We jamaa unakaa kwa Gadie, ni kituo flani unaacha barabara kuu unaingia ndani, unavuka vituo kadhaa, ndipo ukutane na Kwa Gadie. Wasalimie hapo
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Hajajibiwa maana kaweka list ndefu sana, gari zote hizo, labda ampate aliyeko yard husika.
Na hajui anataka nini, na bado hayuko clear, imagine kaandika Suzuki lakini hasemi suzuki ipi
Hiyo engine ya 1990cc si ndio D4 ambayo inahitaji Premium fuel?
Kwamba ukiweka fuel ya kawaida zinaiharibu engine taratibu, naona wadau wanazilalamikia na maintenance zake pia.
Haya mambo pia wewe hujayaona?
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Thanks for sharing, itabidi nikisome hiki.
Ingawa naelewa watalamu wa kukodi watakuja na agenda zao za siri, but nadhani unawaelewa watanzania halisi walivyo[emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Ukikodi watu wa kimataifa ujue na fungu(budget) itakayoelekezwa kwaajili ya mradi itakuwa ya kimataifa pia.
Umenielewa?
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Najua unachomaanisha ndugu, ingawa hapa umeanzisha hoja tofauti.
Point ni kwamba, kama roles za post ni cross cutting, wataitwa watu wote wa related courses.
Kuchelewa kwa miradi haimaanishi watalamu ni wachache, inategemea na sera za nchi, vipaumbele, budget, usimamizi, nk
Iko miradi watalamu...
Inaonyesha wazi una personal interest na Petroleum courses, so kuna vitu unaweza usielewe.
Nikupe mfano, TANESCO ni shirika la umeme, kwahiyo kipaumbele kiwe kwa waliosomea umeme sio?
Wrong, kinachoangaliwa ni ROLES zipi huyo mtu ataenda kufanya kwenye hiyo post, utagundua kuna roles zinaingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.