Search results

  1. Emmanuel Robinson

    Mashindano ya Kitaifa ya Sayansi, Teknolojia na ubunifu 2024

    Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kupitia Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia inapenda kuwataarifu kuwa dirisha la MAKISATU 2024 liko wazi. Tunawakaribisha wabunifu wote kuwasilisha maombi yao kupitia link hapo chini. https://makisatu.costech.or.tz/costech/makisatu Mwisho wa kutuma...
  2. Emmanuel Robinson

    Gharama vifaa vya umeme kwa Dar es Salaam

    Habari zenu wana jamii naomba mnisaidie bei za hivi vifaa vya umeme kwa Daresalaam. Na kama naweza kuelekezwa duka specific linalouza jumla.
  3. Emmanuel Robinson

    Mwigulu anawasalimia

    Mwigulu anawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzani. Wale mnaokwenda Burundi msisahau kumsalimia Ndaishimiye.
  4. Emmanuel Robinson

    HESLB: Ufafanuzi wa taarifa ya deni katika Salary Slips mwezi Juni, 2021

    Hatimaye yale malalamiko kwa bodi ya mikopo kwamba watu wamekatwa lakini deni halionekani kupungua. Baada ya kimya cha muda huku malalamiko yakiendelea wameamua kujibu. Ni wakati mwafaka kwa hazina nao kujibu.
  5. Emmanuel Robinson

    Kwani wasanii hawawezi kuteuliwa?

    Mtu kama huyu msomi mzuri tu kwa nini watu wanafikiri hawezi kuwa mkuu wa wilaya? Au kwa vile aliamua kujiajili kwenye tasnia ya sanaa. Naona kuna kasumba inaanza kujengeka hapa nchini ya kufikiri kwamba wengi wanojihusisha na sanaa ni watu ambao ni fyatu. Fikira hizi siyo sawa.
  6. Emmanuel Robinson

    Unafiki wa baadhi ya Watanzania wenzetu

    Mimi nimeshangazwa sana na unafiki wa baadhi ya watanzania wenzetu. Kila siku wanapiga kelele kuhusu corona na kumlaumu mheshimiwa Rais kwamba hachukui hatua ni hatua zipi wanazozitaka? Unafiki wako sasa mtu anakaa baa anakunywa pombe yake hana hata barakoa akimaliza anakuja jamii forum kupiga...
  7. Emmanuel Robinson

    Singida: Watu 14 wafariki na watatu kujeruhiwa ajali ya Lori na hiace

    Haya maisha haya tuendelee kumuomba Mungu anatulinda sana hapa nimetoka kushuhudia ajali mbaya hapa Singida, Hiace na semi trailler. Hiace hautamani kuitazama mara mbili. Yaani polisi ndiyo wanawapanga barabarani mimi nimeshuhudia miili sita dah huzuni maisha ya watu🙆🏿‍♂️😭😭😭. Mimi napita tu basi...
  8. Emmanuel Robinson

    Tatizo la uhaba wa mafuta ya kula siyo la Tanzania pekee

    Jana Kuna watu humu walikuwa wanajadili kuhusu uhaba wa mafuta ya kula. Leo FAO wametoa takwimu Kuwa mafuta ya kula yameadimika kwa asilimia 14 duniani kote. Tanzania siyo kisiwa changamoto hizi lazima tupambane nazo Kama nchi hakuna namna nyingine.
  9. Emmanuel Robinson

    Je, Spensa Lameck amerudi TBC?

    Jioni hii kwenye TBC aridhio nimemwona mtangazi Spensa Lameck akiripoti kutoka Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam . Je, itakuwa amerudi TBC akijiandaa kukiwasha kwenye kampeni tena kunako mwezi ujao? Picha sijapiga nilisahau kama kuna mtu ana picha atuwekee
  10. Emmanuel Robinson

    Hotuba fupi ya Profesa Jay mbele ya Rais Magufuli

    Profesa Jay naona ni moja ya vijana wanaojitambua na hata alipopewa nafasi alihiti kwenye point kueleza matatizo ya watu wake. Mwenye ile clip tafadhali ile ndiyo siasa na ule ndiyo utanzania wetu. Sisi CCM na wao wote tunajenga nyumba moja na maendeleo yakipatikana ni kwa ajili ya watanzania...
  11. Emmanuel Robinson

    Wakenya mna tatizo gani?

