Search results

  1. Katibu Tarafa

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Achana na story za kuambiwa. Hivi ingekuwa wewe ndio umefanywa hiyo na huyo mzungu, ungechukua hatua gani, just be honest
  2. Katibu Tarafa

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Ni mtizamo wangu, na wewe pia una mawazo yako pia
  3. Katibu Tarafa

    Vitendo vya Ushoga vinaongezeka kwa kasi sana

    Naomba ni seme kidogo kuhusu hili swala la ushoga kama ambavyo watu wamekuwa wakilijadili. Mimi kwa uelewa wangu na kwa jinsi ambavyo nimelifahamu hili tatizo. Nitalizungumzia kwa mifano halisi kwa watu ambao nimewafahamu. Kwanza kabisa, nimezaliwa nimekuta kuna majina au maneno watu...
  4. Katibu Tarafa

    Aina gani ya mashine nzuri ya kunyolea?

    Bei inaanzia 120,000 inategemea aina ya mashine unayoitaji
  5. Katibu Tarafa

    Mafuta mazuri kwa ngozi ya mafuta

    Mimi ninauza mafuta, hivyo nswezs kuwasaidia kiasi, kuna mafuta ya ngozi yenye matatizo na mafuta tu ya kawaida. Unaweza kuona kwenye attached
  6. Katibu Tarafa

    Msaada ngozi yangu inaharibika na sijui kwanini

    Ni elfu hamsini tu, ukihitaji tuwasiliane.
  7. Katibu Tarafa

    Aina gani ya mashine nzuri ya kunyolea?

    Kama kuna mtu anahitaji tuwasiliane mzigo unaondoka next week, malipo ukifika. Unatoka UK
  8. Katibu Tarafa

    Bodi ya Mikopo kuwafikisha Mahakamani wadaiwa sugu 142,470 kama wakishindwa kulipa ndani ya siku 30

    Hivi hakuna wadaiwa hewa ?, maana sijasikia uhakiki wa waliokopeshwa .
  9. Katibu Tarafa

    Lukuvi: Marufuku kwa Mtanzania aliyeukana uraia kumiliki ardhi nchini

    Hakuna mtanzania aliyeukana uraia wa Tanzania, ukipata uraia kwa mfano wa UK hawakunyang'anyi passport yako. Lakini uraia wa kuzaliwa ni haki ya kila raia hata mzungu akizaliwa Tanzania anakuwa na uraia wa kuzaliwa.
  10. Katibu Tarafa

    TRA, Road licence mnazodai zinakwamisha ulipaji kodi

    Road tax kwa barabara zipi ?, UK gari yako hiki haribika kutokana na ubovu wa barabara council inakulipa. Kwa sababu ni kosa lao hawakutegeneza barabara vizuri na kuacha mashimo. Ndio kazi ya road tax, sasa kwa bongo sijui wamecopy jina bila kujua maana halisi ya road tax
  11. Katibu Tarafa

    TRA, Road licence mnazodai zinakwamisha ulipaji kodi

    Niliwahi kusema hapa, TRA hawawezi kumuelimisha mlipa kodi hata siku mmoja kutokana na tabia yao ya kuwa wao ndio wakusanya kodi. Kinachotakiwa kufanyika, ningependekeza halimashauri au wabunge na hata level ya diwani kuwepo na desk kwa ajili ya watu kupata ushauri juu ya ulipaji kodi. Hawa...
Back
Top Bottom