Search results

  1. Kanina

    Napendekeza: Tuchague MADIWANI NA WABUNGE tu, RAIS tuwaachie TIS

    Ndugu zangu, uchaguzi wa mwaka huu, kama zilivyokuwa kwa chaguzi zingine zilizopita, pamoja na kutumia gharama nyingi, lakini pia zimeacha makovu mengi na hata kuhatarisha usalama wa nchi. Pamoja na mikakati mingi ya hadharani na gizani, ni dhahiri kwamba, TIS nao hawakuwa mbali na mchakato...
  2. Kanina

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Sipuuzi kinachofanywa na Rais Magufuli, lakini najaribu kuwakumbusha hasa wanandoa wengi ambao walizianza safari za ndoa zao kwa mbwembwe nyingi na bashasha, kwa kulishana keki kwa midomo, kwa kushikana mikono na kutembea pamoja kila pahala n.k., ..., lakini leo ndoa hizo hazitamaniki machoni...
  3. Kanina

    Hili ni jaribio jingine kwa System/state au Kitengo!

    Hivi kazi ya kitengo ni kubaka demokrisia au kulinda maslai ya Taifa? Kama wenye nchi (wananchi) wamefanya maamuzi, kwanini kitengo kisimame kinyume nao? Ni kweli kitengo kipo kulinda maslai ya taifa au kinatumika tu kulinda watawala? Maswali ni mengi, lakini ni bora ya madikiteta walioamua...
  4. Kanina

    Upinzani wakishinda urais, CCM watapisha Ikulu?

    Ilikuwa miaka, miezi, wiki na sasa zimebaki siku 2 tu! LAZIMA CCM MTATUPISHA TU IKULU.....
  5. Kanina

    NAPENDEKEZA: Sherehe za UHURU ziwe 25/10

    Ndugu zangu watanzania, Naomba nipendekeze kwamba, baada ya Uchaguzi wa 25/10/2015, na ccm kung'olewa madarakani, maanzimisho ya sherehe za UHURU wa Tanzania ziwe zinafanyika tarehe 25/10 kila mwaka, kuweka historia njema kwa Taifa jipya lenye mustakabali chanya. Nawakilisha...!
  6. Kanina

    Lowassa: Tutachukua nchi asubuhi

    Ndugu zangu watanzania, Kila jambo lenye mkono wa Mungu linaonekana mapema tangu asubuhi...! Hakika Mungu yupo nyuma ya MABADILIKO TANZANIA, maana amewasikizisha Wachungaji, Maaskofu, Mapadre, Mitume na Manabii wa Kanisa la Tanzania, kuiheshimu siku ya UKOMBOZI WA TAIFA LAO kwa KUFUNGA MILANGO...
  7. Kanina

    Familia ya CDF Mwamunyange: Yupo nje ya nchi kwa majukumu ya Kitaifa

    Uwongo ukiachwa bila kudhibitishwa, unakuwa ukweli...! Gen. Davis Mwamuyange atoke hadharani, mchana kweupe, tumwone, yote haya YATAKOMA...!
  8. Kanina

    ITV Kurudia Mkutano wa Lowassa Mwanza Leo Saa 10:15 Usiku

    Tumekaa mkao wa kula teyari...
  9. Kanina

    Hazina ya CCM ni hii...!

    Wanajamvi, mnajua ma-ccm bado yanaamini watanzania bado ni wajinga kupindukia? Ndio maana bado hawaamiini watanzania wana uwezo wa KUFANYA MAAMUZI YA BUSURA YA KUWATOA MADARAKANI! Mifumo feki ya elimu waliyotubambika kwa miaka hii 54, ililenga kuwafanya watanzania wawe na uwezo mdogo wa...
  10. Kanina

    Tanzania IQ ranking - amongst world's lowest but over Rwanda, Cuba, Ethiopia, Malawi etc

    Kumbe ndio maana ma-ccm yamekuwa yakituibia na sisi tunachekelea kama mazuzu...! LAKINI MWAKA HUU HAPANAAAA....
  11. Kanina

    TCRA mpo? Naomba ufafanuzi kuhusu kipande kilichorushwa na Star Tv mara tu baada ya habari

    Ichukiwe na wananchi mara ngapi? Sasa hivi imebakiwa na kipindi kimoja tu cha habari, kile cha saa tatu usiku cha BBC...! Watayajutia maamuzi yao very soon.., wamesahau wao wanafanya biashara, wakajilinganisha naTBC inayochota mapesa ya walipa kodi...!
  12. Kanina

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    "CCM IMECHOKA, IMEISHIWA PUMZI WALA HAIJADILI TENA ISSUES, IKAE PEMBENI, IPUMZIKE" - Mzee Kigunge
  13. Kanina

    Mzee Kingunge N. Mwiru atangaza Rasmi kuachana na CCM

    Wenye chama wamejitoa, yamebaki 'makapi' tu ccm
  14. Kanina

    Upinzani wakishinda urais, CCM watapisha Ikulu?

    Ngoja tujiandae, manake hawa jamaa hawaamini hata kidogo...
  15. Kanina

    Upinzani wakishinda urais, CCM watapisha Ikulu?

    Ilikuwa miaka, miezi na sasa zimebaki siku chache watanzania wafanye maamuzi 'magumu' ambayo "WALA UHURU" hawajawahi kuyafikiria wala kuyaona...! Pamoja na dalili zote njema kwa UKAWA kuingia IKULU safari hii, wasiwasi wangu bado uko palepale, kwamba hawa jamaa wavaa nguo za kijani, watatupisha...
  16. Kanina

    AJALI: Ngwatta, Mgombea wa CHADEMA Jimbo la Nyasa apata ajali apata mbaya

    Taarifa za mchana huo, kwamba Kamanda Ngwatta amehamishia Hospitali ya LITEMBO, huko huko Mbinga, baada ya khali kutokuimalika tangu apata ajali...!
  17. Kanina

    AJALI: Ngwatta, Mgombea wa CHADEMA Jimbo la Nyasa apata ajali apata mbaya

    Wahusika gani unaomaanisha? CHADEMA? AU TUME YA UCHAGUZI?
  18. Kanina

    AJALI: Ngwatta, Mgombea wa CHADEMA Jimbo la Nyasa apata ajali apata mbaya

    Ajali hiyo imetokea eneo linaloitwa "BURUMA", maeneo ya Umatengo ktk milima ya Livingstone, akiwa ktk harakati ya kutafuta kura....
  19. Kanina

    AJALI: Ngwatta, Mgombea wa CHADEMA Jimbo la Nyasa apata ajali apata mbaya

    Ngwata anagombea kupitia CHADEMA, anashindana na Eng. Stella Manyanya wa CCM. Hili ni Jimbo la marehemu Komba..., liko mkoa wa Ruvuma
Back
Top Bottom