Ndio hivyo, kwa safari ndefu kama hizo na kama kuna muda mrefu wa kusubiria flight connection mtu anaweza kubook hotel ili apumzike wakati wa kusubiri. Na kwa mtu mzito na mgonjwa kama Kardinali hilo ni jambo la heri kabisa. Haipendezi mzee kama huyo akae airport masaa na masaa anasubiria ndege...
Pengo anaumwa, alikuwa kwenye matibabu Marekani na tulitangaziwa kwamba yupo safarini kurejea hapa nchini. Hivyo ni hakika kwamba hapo yupo njiani kurejea nchini.
Sio kubeza, rudi nyuma kafuatilie Dr. Bilal na Dr. Shein walikuwa wakionekana mbele za watu ilikuwa hasa kwa shughuli gani kama sio uzinduzi. Halafu kama kufanya uzinduzi ni kitu cha kubeza kwanini wanafanya? Wewe ndio unabeza hiyo shughuli halafu unageuzia wengine.
Ndio nimetofautiana nao lakini naamini kwamba nipo sahihi ndugu yangu. Binafsi nipo karibu sana na wanasheria na sijawahi sikia bado hakimu akiitwa msomi.
Labda tuanze kwa swali hili, wakili ni nani? Nielewavyo mimi wakili ni mtu anayemuwakilisha mwingine katika jambo fulani. Lakini pia wakili ni mtetezi wa jambo fulani. Kwa kusema hivyo wapo mawakili wa aina mbalbali kama vile wakili anayetetea mazingira (environmental advocate), au wapo...
Kwa wale wasiofahamu, Muhongo ameshastaafu. Umri wake ulishafika kitambo, labda aombe mkataba. Na kwa jinsi alivyokuwa arrogant na kwa aibu kama hii hawezi kurudi Mlimani, labda wanaweza kumpa kazi UDOM
Suala lako naweza kukujibu hivi katika utaratibu wa kanisa hasa kanisa katoliki inakubalika muumini mkatoliki kufunga ndoa na mtu asiye muumini mkatoliki kama vile muislamu au mkristo wa madhehebu mengine. Ndoa za aina hiyo zinaitwa ndoa mseto, masharti yake ni kwamba inabidi zifungwe katika...
Hiyo ni kawaida sana kuchukua sample za kutosha kwaajili ya kuangalia ukubwa wa hiyo ore body, namna ilivyokaa ili uamue unaichimba vipi, etc hivyo kucholonga mawe na kuchukua sample nyingi ni jambo la kawaida katika utafiti wa kijiolojia.
Ni pongezi kwa timu nzima ya Hispania, kocha Vicente, na kwa namna ya pekee sana nahodha wao Iker Casillas. Jana Casillas katuonyeshwa kwamba form is temporary but class is permanent. Mwanzo wa mashindano hakuwa katika form lakini kadili mashindano yalivyokuwa yanaendelea kaonyesha kwamba yupo...
Sio kikosi chao kamili? hicho ndio kikosi kamili cha Brazil isipokuwa golikipa tu kwamba Julio Cesar kaumia. Huyo Dani Alves unayemtaja kwa taarifa yako katika kikosi cha Brazil ni mchezaji wa akiba. Alves hajawahi kumkalisha benchi Maicon. Mara zote kama Maicon sio majeruhi basi ujue Alves...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.