Search results

  1. S

    Wife kanibadilikia, msaada pls

    M-bongotz Hizi sarakasi ulizoelezea hapa ni exactly kama ilivyotokea kwangu. Wanaoeleza kuwa ana mwanamme mwingine wako sahihi kabisa. Yaani kwangu ilikuwa kama sinema. Vivi hivi unavyoelezea. Ila wa kwangu ha-drive. Angalia jambo jingine. Atakuwa karibu sana na simu yake kuliko alivyokuwa huko...
  2. S

    TCRA yasomesha watatu kwa Sh 2.2 bilioni

    Haya mambo hayataisha mpaka hapo tutakapoacha kuabudu accademic qualifications na kuangalia zaidi TRACK RECORD OF PERFORMANCE! performers wengi wamezama huko chini ya mfumo; walanguzi wa vyeti ndo wanapanda vyeo. Ukiwa well connected unaambiwa tafuta cheti fulani basi! Nobody cares wewe...
  3. S

    Anatumia tendo la ndoa kama bakora ya kukutia adabu!

    Wanawake wote niliokwisha wajua, in one way or another, wanatumia s.ex kama negotiation tool, hasa mnapokwaruzana. Hata humu ndani ukifuatilia mabandiko mbali mbali, utaona wanawake wengi wakikili kuwa mme akimboa haoni ndani! Matokeo: Kubakwa na waume zao, kupigwa, infidelity, ndoa kuvunjika...
  4. S

    Hili litawashangaza wanawake………!

    Mtambuzi, Tunaomba utupe link inayotupeleka kwenye report ya huo utafiti! Lengo la utafiti ilikuwa ni nini? Acheni uzushi na kujilisha upepo. Tabia mbaya kama mnazo msitumie JF kuhalalisha uozo wenu na kuwabambikia watu wote, eti utafiti umefanyika!!
  5. S

    msaada jamani-modem

    weka modem yako kwenye pc. Ikishamaliza kufanya installation, double click icon yake ifungue window ya modem! Utaona vi icon vingi chini, chagua kile kilichoandikwa VOICE CALL. Utaona keypad kwenye screen, tumia hiyo kuingiza 104*(pin ya voucha yako)# kisha click sehemu ya kupiga simu. Utakuwa...
  6. S

    Jirani yangu kambamba live mume wake na beki 2

    Hadithi hii inatufundisha kuwa Mama mwenye nyumba alikuwa amejisahau mno. Kiasi kwamba anauchapa usingizi bila kujali kuwa mwenzie hajala na analala na njaa. Sasa kwa kuwa chakula hakipatikani nyumbani, katoka kufuata makombo jalalani, halafu yule aliyetakiwa kumpa chakula anaenda kumshambulia...
  7. S

    Mambo mazito CCM Dodoma: Wajivua gamba?

    Kusema kuwa CCM imejitakasa sasa ni sawa na kukiri kuwa tatizo la CCM alikuwa Makamba, which is not. Makamba aliingia katika mtandao uliokuwepo kabla yake tena kama wapo walionufaika na huo mtandao makamba si mmoja wao. Kwa hiyo mabadiriko ya kweli bado hayajaonekana labda tusubiri halmashauri...
  8. S

    Kikwete Dodoma, CCM wahofia kukosa watu, orijino komedi na wasanii wengine kutumbuiza

    Uwanja wa jamhuri ni mtupu. Wamejaa Jukwaa la waalikwa na watumbuizaji walioko uwanjani. TBC wanaogopa kuonesha majukwaa mengine yote kwani ni Matupu. CCM is dead na hakuna anayeweza kuiokoa. Kama kuna kitu cha kujifunza basi ni leo, na ninajua hawatajifunza kwa sababu, chama kimeshajifia anyway!
  9. S

    Why TTCL is not the leading Cellular and internet Operator?

    Ndugu Ndibalema, Ukisoma post zangu huko nyuma nilisema sababu ya TTCL kuingiza CDMA badala ya GSM. Watendaji wazalendo ndani ya TTCL walielewa limitations za CDMA na faida za GSM. Isingewezekana kuingiza GSM kwani board ilikataa TTCL kufanya biashara ya simu za mkononi kwa sababu biashara...
  10. S

    Why TTCL is not the leading Cellular and internet Operator?

    Matatizo ya kiuongozi TTCL yapo ndio, lakini yanaletwa na serikali. Angalia hii; Mwaka 2009, baada ya menejimenti ya wazungu wa Canada kuondoka, TTCL ilibaki bila uongozi. Serikali ikateua menejimenti ya muda. Mwezi October mwaka huo huo, serikali ikatangaza nafasi za kazi za watendaji wakuu...
  11. S

    Why TTCL is not the leading Cellular and internet Operator?

