Search results

  1. Thegreatcardina

    Kaka yake hanitaki kisa mie sio mchaga

    Tafuta hela wewe.... Hata ulivyoandika unaonekana tu huna hela....
  2. Thegreatcardina

    Msaada tafadhali: Ofisi za ustawi wa jamii zimegeuka kuwa chama cha kusaidia Wanawake

    Kuna raha ya kuitwa baba, lakini pia kuwa na watoto ambao kila kunapokucha unapambania furaha yao. Nawaza tu unapokuwa baba unayejali na kuipenda familia, especially watoto, linapotokea jambo kama lako unakuwaje ki akili. Kama ni baba unayependa watoto wako, sasa hivi kuna wanasheria wengi tu...
  3. Thegreatcardina

    Naombeni msada: Nahitaji kuonana na Rais Samia

    Nenda kwenye account zao Tweeter. Wanajibu maombi ukituma
  4. Thegreatcardina

    Hivi kuna Route ndefu kuishida Dar - Karagwe?

    Mwanza to mbinga ni mwanaukome kama ipo... Hiyo ya Karagwe isubiri Kuna Songea to Moshi.....
  5. Thegreatcardina

    Viongozi na Hotuba zao nane nane 2023

    Hahahahahaha [emoji1787][emoji1787] Hii kali... Sio hadhara tena ndio walengwa
  6. Thegreatcardina

    Viongozi na Hotuba zao nane nane 2023

    1. Naombeni kujuzwa, hivi kwenye Hotuba za viongozi wa nchi hii ni lazima kutaja majina ya wakuu wote waliohudhuria?? 2. Hivi Hotuba si zinapaswa kuendana na tukio lililokusanya hadhira? Leo ni sikukuu ya wakulima, why mtu anachukua muda mwingi kuongea yaliyo nje ya sherehe? 3. Na mwisho...
  7. Thegreatcardina

    Mambo Usiyoyafahamu Kuhusu ushoga na Jinsi Unaweza kuwaepusha Watoto Wako

    Umeeleza vizuri sana. Watu watakutukana ila ukweli utabaki kuwa ukweli. Chukueni huo ushauri aliotoa mleta Uzi. Tatizo hili kwenye jamii yetu ni kubwa kuliko mnavyolisoma hapa. Na linazidi kuwa baya zaidi kutokana na jamii zetu kutotafuta namna nzuri ya kupambana nalo. Tatizo limezidi zaidi...
  8. Thegreatcardina

    Magreth Kobelo Gonzaga anayetafutwa na TAKUKURU kwa kukimbia kesi ni nani?

    Hakuna mwenye wasifu kamili wa huyu dada. Ni nani? alitakatisha ngapi na how? kakwepa kodi gani? Historia yoyote inayomhusu kwa kina.... Tuweze kumfahamu tafadhali
  9. Thegreatcardina

    Yamenikuta mwanaume nimekutana na mwanamke msagaji akanitenda

    Nataman na wewe ukutane naye. Nikuunganishe naye sio??
  10. Thegreatcardina

    Yamenikuta mwanaume nimekutana na mwanamke msagaji akanitenda

    Nyie Waamerika na wa EU..... yale manyaraka yenu mliotoa ni kuwa mnataka tuwe tunafanyiwa hivi wazi wazi???... sasa mbona haitakuwa tamu. Tuacheni hivi hivi tuwe tunajiiba ndo inakuwa tamu jamani..... aaahhhh nimemis hii kitu.
  11. Thegreatcardina

    Kutana na mwanamke aliyejifanya mwanaume kwa miaka kumi ili afanya kazi mgodi wa Tanzanite

    Kweli mjomba Hussein ulikuwa unapambana na hali yako.... Hongera kwa kutusua mpaka ukafanikiwa.
  12. Thegreatcardina

    Mkuu Wa Polisi Kawe Tuondolee Huyu Lesbian Mbezi Beach Anatuharibia Mabinti Zetu

    PDIDY MBONA HUWEKI HIYO PICHA NA NAMBA YAKE YA SIMU? TUNASUBIRIA ILI TUKUSAIDIE KUMUONDOA HAPO MTAANI KWAKO. NAKUHAKIKISHIA KUWA HUTAKAA UMUONE TENA
  13. Thegreatcardina

    Utafiti mpya waonyesha watu weusi sio watu halisi

    MJIBUNI MWANDISHI WA MAKALA KWA LUGHA ALIYOTUMIA. WEWE UNASALIMIWA KWA LUGHA YA KIHAYA UNAITIKIAJE KWA LUGHA YA KICHAGA? SOMO LAKO LA BURE BAKI NALO. NINACHOELEWA UMEELEWA UJUMBE. SARUFI NI KAMA NITAKUJA KWAKO KUFANYA MTIHANI....
  14. Thegreatcardina

    Utafiti mpya waonyesha watu weusi sio watu halisi

    THE PROBLEM IS NUCKY THOMPSON WROTE IN ENGLISH AND YOU GUYS REPLY HIM / SHE IN SWAHILI...... YOU CAN'T GET REPLIES TO WHAT YOU GUYS ASK / COMMENT. THATS WHY HE / SHE IS SILENT.
  15. Thegreatcardina

    Mke wa mtu akikufanyia ishara hizi anamaanisha nini?

    MKE WA MTU MTAMU WEWE..... MKARIBISHE GHETTO TU. HAKIKISHA MAJIRANI ZAKE WANAMUONA AU WANAJUA KUWA AMEKUJA KWAKO.
  16. Thegreatcardina

    Visa vya wanawake katika mahusiano

    WEWE DEMU ALISHAKUKUBALIA. TATIZO UKAWA MZITO WA KUELEWA. INAVYOONYESHA HUYO DEMU ALIKUWA BADO HAJAGUSWA (BIKIRA) NDIO MAANA ALIKUWA MUOGA KUKUBALI MOJA KWA MOJA. AKAKUBALI KWA VITENDO. HIYO PAD ILIKUWA ZUGA TU KUTOKANA NA HOFU. NDIO MAANA BAADA YA KUREJEA SAFARI AKAKUONA WEWE NI ZUZU...
  17. Thegreatcardina

    Nguvu ya nyota na sifa zake

    [Nyota ya Ndoo: Januari 20 – Februari 18 Ni alama ya hewa: Ni mbinafsi na asiyependa kufuata utaratibu au sheria. Wakipekee Anaejitegemea na hupenda kuwa peke yake Mwenye huruma, Muona mbali, Mwenye ufahamu wa hali ya juu ni mbunifu, Anafanya marafiki wa aina mbalimbali Ana utu na mwenye kudai...
  18. Thegreatcardina

    Jamal Malinzi na Celestine Mwesigwa wafikishwa Kisutu, wasomewa mashtaka 28

    ETI KUNA HATA MCHAGA KWENYE HILI DEAL ALILOPIGA JAMAL....?
Back
Top Bottom