Usikatishwe tamaa kwamba utarudia tena. Hata kama hukuwa na nia ya kuacha, pengine kirusi hiki kimekupa nafasi ya kujitathmini na kuanza upya. Weka nia ya kwamba hutaki kurudia tena kwa kuwa umeona kuna endapo utafanikiwa kuacha.
Halafu cha kushangaza wale wanaowasubiri watoto kwa hamu na kwa heshima zote wanajifungua kwa shida pengine hadi operation. Lakini hao wanaojiandaa kuwanyonga, wanachomoka kiulainii. Kweli the wonders of this world shll never end.
Wapo kibiashara zaidi. Wanatudanganya wateja wao bila hata aibu. SITAKI NA SIPENDI KUSIKIA HABARI YA OFFER.
Ila hii YATOSHA mi nimeikubali. Siwafagilii lakini tangu nianze kuitumia naona inalipa. Na ukitaka kuwakomoa fanya hivi. Weka credit inayotosha kununua package unayoitaka, ukishaipata hiya...
Samahani kwa hili swali; wewe ni mkristo au muislamu? Kama ni muisalamu, kwa kuwa imani yajo inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja, basi fany utaratibu wa kumuoa. Hata kama ulikuwa huna utaratibu wa kuwa na wake wawili, kama mwanaume inabidi tu uwe tayari kulipia madhambi ya kumsaliti mkeo kipenzi...
Hili jambo tunahitaji kuliangalia kwa makini zaidi pengine kuliko tunavyoliona sasa.
Mimi binafsi bado naamini bado kuna shida kubwa kwenye swala zima la elimu kwa wapiga kura. Bado sijasikia vizuri kile ambacho kanisa Katoliki limeamua kufanya mwaka huu, lakini naona bado ipo haja kubwa sana ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.