    Ukweli ni kuwa TTCL inamilikiwa na mmiliki hostile kwake. Yaani, serikali isiyokuwa na clue inafanya nini (inachotaka ni utajiri kwa viongozi tu), na mbia wa nje anayefanya kila hila kuhakikisha kampuni inakufa.
  12. S

    Why TTCL is not the leading Cellular and internet Operator?

    Kwa msio jua, ni afadhali msiendelee kujua; ila mambo ni kama hivi, Wakati Mobitel inaingia TTCL ilikuwa na share mle kama asilimia 40. Baadaye serikali ikazibeba. Walichofanya na hizo hisa hakijulikani, ila leo serikali haina hisa Tigo Mwaka 1999 TTCL iliamua kuanzisha mradi wake wa simu za...
  13. S

    Tanzania Imefikaje Hapa na CCM Kutoa Maamuzi Yote ya Taifa? Ugaidi na Vitisho ni CCM

    Nchi inaongozwa kwa proxy. Si vyombo halali vinavyojulikana kisheria vinavyofanya maamuzi. Wanaofanya maamuzi ni Magenge ya wahuni fulani wanaounganishwa na kitu kimoja tu; Madaraka. Vikao visivyo rasmi ndo huamua lipi lifanywe! Waliobaki mnaona wanakimbia kimbia hapa na pale na kusema hili na...
  14. S

    Chama Cha Mafisadi kimeyaruhusu malipo ya DOWANS

    Hakuna mtu aliyetarajia CCM iseme tofauti na hivyo ilivyosema kwani hiyo ndiyo CCM! Watakuja kulalamika miaka kadhaa ikishapita. Hilo deal kila mtu anajua kuwa wenye nalo wamo humo, tena kwenye hiyo CC na NEC. Sasa ulitarajia wenye deal lao waseme kuwa wasilipwe? Ungekuwa kichaa kutarajia hivyo...
  15. S

    Dawa ya kuwang'oa ccm ni maandamano kama tunisia

    Watanzania wameandamana polisi wakaua watu hadi Kikwete akakimbia nchi. Baada ya Kikwete kuondoka Pinda anachukua nchi halafu anamteua Lowassa kuwa Waziri Mkuu, Anamteua Rostam Aziz kuwa waziri wa fedha halafu anampa Andrew Chgne uspika. Nimrod Mkono anateuliwa waziri wa sheria na Katiba...
  16. S

    Behind any frustrated man there is a woman

    Vegule, Kuna wengi kama wewe wanawaamini sana wake zao, ni wengi mno. Lakini ukweli wa kimaandishi unathibitisha kuwa wanawake ndo waanzilishi wa kuvunja TRUST. Tena bila sababu yoyote, out of blue. Wengi hawapendi hili, kuwa wanawake ni infidels zaidi kuliko wanaume, two to three times...
  17. S

    Video: Si kuibiwa ni kuzidiwa!

    CCM watakuwa wanafanya kosa sana kufikiri watanzania ni wazungu. Haya mambo ya kumchokoa mtu kwenye privacy yake huwa yanashindwa siku zote hapa Afrika. Privacy tena inayomfanya Slaa kuonekana mwanaume 'macho' si suala litakalombomoa hapa Tanzania na si katika nchi yoyote Afrika. Si kwamba...
  18. S

    Video: Si kuibiwa ni kuzidiwa!

    OK, hii kesi ni ya kisiasa zaidi na pengine vitu kama hivi sijui kwa nini CCM wanaving'ang'ania. Ila Dr. Slaa na huyo Josephine wakikaa kimya, na ofcourse wameshafunguliwa kesi hawatakiwi kuyazungumzia mambo haya wazi wazi. Lakini CCM hawataweza kuvizuia vyombo vyao vya habari kuendelea kuifanya...
  19. S

    God not needed for creation: Stephen Hawking

    Mungu siku zote hutumika kama mfuniko kwa vitu visivyojulikana watu wanapotaka kuondoa usumbufu wa kufikiri. Sayansi inakulazimisha kuangalia mambo halisi vile yalivyo. Jambo hili ni gumu sana kwa baadhi ya watu na ingawa wanajaribu kutumia sheria za sayansi wanapofikia mahali ambapo...
  20. S

    Copernicus reburied, Catholics Apologizes

    God will not be the same after Galileo. Science has gone too far and it is going day and night. Religion (and here I mean all religious thinking) can be seen only as cultural constructs that are not continuous. At one time religions will be the past thing and they will remain only in the dustbin...
Back
Top Bottom