Search results

  1. Msuya Jr.

    Nahitaji nguvu ya solar power kuvuta maji katika project yangu

    Heloo wadau, nina project yangu ya kilimo na ufugaji katika mkoa wa kilimanjaro, sasa nauliza iwapo naweza pata kampuni inayohusika na kufunga mashine za kuvuta maji kutoka katika visima vilivopo shambani , nahitaji ushauri na wenye kuhusika na hilo. mawasiliano 0767328063
  2. Msuya Jr.

    Je Sim yangu nai update vip ipo rooted

    Husika na kichwa cha, simu yangu ni aina ya Samsung note 5 (Verizon), sasa kuna zile sijui upgrade za Android version, je ikiwa rooted nafanyaje, me Sioux mtaalam sana kwa kweli ila nikielekezwa naweza
  3. Msuya Jr.

    Naomba kujua bei ya gunia la mahindi kwa sasa hapa dar es Salaam, bei ya jumla

    Bei ya mahindi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Msuya Jr.

    Hdmi to Vga cable wapi Nawezaa pata.

    Hello husika na kichwa cha Habari, wapi Nawezaa pata hicho kifaa.
  5. Msuya Jr.

    Samsung Galaxy Note 5 updates.

    Hello wakuu husika na kichwa cha Habari hapo juu, sim yangu ipo rooted. Je Nawezaa ku update vip katika Hizi version za androids.
  6. Msuya Jr.

    Sim yangu imejiblock

    Hello wakuu, nimesahau password za sim yangu, Masaada please
  7. Msuya Jr.

    Autocom Japan Inc- Niulize chochote kuhusu used car from Japan

    Hello members , Jina langu Renyo Msuya, Nafanya kazi na makampuni ya kuuza magari kutoka japan kuja Tanzania. Niulize swali lolote kuhusu magari na bei zake , pia tuna import magari kwa bei nafuu kabisa. Nitakuwa najibu maswali na updates za magari .
  8. Msuya Jr.

    Hii imekaaje Wakuu

    Hi Applicant! I have the pleasure to inform you that the RECRUITMENT TEAM has received, reviewed and thoroughly discussed your credentials and has finally made a final decision of calling you for a face to face interview. BRIEF INTRODUCTION TO HUMAN CAPITAL CONSULTANTS CO. LTD. We are A...
  9. Msuya Jr.

    Natafuta mbia katika kilimo

    hello, wandungu na wana jf wenzangu, nina shamba la hekari 20 mkoa wa kilimanjaro ,wilaya ya moshi vijijini kata ya kahe, karibu na shamba la miwa la TPC (walima miwa ya sukari). hivo nataka mtu amabaye kweli kabisa ana hasira ya maisha na yuko tayari kujitolea katika kilimo na awe na interest...
  10. Msuya Jr.

    Je unavitambua vyuo vikuu bora duniani?

    Je unavitambua vyuo vikuu bora duniani? Chuo kikuu cha Oxford kimeibuka kidedea katika orodha ya vyuo vikuu bora duniani ya Times Higher Education. Hi ni mara ya kwanza kwa chuo kikuu cha Uingereza. Oxford imeisukuma katika nafasi ya pili, California Institute of Technology, ambayo imekuwa...
  11. Msuya Jr.

    Naomba kujulishwa kuhusu visiwa vya Comoro

    Hello wakuu, naomba kujua habari za visiwa vya commoro, kibiashara zaidi na maisha ya huko kwa ujumla, na je kuna watanzania wanapeleka biashara yoyote huko, karibuni.
  12. Msuya Jr.

    Faru

    jionii laiini
  13. Msuya Jr.

    Mbuzi wa Vatican City kwa Papa. A home made version

    chef mwenyewe
  14. Msuya Jr.

    Ubora wa gari za Nissan civilian ukoje ?

    Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo juu, naomba kujua undani wa nissan civilian bus, maana nihitaji kwa matumizi ya biashara either ya daladala au kukodi, nimekuwa nikisikia habari nyingi kuhusu magari haya, ya kuwa sio mazuri, hivo naomba ushauri .
  15. Msuya Jr.

    Nahitaji shamba la kukodisha

    Hello wana jf, kama kichwa cha habari hapo juu, nahitaji sehemu ya kilimo, nje kidogo ya dar es salaam, eneo kwa ajili ya mradi wa mboga mboga. Kama heka 1 hivi, nahitaji pawe na maji ya uhakika
  16. Msuya Jr.

    Ni wapi nitaweza kupata huduma ya DNA test Tanzania?

    Hello pipo, naomba kujua iwapo Tanzania kuna kipimo cha DNA. Na je ni bei gani!!? Hawa watoto nataka nikawapime, coz simwelewi wife hasa huyu mtoto wa mwisho, nlikuwa masomoni kwa mda sasa mh, nahisi kama nilisaidiwa hapa. [emoji84]
  17. Msuya Jr.

    PES hawa jamaa ni jipu.

    Kampuni niliyokuwa nafanya kazi, waliwapa hawa jamaa contract ya u payroll na mambo ya malipo ya mafao. Ni miezi 3 sasa mimi na wafanyakazi wenzangu tukienda kudai mafao yetu, huko LAPF, tunaambiwa payroll wenu hajaleta michango ya karibu miezi 6 sasa. Tukiwafuatilia wana sababu kibao...
  18. Msuya Jr.

    Ati waganga wa jadi kukaguliwa

    HABARI YA ASUBUI MADAU WANGU ROHO MALI YA MUNGU.jana nilipata khabar kuwa waganga wa tiba asil watakaguliwa na kuhakiki utunzwaji wa dawa asili kama zimeisha muda wake na mkemia sasa mkemia anakipimo cha kujuwa kizimba kilicho isha muda wake? na ambacho ni kizima? au inakuaje
  19. Msuya Jr.

    Mnataka turudi kulima kwa dizaini hii?

    Katika harakati za kurudi kijijini Leo, ili kuachana na kucheza pool na kuzunguka back bahasha ya khaki, hili ndo nimelikuta kijijini huko kahe - anapotoka yule mwanadada wa kusambaza sijui ni skendo ama ni kweli, anayeishi kama sikosei Uk or USA, anaitwa Jina laanza na Mange, Mwekezaji wa...
  20. Msuya Jr.

    Kima cha mshahara kinachotakiwa kulipia kodi

    Habari waungwana, naomba kuuliza, kima cha mshahara kinachotakiwa kulipia kodi ni kiasi gani???? Msaada tafadhali
Back
Top Bottom