Search results

  1. M

    Trend Reading: Salum Mwalimu, Mb. Mtarajiwa, Kinondoni!. Hata Wana CCM Wasioendekeza Ujinga, Watamchagua!.

    Heko.....Natamani kila mpiga kura kwenye hayo majimbo ausome huu waraka......
  2. M

    Naomba kufahamu hili Juu ya " Traffic Camera "(Tochi)

    Mandella siku hizi hawa wazee wa feva trick zao ziko kama mbili kubwa za kujificha ndani ya magari private pembeni ya barabara....hasa saloon cars au noah....ukiona mahali pana hicho kibao cha kuelekeza speed ndogo...wewe angalia gari pembeni utakuta kuna moja ime park mkao mzuri wa kupiga picha...
  3. M

    Vigogo wa zamani ATCL wana kesi ya kujibu

    tupeni updates za uzi huu... jana ilikuwa dec 10 na leo dec 11.
  4. M

    UKAWA: Hesabu za kura hizi hapa - Usisubiri mpaka 25 Oktoba 2015

    Mkuu kumbuka sio wote walio CCM wataipigia CCM.... Mimi mwenyewe nina kadi ya chama ambayo hai to mwaka 2003 nasita piga kura kuichagua CCM. Tumechoka na mambo yanayofanyika ndani ya nchi yetu....kupitia chama cha kizeee....
  5. M

    Bwana Umeme anakuwa mkali akiambiwa anatumiwa na chama cha siku zote

    huu mgao tunaoendelea nao ni mwendelezo wa bao la mkono. hiyo gesi tuliyoambiwa kwa mbwembwe itamaliza mgao wa umeme iko wapi bwana umeme?
  6. M

    Elections 2015 Magufuli lugha za Kimataifa ni Kizungumkuti, wenye ufahamu tujadiliane

    sasa naanza kuelewa maana ya kipao mbele cha kwanza elimu, cha pili elimu, cha tatu elimu.
  7. M

    Hata mke au mume mwema hupatikana UKAWA

    muungano wa mawazo mbali mbali, jinsia yakike na kiume, viungo mbali mbali huzaa mfumo, uhai, maisha, au maendeleo ya kweli....shikamana sawa sawa ukawa. ...chama chetu cha siku zotee kimepoteza dira ndio maana imetubidi tu uuze jina na sio sera chama.
  8. M

    Bajaj TVS used inahitajika haraka sana

    Husika na somo hapo juu tunahitaji bajaji mbili zenye good condition. Ni pm picha na bei yako.
  9. M

    Mgombea wa chama kile kile cha siku zote kutumia mfano wa libya

    ana tupa ahadi za viwanda; ata jenga viwanda vingi...bila ya kuwa na malighafi nzuri kwa kuwekeza kwenye kilimo viwanda vitafanya kazi gani?......kilimo kwanza ndio vifuate viwanda. ....pembejeo na elimu ndio ukombozi.....wengine wanapuuza na kutuita malofa. hawa wanaojiita chama chetu ni kile...
  10. M

    Mgombea wa chama kile kile cha siku zote kutumia mfano wa libya

    hivi kwanini wananchi tuna danganywa na kupumbazwa kila siku na viongozi tuliowaamini wa chama hiki? libya wao waliamua kumuondoa rais aliyekuwa madarakani kitu ambacho ni uhaini....hapa kwetu tuna uchaguzi wakumtafuta rais ajaye hatupindui nchi.... au kukiondoa chama hichi na kukipa chama...
  11. M

    Mabadiliko vs ile ilee...

    miaka hamsini na neema zote tulizo barikiwa...bado kuna watu wengi wanakula mlo mmoja, elimu chini, kilimo duni, maji taabu. kila kona ukipiga hodi ni madudu na uchafu. #mabadiliko
  12. M

    Mabadiliko vs ile ilee...

    Change doesn't come from Washington. Change comes to Washington. --- Barrack Obama. mabadiliko yana hitajika kila kona na pembe ya dunia hii...wewe unatuambia chama chetu ni kile kilee ooohh ni kile kilee, CC... ni ile ileee oooo ni ile ile... maana yake ni kwamba hakuna jipya la kuwafanyia...
  13. M

    Mafanikio Ya Kenya Baada Ya KANU Kudondoshwa,CCM Wameshindwa Kwa Miaka 54

    Tuweke vizuri shahada zetu.... 25 oct tufanye kweli na tuendelee...viva UKAWA
  14. M

    Prof. Mbele: Slaa alisema CCM ni choo kichafu

    Magazeti na wenye mitandao tusaidiane ku retweet hii post kwenye mitandao mingine ....huyu baba amebobea ....falsafa yake inatakiwa inufaishe taifa zima Kwa ujumla.
  15. M

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Anaona gere watz ghafla wamemkimbia na kuacha kumwamini kwasababu ya siasa zake za maji taka. Viva Lowassa.
  16. M

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    4 U Movement.....EL Rais wetu mkombozi.
  17. M

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Alipandikiza chuki ili "nyepesi" afukuzwe...sasa ni zamu yake...na nyepesi huyoooo anachanja mbuga.
  18. M

    Tume Ya Taifa ya Uchaguzi yapinga zuio la kutumia viwanja vya Jangwani tarehe 29 Agosti, 2015

    Ngoja tuwaonyeshe jinsi ya kuutumia uwanja wa jangwani.
Back
Top Bottom