Search results

  1. Zed

    Gerald Hando: Makonda akikutwa na hatia atafukuzwa Kazi ya Ukuu wa Mkoa

    Kwa wadhifa wa Mkuu wa Mkoa, Makonda ni mtumishi wa serikali na sio mweneezi wa CCm. Huyu mwandishi anaonyesha upeo mdogo katika kuchambua mambo ya kisiasa
  2. Zed

    Sijui tusimamie kauli ipi hapa?

    mimi nipo sana mtandaoni, Iła hihi kauli za viongozi wa CCM kuanzia Makonda hata Kibajaji leo Bungeni na hii sasa zinanifanya nitafute hayo matusi, ni nani anayetukana, na ni mawaziri wepi wanao wasponsor hao wanaotutakana. Hivi watanzania wanaona mangapi mitandao? Wanaakili ya kujua huu ni...
  3. Zed

    Tumsaidie Mama Samia kupata mtu sahihi wa ITIKADI na UENEZI, Weka jina humu JF na toa sababu

    Nasema CCM inahitaji watu kama Steve Nyerere, Baba Levo ingawa sijui kama ana kadi ya CCM, Mwijaku, au Doto Magari1
  4. Zed

    Badala ya kubinafsisha mashirika yanayotushinda kwa kampuni za nje kwanini tusitafute ma CEO kutoka nje, wenye uzoefu na kazi hizo?

    Shida sio CEO, shida ni mtazamo wa wafanyakazi. Nimewahi kufanya kazi nje ya Tanzania na baadae Tanzania. Niliyoyaona ni watanzania wanapenda kupata mishahara na marupurupu bila ya kuitolea jasho. Tanzania tuna kizazi kisichoamini kutimiza wajibu bali ujanja ujanja.
  5. Zed

    Watanzania tumpe zawadi gani Jesca Magufuli?

    Anayelipwa ni kiongozi mstaafu na sio familia yake au wenza wake. Ni nchi inayoendeshwaa kifalme au na wabunge waki ujima kama TZ ndio inayolipa wenza na hata watoto baada ya miaka 18. Msaafu ndio atajua kujipanga kutunza familia yake.
  6. Zed

    Watanzania tumpe zawadi gani Jesca Magufuli?

    Bunge litunge sheria ya Mafao ya watoto wa maraisi kama ilivyofanya kwa wenza ya viongozi :D:D:D. nchi ya wajinga na kutoa zawadi tu. Sio apambana kweli!:mad::mad::mad::mad:
  7. Zed

    Gerald Hando: Mbowe aachie ngazi, amekaa sana CHADEMA

    Mtu anajiita mende chooni ana akili ya kunyambua utimamu wa siasa za hila za chama cha mapinduzi na mapandikizi yake kweli?????
  8. Zed

    Chanjo ya kwanza ya Malaria yaanza kutolewa kwa Watoto barani Afrika

    African Union kila uchao mikutano ya maraisi. Ila sijasikia mikutano ya wanasayansi wake kuhusu ugnduzi wa chanjo salama! Wazungu watatumaliza na kutufanya wanyama wa majaribio.
  9. Zed

    Aliyesababisha Radio One na ITV kuanguka kutoka kilele cha tasnia ni nani?

    Waandishi wa IPP Media walipokubali kuteuiwa kwenye nafasi za kisiasa ulikuwa mwanzo wa kilo cha ITV na Radio One.
  10. Zed

    Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

    Nani amesema ahadi ya Japan haipo? Unaweza kunithibitishia? au ni ramli tu?
  11. Zed

    Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

    Mengi husemwa na hata uzinduzi hufanyika lakini hakuna linalofanyika. Mfano ni barabara ya njia mbili mpaka Holili iliyofadhiliwa na Japan kwa mardi wa EAC na kuzinduliwa na Samia na Uhuru Kenyatta ipo wapi? Jiji limekuwa slum kubwa... mipango hakuna. Mkuu wa mkoa anasifia bangi ya Arusha ni...
  12. Zed

    Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

    Wewe weka hoja za Mwanza mezani, na sio kulalamika. Ikiwa jambo jema halitokei, haijalishi ni wapi au kwanani tutalisemea tu! Wazungu wanasema: two wrongs do not make it right👌🏽
  13. Zed

    Licha ya kuwa kitovu cha mambo ya kimataifa hapa nchini jiji la Arusha lipo hoi kwenye miundombinu

    Kwa kweli Tanzania inapoteza fursa za kiuchumi kwa serikali 'kuipotezea' jiji la Arusha. Uchumi wa nchi nzima ungelinufaika kwa ongezeko kubwa la uwekezaji, makusanyo ya kodi na fedha za kigeni iwapo serikali ingewekeza miundo mbinu mizuri katika Jiji la Arusha. Arusha ni kitovu cha utalii, ni...
  14. Zed

    Mahakama kupitia Jaji Mkuu imjibu Makonda. Kukaa kimya wananchi wataamini asemayo

    Hata mawakili wanaonana na mahakimu na majaji nje ya mahakama na kumalizana kwa rushwa. Hukumu inasomwa waliyokubaliana kwenye mabaa au mahoteli. Makonda amesema ukweli ukiwa huna fedha huna haki.
  15. Zed

    TEC ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?

    Elimu duni! Uelewa wa kiujima ukaririshwaji wa dhana endelevu wa mambo ndio unaofanya utukane badala ya kujibu hoja. Mjadala nawe nimeufunga kwani unaulewa mdogo wa mambo kufanya nawe dialogue !
  16. Zed

    TEC ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?

    Ukomunisti haukatai ukwell unaopingana na ujenzi wa tabaka la walionavyo na walała hoi! Kila anapinga matabaka yu pamoja nasi. Wapo wanaojiita Wakomunisti lakini wanajenga usultani kwa kuwarithisha watoto wao madaraka uwaziri ukuu wa wilaya n.k. na kuwaacha watoto wa wengine kuzurura kila...
  17. Zed

    TEC ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?

    TEC ni Taasisi pekee iliyo na viongozi wenye maono ya nchi na sio chawa wa kujipendekeza. Wanaoishtumu TEC hawana hoja ya kupingana nao, ila kutetea na kutaka kuuendeleza usułtani wa chama kile. Ukweli wake unawatishia sana mafisadi na madalali wa nchi hii! Ukisikia kelele gizani ujue jiwe...
  18. Zed

    Magufuli Ungekuwepo Leo nisingefanyiwa Haya. Pumzika Baba

    Mtabaki kumlilia Magufuli ila dawa si machozi bali ni kuweka fumo utakaongoza awae yoyote ataingia na hiyo ndio KATIBA MPYA vinginevyo ni pata potea:rolleyes::rolleyes::rolleyes:
Back
Top Bottom