Search results

  1. M

    Kiwanja kinauzwa Mbezi njia ya Goba

    Kuna kiwanja kinauzwa jirani mbezi Luis pr school, njia ya Goba unaingia Kama km 1 toka lami. 22*20m ni 12ml eneo lote limejengwa na nguzo ya umeme iko getini. Eneo limezungushwa nguzo na fencing wire. Anayeuza anamiliki nyumba hapo. Karibu 0752306076
  2. M

    Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    Mtoto alifanya maamuzi ya kumpeleka baba yake ambaye alikuwa Mzee sana kwenye Makazi Maalum ya kulelea wazee ya Kanisa Katoliki iliyokuwa CHINI ya uratibu wa Padre. Alifanya hivyo Baada ya kushauriwa Na mkewe aliyekuwa akiona Ni kero kumlea baba Mkwe wake nyumbani kwao. Ofisa katika sehemu ya...
  3. M

    Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..

    Joel kwanza pole sana kwa yote. Kukosa wazazi au hata ndugu kweli kumechangia hili. Bila kujijua umekosa upendo na ktk maisha unaamini hela tu ndio kila kitu. Na huu ndio msukumo uliokufanya uitafute hela kwa nguvu na kuitumia kwa nguvu hiyo hiyo. Huyo CEO alisimama kama baba akakuona hatari...
  4. M

    Kampuni ya mabasi ya Princess Muro kukarabati kituo Kimara kwa milioni 200

    Kituo kimeligonga bus au bus ndio limegonga kituo hadi bima ilipe gharama yote hiyo. Nawaza tu
  5. M

    6 acres land for sale located at africana mbezi beach

    Kanisa katoliki anamaanisha ndani njia ya Kinzudi na nafikiri ni acre sio hectares. Kule inawezekana
  6. M

    Natafuta anaeuza mayai

    Bei zako na tray ngapi kwa wiki
  7. M

    Kiwanja Goba

    Habari wadau. Kuna mtu anauza kiwanja chake Goba Kulangwa ml 8, sio mbali na lami Ukubwa 20x20m Mpigie Said 0658 112572
  8. M

    Tanzia: Mmiliki wa hospitali ya Massana, Prof Lema afariki dunia

    Poleni wafiwa, Mungu awatie nguvu nimelazwa hapo na mtoto si Mara moja. Alikuwa anajali wagonjwa, Mungu awasaidie wapate mtu wa kuiongoza manesi wake wengine hovyo sana niliacha kwenda sababu hiyo. Sikujua ni ndugu na surgeon Leonard Lema naye alikuwa mzuri na kichwa sana. Poleni wafiwa
  9. M

    Waarabu wana nguvu Iringa

    Ulienda wapi we mwenyewe umeenda kunywa maeneo ya chini ulitegemea nini. Kila mkoa kuna uswazi na high-class yake. Ndio maana ulikutana na hao watu wanaofanana na upeo wako mfupi ukaubeba hivyohivyo. Jaribu kutafta high-class wakutembeze ukienda tena.
  10. M

    Wadau wa Usindikaji tukutane hapa

    Aasante Mtui ngoja tutafute huko Kkoo
  11. M

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    asante sana miaka 2 ni tosha kwa kuanzia project ikikua nitatumia hizo za balton. Kkoo nilikuta 12x4m ni 150,000 nitajitaidi kuleta feedback nikifanikiwa
  12. M

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Habari wadau je zile nylon za kufugia samaki kuna aliyewahi zitumia, kuna changamoto zozote ukilinganisha na kuchimba na kujengea. Nilitaka kuanza ufugaji mdogo kwa kutumia liner badala ya kujengea. Ushauri please
  13. M

    Wadau wa Usindikaji tukutane hapa

    Asante kwa utaalam, ningependa kusaga unga wa majani mfano mlonge muarobaini hata mbogamboga ili itumike kwa kinga na chakula kwa mifugo na binadamu. Je mashine ya kusaga nafaka itafaa au? Nitumie procedure gani kuhifadhika muda mrefu. Asante
  14. M

    Mayai ya kanga

    Wafungie mie wanataga japo sio wengi kisha napeleks mashine
  15. M

    Mashamba na viwanja yanauzwa Ruvu Moro, rd

    Maeneo yanayofaa kwa makazi na mashamba yako kati ya kilometa 70 hadi 85 toka Dar es Salaam barabara ya kwenda Morogoro. Heka 15 kila heka 1 milioni 2 na laki 3. Heka 10 kila heka 1 milioni 2 na laki 5. Heka 10 kila heka 1 milioni 3. Heka 20 kila heka 1 milioni 3 na laki 5. Na heka 500 zipo km...
  16. M

    Halmashauri Jiji la Mwanza limetia aibu kumsafirisha marehemu

    Dah ila hao hawakuwa wanampenda si wangechanga tu waje kudai kwanza kuzika ulipofia kuna tatizo gani
  17. M

    Ni yapi Matunda ya muda mfupi?

    Tikiti hoho tango
  18. M

    Baba mbaroni kwa kuwabaka watoto wake wawili

    Dah Mungu tusaidie sodoma na gomora hii
  19. M

    Watoto wa Upanga primary school tumewaokota

    I see.... Tuma hata mtu tu awaffikishe shule wazazi sijui watakua na hali gani. Afu sijui wazazi wanawaza nini unakutana na vitoto std 1 alfajiri kwenye mabasi kweli wanakua na utulivu na amani ya kusoma hawa? Mkuu fungua daftari wengine wana namba za wazazi.
Back
Top Bottom