    *Hivi majuzi TV ya CITIZEN ya nchini Kenya ilitumia lugha isiyo ya kistaarabu dhidi ya Rais Magufuli kwa kumuita "mkaidi" walipokuwa wakikosoa mikakati yake ya kupambana na janga la Corona ambayo wao wanaona ni mikakati isiyofaa. Baada ya siku kadhaa, Tv hiyo ilijishtukia na kuanza kuomba...
  12. Emmanuel Robinson

    Kwako Rais Magufuli na TRA, kinachoendelea Karikoo kwa hawa wafanyabiashara ni hujuma kwa Taifa

    Kwako mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kamishina wa TRA, Paul Mhede. Waheshimiwa kinachoendelea sasa Karikoo kwa hawa wafanya biashara ni hujuma kwa taifa. Wafanyabiashara hawa kwa sasa hawatoi risiti hasa kwa wateja wao wenyeji wanaonunua mzigo mkubwa na wa kati kwa bei za...
  13. Emmanuel Robinson

    Hongera kwa viongozi wa Kisarawe

    Nachukua fursa kuwapongeza viongozi wa kisarawe kwa kazi zao nzuri. Leo nilifanikiwa kuhudhuria kongamano la wajasiriamali mali liloratibiwa na viongozi wa wilaya na NEEC . Katika kongamano hilo la siku mbili leo na kesho mgeni rasmi alikuwa waziri jafo. Nimesikiliza semina zilizotolewa...
  14. Emmanuel Robinson

    Mheshimiwa Rais msaidie mama huyu mjane aliyedhulumiwa na mgodi wa North Mara

    MHESHIMIWA RAISI NAJUA WEWE NI JEMBE NA NINA IMANI NAWEWE KUWA UKIPATA TU TAARIFA HII BASI HUYU MAMA MJANE ATAKUWA AMEPATA HAKI YAKE. UISHI MIAKA MINGI NA MUNGU AKUBARIKI. MAMA MJANE ADHURUMIWA NA MGODI WA NORTH MARA Nimepata kisa cha JOYCE AYUBU MRIRI kinahudhunisha sana . mama huyu...
  15. Emmanuel Robinson

    msaada kwa wanauchumi

    Habari zenu wachumi naomba msaada wa soft copy ya vitabu hivi mathematical methods for economics by Michael w Klein na fundamental methods of mathematical for economics samahani kwa kuweka Habari hii hapa ingawa siyo ya siasa lengo wadau waione wanisaidie natanguliza shukrani
  16. Emmanuel Robinson

    Msaada kwa wanauchumi

    Habari zenu wachumi naomba msaada wa soft copy ya vitabu hivi mathematical methods for economics by Michael w Klein an fundamental methods of mathematical for economics natanguliza shukrani
  17. Emmanuel Robinson

    Wanachama 500 wa CCM na diwani mmoja Muleba wahamia CHADEMA

    Wanachama zaidi ya 500 wa CCM huko Muleba na diwani na wao wamehamia CHADEMA kwa madai ya diwani wao kutotendewa haki kwenye kura za maoni. Chanzo: Wapo habari jioni
  18. Emmanuel Robinson

    Mh makamu wa rais afungua sherehe za extravaganza uwanja wa taifa

    Mheshimiwa makamu wa rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Leo alitembelea na kufungua sherehe za extravaganza zinazoendelea uwanja wa taifa na kilele kitakuwa kesho jumamosi. Mh makamu wa rais alikuwa Pia pamoja na president wa kanisa la wasabato ulimwenguni dr teddy Wilson Pia alikuwepo...
  19. Emmanuel Robinson

    Pugu Boys: Mahafali ya Kidato cha Nne

    Leo ni mahafali ya 61 ya kidato cha nne katika shule ya sekondari pugu wanajiandaa kuhitimu kwa kufanya mtihani wao wa taifa November 3,2014
  20. Emmanuel Robinson

    Je haya ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania?

    Ndugu waJF nilikuwa napitapita kule Facebook nikaiona picha moja kwenye ukurasa wa EATV. sasa ni kajiuliza haya ndiyo maisha bora tuliyoahidiwa watanzania hii ni baada ya miaka hamsini ya uhuru hebu kanga lie ndugu mwanajamii forum Kisha tujadili kwa pamoja wale watalaam wa matusi MNAKARIBISHWA.
Back
Top Bottom