suala la wadada wa kibongo kufanya kazi salon za kuchora hina huko Oman naomba anifahamishe yanayotendeka huko.
  2. Tabrett

    Mabinti wa kibongo na Oman

    Habari za asubuhi wanajamvi,wanafamilia tumejikuta katika njia panda baada ya mdogo wangu wa kike(mtoto wa bamdogo) anaishi na wazazi wangu kua rafiki yake ambae alikua Oman anafanya kazi katika salon ya kuchora hina amekuja kumchukua ili waondoke wote wakajiunge katika kazi hiyo.Wanafamilia...
  3. Tabrett

    Pads

    Habari za jioni wanaJF,poleni kwa majukumu.Nimejaribu kufuatilia hizi pads tunazotumia akina dada nimegundua ziko za aina nyinginyingi zikitofautiana kwa muonekano,texture,hadi utendaji kazi wake.Kinachonitatiza hadi kuamua kuwashirikisha wanajukwaa ni kuwa,kumekuwepo na pads ambazo...
  4. Tabrett

    Jinsi ya kufanya ujasiriamali kwenye mtandao....(how to earn online money online)

    Duh!hii joke yako ni kiboko,yaani nimecheka hadi nimepaliwa mate!mkuu tupia tena nyingine mie ncheke!!:lol::bump2:
  5. Tabrett

    Mapishi ya Nundu

    Habari za kazi wanajukwaa,naomba mtu yeyote mwenye utaalamu wa kuandaa nundu kwa ajili ya msosi kwa pishi lolote lile anisaidie.
  6. Tabrett

    Hellow!

    Member mpya miye jamani,naomba mnipokee!
Back
Top Bottom