Search results

  1. U

    Msaada wadau

    Ni hivi punde nimenunua laptop na niliyemwagizi alinitumia na akaniambia haijawa installed na program za office , kwa upande wa maswala ya IT kusema ukweli niko NIL. wakati nafanya utaratibu wa kununua hizo program kwan kuna watu wananiambia kuna nyingine fake yaani after installation the...
  2. U

    Ufisadi TAA: Mhindi wa Flamingo apewa Tenda aliyonyimwa Mtanzania

    Inasikitisha sana wadau uwanja unaitwa wa kimataifa lakini hakuna maboresho yoyote, kwa mfano upande wa arival international and domestic passengers wanategemea matundu mawili ya choo,mvua zikinyesha ni aibu tupu makopo kila kona ya kukingia maji yanayovuja,cha kushangaza uongozi ni mahodari...
  3. U

    Mfanyakazi ampa mtihani boss wake

    du ,kweli mdau mabosi wengine kazi kuendekeza ukware badala ya kutumia madaraka yao kuipa big up li inchi lao
Back
Top Bottom