Search results

  1. kitambiheshima

    The big 3: Lowassa, Chenge na Rostam kuhakikisha wanashika Ikulu?

    Rais yeye mwenyewe, PM Rostitam Aziz, Makamu Hussein Basha, spika Serukyamba, Jasusi namba 1 A. Mwang'o... My take; hilo litakuwa the most hopeless cabinet ever existed tangu Uhuru.
  2. kitambiheshima

    CUF wafanya yao Zanzibar, Waiachia CDM jimbo moja

    Ukawa bongo, ngoma act bwana!
  3. kitambiheshima

    Prof. Muhongo: Shilingi inayochezewa tunduni mwa choo

    Watu wengi hawaujui huu ukweli kuwa ugomvi kati ya Mengi na Muhongo ndiyo umezalisha yote hayo. Bongo ni upuuzi mtupu! Siasa chafu tu ndo zimetawala. Majitu ni rahisi kununuliwa kwa vifedha na wafanyabiashara uchwara!
  4. kitambiheshima

    Prof. Muhongo: Shilingi inayochezewa tunduni mwa choo

    Ndugu zangu watanzania wenzangu, tunaweza kusema chochote na lolote juu ya Prof. Muhongo. Tunaweza kukubaliana na mapendekezo ya PAC ya kutaka atimuliwe kwenye nafasi anayoitumikia. Ni sawa kwakuwa wengi wetu tumeaminishwa hivyo. Waswahili wana usemi usemao ukitaka kumpiga mbwa mwite kwa jina...
  5. kitambiheshima

    UKAWA yahujumiwa Songea!

    Umoja wa katiba ya wananchi UKAWA Songea unahujumiwa na Chadema, mmoja wa washirika wa UKAWA. Leo katika soko kuu Songea kumefanyika mkutano wa UKAWA lakini mwanzo mwisho mkutano huo umetawaliwa na kaulimbiu za peopleeeees, power!. Aidha mwanzo mwisho jamaa walikuwa wananadi chadema tu wakati...
  6. kitambiheshima

    Maoni yangu kwa Vyombo vya Dola kufuatia Kikwete kufanyiwa Upasuaji wa Tezi dume huko Marekani

    Our president is safe so also the Nation, don't b worried comrades! Tunajua tunachokifanya, tatzo wabongo wajuaji sn, kazi watu mnazijuuuuuuuuua!
  7. kitambiheshima

    Sitti Abbas Ajiuzulu U miss mwenyewe

    Hivi huyo mama hana aibu!. Sura ilivyomkomaa vile eti miss!.
  8. kitambiheshima

    Wagombea wa Urais 2015...

    E haya we!
  9. kitambiheshima

    CHADEMA & UKAWA walitikisa Jiji la Mwanza

    UKAWA taraatiiiiiiiibu inayeyuka na sura za uvyama kwenye umoja huu taratiiiiibu zinajitokeza. Kwa wafuatiliaji wa vituko vya.hao.jamaa naamini mtakubaliana nami!
  10. kitambiheshima

    Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Mnafurahishana na kupeana matumaini, eti Warioba!!
  11. kitambiheshima

    Katibu wa CHADEMA Mara Chacha Heche, akamatwa kupigwa na Polisi Mjini Dodoma

    Sasa hivi chadomo ni kichapo tu mpaka mtie adabu!. Mmeachiwa sana!
  12. kitambiheshima

    Makao Makuu CHADEMA Yazungukwa na Polisi

    We can't simply let the security of our Nation be jeopardized by the mere hooligans chadema members!. We swear to protect our people at whatever cost of property and blood, enough is enough!
  13. kitambiheshima

    Updates za yanayojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA

    Chadema ni wahu..ni na kiongozi wao ni mh.uni kama wah.uni wengine wa Manzese hapa Dar.
  14. kitambiheshima

    Tutake tusitake, kwenye suala hili JK amewazidi kete wana-ukawa.

    J.K is the greatest politicians ever appeared in TZ, agree or not!. The man knows well how to maneuver!. UKAWA have wholy entered "The trap"! Safi J.K, komaa nao kwani ulishawajulia hao!
  15. kitambiheshima

    Kikwete, Ukawa leo, Makanisa yaonya

    Zipo taarifa kuwa ukawa wanapanga kufanya timing ya.kuitisha press conference na kuelezea makubaliano kati ya viongozi wa vyama vya siasa na Rai Kikwete huko Dodoma, kwa upotoshaji mkubwa. Taarifa zinasema kuwa mpango huo.utahusisha upotoshaji kuwa rais amekubali muundo wa serikali tatu na pili...
  16. kitambiheshima

    Mwenyekiti CHADEMA mkoa wa Ruvuma unaiua CHADEMA Songea

    Jana tarehe 27.08.2014 uchaguzi wa chama Jimbo la Songea mjini umefanyika kwa mbinde baada ya wajumbe kutishia kuugomea uchaguzi huo wakimtuhumu m.kiti wa chadema mkoa Joseph Fuime kudaiwa kupandikiza mamluki kwa faida zake za kisiasa. Imebainika kuwa Joseph Fuime kwasasa anafanya siasa...
  17. kitambiheshima

    CHADEMA Songea mapande mapande!

    Fuime pia amedaiwa kuwa na mawasiliano na watu wa ccm. Kama anakataa ukweli aje hapa akanushe kukutana na mbunge Nchimbi tarehe 17.08.2014, nyumbani kwake Mateka, Songea, usiku wa manane na akapewa mil. 20 ambazo ndizo ananunulia mahindi na kisha kuyauza NFRA. Kituo chake cha kununulia mahindi...
  18. kitambiheshima

    CHADEMA Songea mapande mapande!

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo Songea kimehitimisha msambaratiko mkubwa unaokikumba chama hicho nchi nzima. Ni baada ya uchaguzi wa jimbo kushindwa kufanyika, baada ya kuahirishwa mara tano na mara ya mwisho ulikuwa ufanyike tareh 24.08.2014 ukaahirishwa. Joseph Fuime, mwenyekiti wa mkoa...
Back
Top Bottom