Search results

  1. Lupweko

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Tunatunza energy ya kuwakabili Mamelodi
  2. Lupweko

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Afadhali ametoa nuksi. Sasa atafunga la kweli
  3. Lupweko

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Hizo hesabu sio za kuanza kupiga katika dakika ya 65
  4. Lupweko

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Hawatufungi, ingawa majeruhi watatuachia
  5. Lupweko

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Mnatuchanganya tunaofuatilia humu
  6. Lupweko

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    Hata kama, lazima kuna key players wawili watatu huwa hawatakiwi kukosekana mechi muhimu
  7. Lupweko

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    why? wasije wakatuumizia nyota wetu akawakosa masandawena
  8. Lupweko

    Sikujua, kumbe Bakhresa anakopa mikopo ya riba kwenye benki za biashara

    Ukisema umetokana na Warumi itakuwa imekaa vizuri zaidi
  9. Lupweko

    Mashabiki wa Yanga acheni UPUMBAVU kumtetea Job

    Kwamba kocha akikupanga inabidi ujitathmini kwanza kama ni tegemeo au si tegemeo ili ukubali au ukatae kucheza?
  10. Lupweko

    Je aliyeleta ushindi wa simba ni Chama au shabiki aliyeenda fukia hirizi golini

    Ni shabiki, maana alipofukia tu hicho kitu, refa na kibendera wote wakakubaliana kuwa hilo ni goli, wakaweka kati
  11. Lupweko

    Mashabiki wa mamelodi hawana furaha kucheza na Yanga

    Mashabiki au wachezaji? 😁
  12. Lupweko

    Mashabiki wa mamelodi hawana furaha kucheza na Yanga

    Walisema wanaitaka Simba kama ambavyo Yanga walivyokuwa wanasema wanaitaka Mamelodi. Kwani Yanga walivyokuwa wanasema wanaitaka Mamelodi ni kwa kuwa Mamelodi ni mteremko au kwa kuwa itawapa kipimo kikubwa? Mamelodi waliitaka Simba 😁
  13. Lupweko

    FT: Yanga SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier League | Azam Complex | 14.03.2024

    Geita Gold umizeni wachezaji wengine wawili wa utopolo ili Mamelodi akute majeruhi wengi wapo jukwaani
  14. Lupweko

    Ombi kwa shirikisho la soka Tanzania (TFF)

    Hakuna kuahirisha mechi, sisi Yanga tunajiamini, hatudeki - Ally Kamwe
  15. Lupweko

    Mashabiki wa Kaizer Chiefs: Tutawaunga mkono Yanga washinde ushindi wa kishindo Tanzania na hapa nyumbani

    "Mamelodi na Al Ahly lazima wataceza fainali" - Hersi, Rais wa Yanga
  16. Lupweko

    Yanga play like big European clubs

    Mpira unachezwa uwanjani, sio mdomoni na kwenye keyboard. kumbuka hata wiki mbili hazijapita, Rais wa Yanga na pia ni Rais wa Vilabu vyote Afrika alitamka hadharani kuwa fainali ya mwaka huu ya CAFCL ni kati ya Mamelodi na Al Ahly. Ingekuwa tunafuata maneno, kwa heshima ya rais wako hukutakiwa...
  17. Lupweko

    Mashabiki wa Kaizer Chiefs: Tutawaunga mkono Yanga washinde ushindi wa kishindo Tanzania na hapa nyumbani

    Siwezi kuweka maoni ya mtu mmoja kama uzi unaojumuisha maoni ya kundi la zaidi ya watu 15M. Ni ujinga, na hatupo sawa
Back
Top Bottom