Search results

  1. mapande48

    Bunju-Posta Metro Line

    Good Solution IPO NCHI GANI TUPELEKE WATAALAM WAKAJIFUNZE Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mapande48

    Ajali ya Arusha: Tumejifunza nini kama taifa? Nini kifanyike?

    Ups the [/IMG]a R Dr t*tryst r fretting st **retardant st frr stretch dryer st d text fitted d Dr st st d true rest f dude st try d Xi xft TX Sgd
  3. mapande48

    Kilimo cha Mboga na Ufugaji

    Wanajamvi poleni na harakati za kujikwamua na mbinyo wa maisha. Nawasilisha kwenu yeyote au kama una kijana aliye serious na kilimo na Ufugaji basi ani PM. Eneo la shughuli hii ni Mkuranga miundo mbinu imekamilika kwa 45% maji ni ya kutosha. Karibuni
  4. mapande48

    Sasa matangazo kama hivi tutaelewana kweli!

    Here kama viota vya ndege!!! Wapi huko??
  5. mapande48

    Nahitaji Laptop INSPIRON 15 3000 Series

    Wadau hasa waliopo Arusha, Nahitaji haraka Laptop yenye kasi kwa ajili ya kazi zangu. Bei isiwe zaidi ya laki TANO Mwenye nayo anijuze kwa namba 0785 847 867
  6. mapande48

    Mwenye uhitaji wa mtaalamu wa ufugaji wa samaki na viumbe wengine (Fish Farm Manager)

    Tuwasiliane tujue mtaji kiasi gani kwa kuwa nina eneo lenye maji ya kutosha katika kisima maeneo ya Kibiti. yangu 0719741314
  7. mapande48

    Gharama za kuweka convection ya gesi kwenye gari

    Kwa maana hiyo kilo moja ni km 25. gharama ya sh 1465 kwa kilo ya gesi bado kubwa, hitihada zifanyike ipungue hata ifikie nusu yake, ili tujikomboe kwa pamoja. " MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA INAWEZEKANA" tujipange tu na Rasilimali zetu tulizo nazo vizuri.
  8. mapande48

    Mwanamke bila nguo wengi ni majanga

    Je nao wakifanya utafiti "KA GOLI KAMOJA" ???????? mhh...umechoka wewe.
  9. mapande48

    Ushoga Makongo Sekondari

    Hakika tuwe makini sana na watoto hasa wanapokuwa boarding, tufuatilie mienendo yao. Walimu peke yao HAITOSHI.
  10. mapande48

    Mi ndoa sitaki labda unigegede tuuuu

    geuka kwa mkeo, achana na upuuzi huo, "USIJE UKAPATA -----"
  11. mapande48

    Going to Kingolwira Fish Farm

    Imepita miezi sasa tangu uende pale Kigolowira,, je ulipata mafanikio ya safari yako???? 0785867847
  12. mapande48

    Taarifa za mikopo midogo midogo ya kibiashara!

    Hizo riba ndiyo zinasababisha mkopaji ashindwe kulipa mkopo na kupelekea majanga ya kuchukuliwa/kuuzwa kwa mali zake kama nyumba na mashamba na hivyo kusababisha migogoro katika familia nyingi hivi leo. Benki Kuu wasimamie hili jamani!!!!!!!!
Back
Top Bottom