Search results

  1. T

    Namna ya Kuanzisha Biashara Itakayofanikiwa

    Huduma hii inahitajika sana, mimi ni mmoja wa wanaohitaji, lakini unapoanzisha usifanye uhuni kama wa watu wengine ambao wanakuja kuiba mawazo yetu wao wanawaomba watu watume michanganuo , watu wengi wanatuma kisha wanamchagua mmoja na kumpa zawadi huku wakibaki na michanganuo ya watu wengine...
  2. T

    Waraka wa Shigongo kwa Ze Original Komedi

    Wasalaam, Ni maneno mazuri sana, yamejaa hekima na busara, kama wakiyatendea kazi. lakini najua watayapuuza na kuona ni majungu na fitina na wifu, kama ilivyo kawaida yetu wabongo. lakini ukweli unabaki pale pale kwamba yachukuani maneno ya Erick muyatendee kazi. Munaweza kumpauuza Erick sawa...
  3. T

    DECI Tanzania: Ilivyoanza, ilipo na hatma yake

    Jamani, Jamani naona huruma kwa wa Tanzania wenzangu, mimi nilikwenda mpaka kwenye ofisi zao za hapa kinondoni.kulikuwa na foleni ndefu sana ya tunaotaka kupanda.nikaambiwa kuwa siku za kuvuna ni mbili kwa wiki yaani alhamis na ijumaa. nikawaza isije kuwa wanakusanya kwanza hera zetu ndipo...
  4. T

    Dida wa Mchops matatani kwa dawa za kulevya

    Mastar wengi wa hapa bongo wanauza na kusafirisha unga. hapa kwetu kinondoni unga unapatikana sana karibu kila pap unayoiona ni kituo cha unga. polisi wanakuja wanachukua chao wanaondoka.
Back
Top Bottom