Search results

  1. Mbeky

    Zijue Teknolojia 10 zilizovumbuliwa na wanawake

    Mkuu gun powder ilivumbiliwa China...sio kwamba China ilikua imelala sema China ilikua isolated from the rest of the world kipindi hicho walionekana wanaishi maishi ya kijima zaidi...tawala nyingi za China zilikuwa na sayansi kumbuka ata uvumbuzi wa silk ni huko huko
  2. Mbeky

    Israel toka 1948 na Jeshi la IDF

    Mwanzilishi wa uzi hakuwa hata amefungwa mawazo yake na mitazamo ya kiyaudi, kikristu au kiislamu..sasa sijui wachangiaji hizi hoja za nini...
  3. Mbeky

    Macho matano ya kiintellijensia duniani (five eyes intelligence alliance) wajipanga kuzima ushawishi wa china duniani

    Trip ya Teresa May Africa ilikua kuangalia fursa kubwa za kibiashara kati British na Africa baada ya Brixist...China kaishaishika Africa baada ya kuimaliza Asia..soon Hong Kong inarudi mikononi mwao..kuna uwekezaji mkubwa wa makampuni ya China Korea ya Kusini means nayo imeanza kuwekwa kwenye...
  4. Mbeky

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hi ndio moja ya sababu iliyonifanya mpaka sasa sijanunua jezi ya Man U...bado sina imani na timu kabisa Thank you once again for the shit [emoji90]performance Man U Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. Mbeky

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Aya tena the same old stories Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. Mbeky

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Not on our watch aissee...yahani noise neighbors walitaka kuchukua mke mbele yetu dah aibu ya msimu
  7. Mbeky

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Easy win leo...Swansea wameshindwa kutupa the fight we deserve..
  8. Mbeky

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hawakutegemea kabisa hii game plan...tunafanya interceptions za maana...tumeshika Mane, Flemino na Salah...afu huku Rukaku anamsumbua Loveren na long balls... Nadhani kipindi cha pili watakuja na plan B otherwise tuwanywa nyingi tu za counter attack...hapa inabidi tuwagonge cha tatu ndani ya dk...
  9. Mbeky

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    McTommy anatoa balance ya timu mpaka raha..this boy is so amazing aissee Anafanya things to look so easy kwenye midfield
  10. Mbeky

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    As Man Utd fan...as much as I hate to admit it ila naamini Mikh atafit perfectly kwenye aina ya mchezo wa Arsenal...na atashine upya...wasiwasi wangu tu ni kwamba huyu jamaa ni mvivu wa mazoezi na Wenger hana kasumba ya kuwa mkali kwa wachezaji...akiachwa akaendeleza tabia hii he mighty be an...
  11. Mbeky

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    KWA WANAOKIMBILIA HOJA NYEPESI YA AS7 kuwa overpaid soma hapo Alexis Sanchez is a bargain and Man Utd should be praised | Daily Mail Online
  12. Mbeky

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    A win is a win though we were little bit floppy today...it is about time sasa Sanchez aje sasa
  13. Mbeky

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Nini kinatokea leo...no passion at all...tuko flat kabisa
  14. Mbeky

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    It wasn't our best performance but it is a massive 3 points to get.. Glory Glory Man United Darajani here we come...
  15. Mbeky

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    As much as I hate to admit it tuna mmiss Pogba pale kati....timu imekosa creativity kabisa Hela tulizotumia kumnunua liendof tungetumia kumpeleka Rojo India akapone mapema kama England wameshindwa mtibu...this guy is awful since day one anafanya school boy error
  16. Mbeky

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hivi ni nini hiki leo [emoji35][emoji35]
  17. Mbeky

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Anthony Martial, Henrikh Mkhitaryan and Romelu Lukaku ran riot at the VEB Arena. Lukaku can't stop scoring Lukaku started and finished the move for United's opener, spreading a sublime ball out wide to Martial, then nodding his cross in at the far post after four minutes. It was Lukaku's ninth...
  18. Mbeky

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Manchester United isupport vibwengu, mashoga au ISIS I don't give a damn...mahusiano yangu na Manchester yanaongozwa na mafanikio wanayopata uwanjani...funga all rivals beba vikombe leta furaha kitaani... We unafikiri teamu ikisupport food programs South Sudan au ujenzi wa fly over kimara afu...
  19. Mbeky

    Mwenye tatizo kuhusu magari

    Mkuu gari langu linakua linatoa milio ya vyuma nikikata kona at first niliambiwa ni CV joints zimekufa...nikabadili baada ya muda mchache tatizo limeendelea
  20. Mbeky

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Is he saying goodbye or just my eyes
Back
Top Bottom